Raha sana kumuona mpiga bass guitar 🎸 Philip anapiga solo guitar 🎸 lililotulia kabisa safisana hongereni jamani mnaendelea kunipatia Raha wstuwangu❤❤❤❤
waoooooooh waoooooooh halleluyaaaaa wkimbo huu unanibariki sana , haya Maono mliyopewa kwenye huu wimbo Mungu awabariki Zaid na kuwatunza katika huduma hii ya uimbaji.
Nawatazama live toka south africa johannesburg ,,,,🎉🎉🎉🎉🎉 we are going🎉🎉
Hongerani sana mnajua sana kuimba mungu awainue zaidi ya hapoo
Kutoka ndani ya mzizi wa moyo wangu sitaacha kuwapenda maana mnanibariki sana ❤
Woow❤❤
Just woow
And woow again
TUNDA LA ROHO in new version….🎉🎉🎉🎉🎉
Hii nyimbo mngehifadhi mkaifanyia live recording pamoja na ile nyimbo Bwana uinuliwe milele milele
I can't stop watching this, soloist for me🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu awabariki sana azidi kuwainua kwa viwango vya juu zaidi,Nawapenda.
AMINA
Raha sana kumuona mpiga bass guitar 🎸 Philip anapiga solo guitar 🎸 lililotulia kabisa safisana hongereni jamani mnaendelea kunipatia Raha wstuwangu❤❤❤❤
Be blessed guys...love you following from Kenya...
Kazi zuri sana watumishi🙏🙏
Wimbo mzuri sana wa zamani sasa mmeimba Live, barikiwe sana nawapenda, wana muziki nyie ❤
Hongereni sana ...maua yenu🎉🎉
Nawapenda saana, Hongereni saana kwa kazi nzuri ya Mungu. By JAL Fundi piano
MUNGU awabarikii sana 🙏
Hamjawahi kumuangusha MUNGU wa mbinguni kabisaaaa
Haleluya Tunda la Roho❤
Amina Amina mtu wa mungu,,endelea kubarikiwa,!!
Hongera sana Buzuruga Kwaya kwa huduma yenu njema sana
Safi safiiii
👏👏👏👏👏wooow woow sàfii
Mbarikiwe wainjirishaji kwa njia ya uimbaji tuna usubiri, Basi nyenyekeni
waoooooooh waoooooooh halleluyaaaaa wkimbo huu unanibariki sana , haya Maono mliyopewa kwenye huu wimbo Mungu awabariki Zaid na kuwatunza katika huduma hii ya uimbaji.
Wimbo wang wa muda wote❤❤
Sending love from kenya. Mnatubariki kweli❤❤❤
Kheri nyingi sana kwenu watumishi wa Mungu 🙏
Hakika kazi yenu naipenda. Wimbo wa kitambo ila mmepiga vizuri kwenye live kuriko kwenye album ile ya kwanza
Hit song of all time
Hongereni kazi Ni Njema..💥
woow ....just woow
Moyo 🔥🔥🔥
Ewaaaaa barikiweni Sana watumishi
Salute kwenu...
Mpiga kinanda katisha
Barikiweni watumishi
Amina mtu wa mungu endelea kubarikiwa
Aic muungano....majukumu tunawamiss❤
Nzuri sana 👏👏
🔥🔥Fam
🔥🔥🔥🔥
Atariiiiiiii ogopaaaa ,,😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤
Ni hatariiii😂😂
Myaka hiyooo kitambo sana sauti za ujazo
Enzi hizo besi ka zote mwanikumbsha mbali aisee🎉🎉🎉
Sema nn mnajua sana yani
❤❤❤
🙏🙏🙏
🙏🙏
❤
🙏
,❤❤❤
Nimebalikiwa nawimbo huo jmn
Amanzimtoti beach KwaZulu-Natal Republic of South Africa tunawapata vyema kabisa, jirani wote twawasikiza kwa umakini ujumbe wenu mwema.
🔥🔥
❤❤❤❤
🙏