Bilioni 4.2 kujenga minara 30 ya mawasiliano Shinyanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Wakazi zaidi ya laki nne kutoka kata 29 na vijiji 83 katika Mkoa wa Shinyanga wanatarajiwa kufikiwa na huduma za mawasiliano baada ya serikali kutoa ruzuku ya bilioni 4.2 kwa ajili ya ujenzi wa minara 30 maeneo ya vijijini.
    #AzamTVupdates
    Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

КОМЕНТАРІ •