Wewe andelea na upuzi wako maulidi kama kawaida tushaanza sio haram sio bidaa haijaongeza kwenye fardhi wala sunnah maulidi nijambo la kheri sio lazima ukisoma wapata thawabu usiposoma hapati madhambi.
@@AmruhuMswaki huo ndio upumbavu wenu nani asiye mcha Allah sjisifu leo ni ijumaa nimeswa nahao munaowaita masufi sunnah ya kabla alfjri tukaswali farjri kukaletwa dhikri na swala ya Mtume mpaka ishrak nikasswali dhuha nikaenda jumaa mapema nikasoma kahf na sunnah kabla dhuhur na fardh ya jumaa nabaadia sasa wewe nitie motoni maanake nyinyi ndio ma secretary wa Allah.
@@KaramaKarama-jm7qo kwani ukisema wewe ni shirki ndio wahyi wacha ujinga wewe wajua maana ya shirki kisha mwajidai masalafi shirki nikuamini aseikua Allah au kua na mshirka wake au kukataa maamdrisho yake.

Sasa kwa maana hio maulid ni sunna?
Rushu mche Allah
@@AmruhuMswaki huo ndio upumbavu wenu nani asiye mcha Allah sjisifu leo ni ijumaa nimeswa nahao munaowaita masufi sunnah ya kabla alfjri tukaswali farjri kukaletwa dhikri na swala ya Mtume mpaka ishrak nikasswali dhuha nikaenda jumaa mapema nikasoma kahf na sunnah kabla dhuhur na fardh ya jumaa nabaadia sasa wewe nitie motoni maanake nyinyi ndio ma secretary wa Allah.
Maulid ni shirk haswa.Wacha istizai kwa dini ya ALLAH.Muogope ALLAH