Aaah wachezaji wengi sana nawajua kwa majina wanachangamoto hyo hasa signing fee yan daah mdgo wangu mim amecheza timu mbil na zote anadai and now yupo tu home
Mzee wangu hiyo sio tuu kwenye football ata kwenye makampuni anaweza akaja mtu kutoka nje anafanya kazi ambayo kuna mtanzania anaweza kuifanya na bado akamudu kufanya kazi zaidi ya 5 nyingine lkn salary yake ikawa ndogo. Ila sasa kwa ugumu wa maisha na nafasi unaiyokuwa nayo inakuwa haina jinsi zaidi ya kukubali kufanya kilichopo.
Fafanua ametelekezwaje amevunjiwa mkataba bila utaratibu au kazulumiwa pesa zake kwa hiyo kama mkataba wake umeisha unataka apewe mkataba mpya wakati hana uwezo wa kuitumikia timu
NYIE WAZURUMAJI SANA MSHAHARA WA MILIONI 2. NI WIZI SANA. MPENI HELA YAKE HELA YENYEWE NDOGOYIE MNAZURUMU NI AIBU.MKUMBUKE HAO WANATUMIA DAMU CY MAJI. NYIE HAMFAI KABISA
Max singeli anadai yanga usem baleke pia anadai usime chama pia yanga mmevunja makubaliano anatakiwa aanz Kila mech usemi pia okra majiki Kes ip caf usemi
NA NYIE VIONGOZI WA VIRABU MCHEZAJI AKIPATA KDI NYKUNDU AU AKITOLEWA UWANJANI CY MAKUSUDI YEYE ATAKUWA ANAIPAMBANIA SANA TIMU HY NI BAHATI MBAYA. KUWENI NA UTU VIONGOZI UNAMNYIMA MSHAHARA MNAFIKIRI ALE WAPI?WASHTAKIWE HAO WAZURUMAJI SANA.
Kama umetambuwa huyo mchezaji ni medi kagere kwenye penati ya simba ilikuwa ni simba na bigi staa singinda weka nipe like zangu
Alikiba uyoo
Dhuluma sio nzuri tunawalipa vizuri wa nje
Kuna mchezaji mkubwa tu amecheza namungo,lakini kutokana na majeraha ametelekezwa leo ni kondakta wa daladala. Hii inaumiza sana.
Uyo ni Abalkassim Suleiman wa Fountain gate alipewa kad nyekund mech na pamba akasimamishwa yey na fikirin bakar waliambiwa wameuza mechi
Sina la kukoment maana umemaliza....ungemalizia mwisho.....Suleiman Mwalimu.
Upo sahihi
I second you brother
Una akili kubwa sanaaaaa
Kassim Suleiman wa fountain gate
I second you
Aaah wachezaji wengi sana nawajua kwa majina wanachangamoto hyo hasa signing fee yan daah mdgo wangu mim amecheza timu mbil na zote anadai and now yupo tu home
Mzee wangu hiyo sio tuu kwenye football ata kwenye makampuni anaweza akaja mtu kutoka nje anafanya kazi ambayo kuna mtanzania anaweza kuifanya na bado akamudu kufanya kazi zaidi ya 5 nyingine lkn salary yake ikawa ndogo. Ila sasa kwa ugumu wa maisha na nafasi unaiyokuwa nayo inakuwa haina jinsi zaidi ya kukubali kufanya kilichopo.
Shida kubwa ni kwamba, club zina watu wake kwenye vyombo vinavyosimamia michezo huwa zinatumia watu hao kuwakandamiza wachezaji, haki haizingatiwi.
Wachezaji wetu hawana uongozi wao binafsi, jumaaa aende kwenye kamati ya hati ya Wachezaji akashtaki atapata hakiyake
Mzizeeeee huyoo
Momo uwe unawata majina wengine hatuelew mafumbo
Huyo golikipa Beno kakolanya wakudele nimekuelewa😂😂
Siyo kakolanya. Umeambiwa mshambuliaji
Wasisaidiwe nje wapo seriously wa ndani hawajitambui angalia kama kibu denga alichowafanyia simba
Mzize
Fafanua ametelekezwaje amevunjiwa mkataba bila utaratibu au kazulumiwa pesa zake kwa hiyo kama mkataba wake umeisha unataka apewe mkataba mpya wakati hana uwezo wa kuitumikia timu
NYIE WAZURUMAJI SANA MSHAHARA WA MILIONI 2. NI WIZI SANA. MPENI HELA YAKE HELA YENYEWE NDOGOYIE MNAZURUMU NI AIBU.MKUMBUKE HAO WANATUMIA DAMU CY MAJI. NYIE HAMFAI KABISA
Kama sio walima alizeti basi atakua fatuma geti
Yusuph kagoma 😂😂😂😂😂😂😂😂oyeeeeesee
Kagoma namba 10?
