CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA Chuo kimesajiliwa TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) 📞0657292650 TUPO DAR TEGETA AZANIA TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi mitatu Field :Mwezi mmoja Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA UA-cam JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇 ua-cam.com/video/9I5sTZK0Pvw/v-deo.html ✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO 1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani) 2.Tshet 15,000 3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding) 4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron 5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue
Sasa nikituma malipo hayo kwadarasa la mtandaoni mtajuaje Kama me ndo nmelipia?? Au nalipa kwa utaratibu gani?? Na hizo video mtakua mnanitumia watssup au vp??
Asante sana Dada Farida kwa mafunjo Nîmes elewa Mungu akuongezee elimu zaidi n'a akulinde siku zote.sasa Dada nataka mafunjo ya écaillé
Unaweza kurepair??
Asante madam maana umeifanya ikawa rahisi sana maana watu wengine wanafundisha Kwa njia zingine ambazo ningumu kidogo
Poleee
😍mungu azidi kukuweka uendelee kutufundisha jamn nakupend bure
One of the best hairstylists in Tanzania 🇹🇿💕Asante sana sis farida🙏🙏
Hi, this is stunning
how many packs have you used?
Hello dada Farida nebarikiwa sana na ufundishaji wako, nimeelewa sana. Naomba uniambie umetumia nywere Gani??
Fluffy kinky
Jambon , nimefurahia sana kujifunzwa naye . na makup ,sawa Niko mbali , DRC Congo , halo mafunzo y'a mbali itakua je
Karb +255657292650
Jp
Hello samahani umetumia jelly gani?
Madam naomba kujua gel Gani umetumia kusukia plz
Asante kwa mafunzo naomba kuuliz umetuma Rasta gani
Flufy
Asante madam kwa mafunzo ila nataka kujua jeri uliyotumia inaitwaje?
Nilikua naisubiria hii kwa mda mrefu thanks madam😍
Umetumia bunda ngapi madam?!
thanks madam yaani siku nikijua kusuka kama wewe nitafurahi sana
Unatumia bunda ngapi hapo momy
Moja t
Naomba kujua n aina gani ta jelly umetumia
Asante imekuwa rahisi sana kujifunza
Santee
Bsr je vx voir la mm vidéo plusieurs fois svp
Okyy
Asante madam mekuelewa
Unaweza kutotumia gel
I like the way your teaching,njia rahisi sana
Thanks share na wengine❤
mpenzi wetu❤️unatupenda ahsante.... tukikuudhi tusamehe ila usiache kutupenda
😂😂😂😂❤
kapendeza, naomba kuuliza marley nayo inaweza tumika apo?
Tumia hii kwa matokea mazur
Aty haiwez kusukiwa na Rasta za kawaida au Uzi wa brazil
Asante nmeelewa madam
Santee❤
❤mungu azidi kukuweka Kwa ajili yetu 🎉😂❤love u
Nauliza unaweza kutumia nywele Aina nyingine?labda brazilan wool
Abali dada je nywele ya shashilesheni inasukwaje
Asante madam faa
Duuuh we dada unajua kufundisha sana 🙏🙏🙏
Dr chuo kipo maeneo gani...pia labla mnapokea wanafunzi kwa wakati au ni mda wote
CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA
Chuo kimesajiliwa
TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA
LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI
Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000)
📞0657292650
TUPO DAR TEGETA AZANIA
TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇
1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k)
Ada: 300,000
Muda: miezi mitatu
2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,)
Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti)
Muda: Miezi mitatu
Field :Mwezi mmoja
Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA UA-cam JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇
ua-cam.com/video/9I5sTZK0Pvw/v-deo.html
✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE
NOTE :HOSTEL ZIPO
Ada :100,000
Muda: Mwezi mmoja
Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen
MAHITAJ YA MWANACHUO
1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani)
2.Tshet 15,000
3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding)
4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron
5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue
Nimeilewa umefundsha vzur lakn nataka kuulza hyo nywele kuna uwezekano wa kutumia rasta ama
Njia nyepesi sana mm vitu vingi najifunzia kwako
bunda ngp umetumia
Moja na nusu had mbl
Habari.samahani nataka mvulana wa kazi anaejua kutengeneza kucha kupandika kope
Dada inamaana tunaikata katikati
Asnte sn da farida.ila nina swal kwa mfano cna jell naweza kusuka hapo vimstar badala la kutwist na jel ni wazo nmefikiria
Unaweza
Naomba nifunze kushuka canians
Picha naomba 0657292650
Da farida naomb kuuliz mbn nikisuka passion twist baada ya siku mbili nywele zinatoka kwa juu nakosea wapi
Ukisuka style gan mamy
Ongera mpz kwa kazi nzuri Naomb uniambie jeli unayotumia kulambisha malaika mpenzi
Asantee nimeelewa, unawezatumia rasta ya kawaida ?
