God I receive a humble heart and a cheerful giver mindset by grace today in Jesus Christ name. Holy Spirit welcome into my troubles and let there be wealth prosperity and grace of breakthrough in Jesus Christ name Amen
Poster kulingana na biblia inasemaje kuusu mtu aliyebebeshana mimba kanisani afu kanisa hilo likamsimamisha kiuduma ahu kumtenga. Je yampasa ahombe msamaa kwa viongozi ahu kwakanisa nzima?
Nauliza swali mzeee mimi huwa natowa paka naishiwa fedha kwa ajili ya uchungu wa kazi ya MUNGU huwa nakopa pesa ili nijitoleye kuyiendeleza kazi ya Mungu ,sasa napata changamoto kwakulipa ndo nachoka kabisa nifanyeje
kinachotakiwa kwenye utoaji wa sadaka Kuna kipengele Cha kumsikia Mungu, kwa kawaida watumishi huwa wanatoa tangazo la sadaka kulingana na huitaji,unaposikia Hilo tangazo Ndipo maranyingi utasikia maelekezo binafsi moyoni mwako, kwamba utoe au usitoe au utoe kiasi gani Mungu huwa anaongea,ishu ni kama umejizoeza kwa kiasi gani kumsikiliza Njia yotote kutoa sadaka inaweza kuwa nzuri au mbaya kulingana na kwamba unachofanya umesikia kutoka kwa nani moyoni mwako,
Shalom watumishi wa Mungu! Naomba kujua hii Zoom Class master ni for specific people tu au? Maana sikujua kama kuna darasa la Muhimu namna hii since tulitangaziwa wiki hii itakuwa ni wiki ya injili mtaani kwanzia j5. Nimesikia mpaka watu walioko nje ya nchi wapo kwa Zoom class! Utaratibu wa kujiunga unakuwaje? İli siku nyingine nisipitwe na live. Asante.
Leo ndo nmeelewa vizur somo la utoaji aisee ,
Amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤
God I receive a humble heart and a cheerful giver mindset by grace today in Jesus Christ name. Holy Spirit welcome into my troubles and let there be wealth prosperity and grace of breakthrough in Jesus Christ name Amen
Najiunganisha na madhabahu hii kwa jina la Yesu
GRACE
Amen 🙏🏻🙏🏻
Amen
Hallelujah 🔥🔥
Yes, i have lived like that for two years!
Najiungamanisha na ibada hii amen
I am waiting
Thanks Jesus 🙏 niko hapa tena unikumbuke
Already here waiting it 😂
Amen❤
Am tuned ❤❤❤
Ameeen Ameeen 🎉🎉🎉Pastor Tony 🇦🇪
Amen 🙏
Amen 🎉🎉
Am waiting for maneno ya uzima.😂
Poster kulingana na biblia inasemaje kuusu mtu aliyebebeshana mimba kanisani afu kanisa hilo likamsimamisha kiuduma ahu kumtenga. Je yampasa ahombe msamaa kwa viongozi ahu kwakanisa nzima?
Nauliza swali mzeee mimi huwa natowa paka naishiwa fedha kwa ajili ya uchungu wa kazi ya MUNGU huwa nakopa pesa ili nijitoleye kuyiendeleza kazi ya Mungu ,sasa napata changamoto kwakulipa ndo nachoka kabisa nifanyeje
😢😢😢hii sasa ni dhambi loh,unatoa mpk unakopa,kwanza hela za kukopa sio za BWANA
kinachotakiwa kwenye utoaji wa sadaka Kuna kipengele Cha kumsikia Mungu, kwa kawaida watumishi huwa wanatoa tangazo la sadaka kulingana na huitaji,unaposikia Hilo tangazo Ndipo maranyingi utasikia maelekezo binafsi moyoni mwako, kwamba utoe au usitoe au utoe kiasi gani
Mungu huwa anaongea,ishu ni kama umejizoeza kwa kiasi gani kumsikiliza
Njia yotote kutoa sadaka inaweza kuwa nzuri au mbaya kulingana na kwamba unachofanya umesikia kutoka kwa nani moyoni mwako,
✅️✅️✅️@@robertmagrethsautiyakuhani
Code number ya zoom