Habar Gani mm ndo nimtafute habar waone
Mdii kagere hamkumbuki Ile penatu
Fountaingat hao na blackstars
Kijili huyo, aspojifunga kijili, basi watajifunga,😂😂
Kijili siyo mshambuliaji. Umeambiwa mshambuliaji
Iwepo sheria yake serikali iwasaidie
Serekali hairuhusiwi kabisa kutoa maamuzi kwenye maswala yanayohusu michezo
Huyujamaa anaongea ukweli mtupu
NYIE NAE MNASHIDA mafumbo kila kitu si muache
Chezesha hilo fuvu lako Acha ulimbukeni
@@masomaso4049😂😂😂😂😂😂
kodi nyepesi sana kijili huyo
Siyo kijili nyie kodi hamzijui. Kwani kijili ni mshambuliaji?
Mwalimu
Wazr jr
Wenye longo longo ya kipesa wananchi mkono wao mfupi
Max singeli anadai yanga usem baleke pia anadai usime chama pia yanga mmevunja makubaliano anatakiwa aanz Kila mech usemi pia okra majiki Kes ip caf usemi
Unampangia cha kuongea 😂
We ni kuku kweli
Masikini kijiiiili wanamfanyia ubaya ubwela 😢
Sio kijiiili
Mtu unaambiwa had namba anayocheza ila bado wasema kijili... we kwel zwazwa..🤣
Kijili anacheza no 10? Hiyo ni Suleiman Mwalim
Gorikipa wa yanga
Kalale
Mtu ushaambiwa alifunga mpaka magoli ila bado ujinga ndo umetanguliza mbele 😂😂
NA NYIE VIONGOZI WA VIRABU MCHEZAJI AKIPATA KDI NYKUNDU AU AKITOLEWA UWANJANI CY MAKUSUDI YEYE ATAKUWA ANAIPAMBANIA SANA TIMU HY NI BAHATI MBAYA. KUWENI NA UTU VIONGOZI UNAMNYIMA MSHAHARA MNAFIKIRI ALE WAPI?WASHTAKIWE HAO WAZURUMAJI SANA.
Shida ni aina ya mikataba waliokubaliana
Hii nchi inachokipanda ndo itakacho vuna hela za kodi zetu inanunua wachej tynasem log immendeleLa weeeeeeh s rais awe mqingn
Wivu tu naroho mbaya inakusumbua unaushahidi Gani ? Weropotu
Tulimwambia hao nyuma mwiko hawatakupeleka popote na chama cha ugali😂😂😂😂
Kolo tumia akili usitumie makalio kufikilia kwa hyo Chama ni mchezaji mzawa😂😂😂
We KUNDU wa kariakoo chutama
Otois Baleke amewatokea puani Utopolo
Kijili huyo ww kwel ww ni kolo hujui kuotoa pattern
Sio kijiiili wewe
Kijiiili amesafili natimu
Hujui kutofautisha mchezaji mzawa na mchezaji wakigeni?? Kweli kolo ni kolo😂😂
Baleke ni mzawa?
Sema tu bareke.unazunguuuka
Baleke ni mchezaji mzawa Kolo😂😂
Akili huna,Baleke ni mzawa?
Bareke saw ila sio Baleke 😂😂
Boko
Bareke huyo 😂😂😂
Kumbe baleke ni mzawa 😂😂
Acha kukurupuka angalia video mpk mwisho ndo U comment
kumbe baleke ni mzawa😂
Baleke ni mzawa wacha kuropokwa
Baleke ni mzawa wacheni kuropokwa
cod tunayo
Katombwe
nani huyo
@@AlbertoMzwanas baba yako huyo
Matusi ya nini jamani@@Peterchila-un2lx
😂😂😂😂😂
😁😁😁😁😁😁
Acheni ujinga nyie na chaneli zenu za kipuuzi na mba bahati kwamba hata nimefungua