Ni rahisi sana kuelewa kutumia njia hii👏👏
Sante snaaa
Unatumia gely gan dada
Asante sana ila nilitaka kuuliza je hamna uwezekano mtu anaweza sokota nyele hii akienda ku shoto?
Asante madam farida kwa kuwa daraja kwetu sisi kujifunza 😍
Shukran sanaa❤
Asante dada umemtumia jelly ip
Mungu akutunze my dear friend nitakuja uko uko
Umemia jelly gn dada apo
Jelly up imetumika apo mama
Asante dada farida
Hapo imetumika bunda ngapi please 🙏🏾
Asantee madam nimeelewa sanaaa
Santee❤
Dada naomba nionee namna ya kuchambua na ni jelly gan unatumiaa
Jamani dada ubarikiwe sana unafundisha vizuri na unaeleweka
Unafundisha vizuri
Asante saana dada farida nauliza una2mia jeri gaan
Asante da farida
Kuna nywele ya notles ila ipo Kama Bata flay naomba utufu dishe
Is that braid every where
Yes
Iyo jerri uliyotumia kusukia inaitwaje?
wow i like the way unawapendezesha watu
Dada Farida tunaomba utufundishe kusuka Bahama twist
Weye ni bomba dada asanti sana
Shukrna sanaa
Da farida gelly gan hio
Kozi zima ni ususi na mekap pedi kiu masaj fesho au laki sita ni ususi tu
Vyote ndio laki sita ukimaliza unapata cheti
Dada auoneshi vzr gis yakushika nywele uko chini
Sasa nikituma malipo hayo kwadarasa la mtandaoni mtajuaje Kama me ndo nmelipia?? Au nalipa kwa utaratibu gani?? Na hizo video mtakua mnanitumia watssup au vp??
Haifai kusukaa bila geli madam?
Uinafaa
Hi dear Mimi yebo inanisumbua inajifunga mbele pale pa kuanzia
Tunakupend sana
Naomba unitumie majina ya vifaa vya simpo macup na matumiz yake dada tafaadhar, na maelekezo yakulipia darasa, mana hiyonamba ukipg haipokelewi
Hongera Kwa kazi nzuri
Da farida mi naomba unisaidie kusuka flat twist kwa kutumia kinky au Rasta za kawaidaa
Sawaa❤
Umebase kwenye kusuka Tu tunaomba utufundishe na simple makeup 🙏
Hi sasa am watching from Kenya na nimependa kazi yako sana unatumia Gel gani kusonga please
Bunda ngap dada angu
dada farida naomba unifundishe na kusuka yebo
Asante sana madam nafuatilia mafunzo yenu sana
Sante sanaaa❤
Asante sana dada nimeelewa sana
Sante snaaa❤
Farida asante kwa mafunzo kama kuna Dada anataka kufanya mambo ya saloon namuhitaji nipo mabibo Dar niunganishe nae.
Unataka mfanyakaz? Je anayejua nn na nn
Ubarikiwe saaana dada
Amiiin❤
Nawez kutumia rast za kawaida
Unatumia bunda ngapi❤❤
Kwahyo ni lazim kutumia izo rasta
Asante Sana da farida
Da farida naomba kujifunza kuweka popcorn
Okyy
Tuma picha 0657292650
sijawai jutia kuangalia video zako mpenzi
Ameen❤
Bunda ngap umetumia
Ni jelly ipi nzuuri kwa kusukia stitch
Napenda munifundishi kwa iyi
Umetumia nywele gan
Asante nmekuelewa vzur
Tafazali unaweza tuambiya jina ya ilo gel plz 🥺🥺
Naomba kujua umetumia bunda ngap? Na ukiichambua rasta 1 unaisuka yote au unaigawanya?
Yote
Nice
Asant 🤗 kwa darasa zur
Mungu akutunze ❤🎉
Bunda ngap madam
Bzuri balaaa
❤❤ thanks
Naomba kuuliz ivi jery ya kusukia ni zipi
Sijui ganian breid
Je unaweza kutumia rasta ya kawaida
Asante sana madam Mungu akubaliiki
Amina❤
Natamani kusuka nywele hii na Zaid nije kusuka kwenu ...ni shingapi full pamoja na nywele
Kwakweli dada ukovizuri japohiyo namimi nafanya kazihio ilamungu alujalie kwakutuongezea ujuzi