Mama wewe ni mtu wa dini ila kwa hilo kuwa haujawai kuua ni uongo maana kwenye kipindi chako akina soka kibao na wengine wapo wapi sasa tena umekaa kimya alafu kusuia haki ya vyama ni moja ya kuua kusuia maandamano ni moja ya uuaji tu.
Kama sio muuji kubali uchunguzi wa kimataifa, Hata magufuli alikataa hajahusika kupigwa risasi lisu, na akasikitika san. Kumbe ndo mhusika mkuu imefichuka baada miaka 7 ss
Kwahyo kma kibao kauawa na samia c mkashtak UNO! Nyie watoa kometi , ningrkuw mm raisi , ningewek ndan wote nyie muda usio julkana, mbwa nyny. Kila mtu mweny binduk na pingu n askari? Achen ushamba, km aliyeua humjui muulize baba yako

Mama towa katiba maisha yaedelee
Kweli mama hii si kweli.
Vijembe mtupuuu
Hajawahi kuuwa labda sisimizi ni kweli kabisa kina mzee kibao ni sisimizi. Harafu Huwezi kupingana na mtu mfunge kamba mikono na miguu useme umempiga
Kimekumaeee
HERI WENYE MIOYO SAFI" MAANA HAO WATAIONA PEPO.(MBINGU) Dunia utapita na mambo yake.
Kama sio muuji kubali uchunguzi wa kimataifa, Hata magufuli alikataa hajahusika kupigwa risasi lisu, na akasikitika san. Kumbe ndo mhusika mkuu imefichuka baada miaka 7 ss
Kwahyo kma kibao kauawa na samia c mkashtak UNO! Nyie watoa kometi , ningrkuw mm raisi , ningewek ndan wote nyie muda usio julkana, mbwa nyny. Kila mtu mweny binduk na pingu n askari? Achen ushamba, km aliyeua humjui muulize baba yako
CCM NA CHADEMA WAENDE MAHAKAMANI HAKIMU ATAJUWA NANI MKOROFI