Habari za uzima wateule wa Mungu Kama yasemavyo maandiko kwamba tazama ilivyo vyema nakupendeza ndugu kukaa pamoja kwa umoja na kushirikiana kwapamoja. nami Nachukuwe fursa iyi kutoa shukrani zangu zadhati kwa ushirikiano wenu mkubwa juu ya kazi ya Mungu. Baba Mungu tumtumikiaye awabariki sana zaidi.lakini pia naamini kuhusu NEXT, yeye alie tufanya kuwa vipaza sauti vyake ,basi atahagiza roho wake mtakatifu kuleta ujumbe kwangu iliniupaze kama apendavyo.AMEN
Huyu ni lomona kijana nimjuwaye au mwengine. Lomana wa mama aimerance I1, nyarugusu, kanisa mito ya baraka au. Nimebarikiwa vya kutosha Sasa kijana wangu, mtumishi wa Mungu. Endelea baba
Kitu ambacho uwezi tegemea bubu. Kutoa sauti. Na kuli taja jina la MUNG. KWA SAUTI NA KUSEMA. HASANT EEEEEH. IMETIA UTUKUFU NA MAMLAKA. YA MUNGU KUJULIKAN. KWA MATAIFA.
Habari za uzima wateule wa Mungu
Kama yasemavyo maandiko kwamba tazama ilivyo vyema nakupendeza ndugu kukaa pamoja kwa umoja na kushirikiana kwapamoja.
nami Nachukuwe fursa iyi kutoa shukrani zangu zadhati kwa ushirikiano wenu mkubwa juu ya kazi ya Mungu. Baba Mungu tumtumikiaye awabariki sana zaidi.lakini pia naamini kuhusu NEXT, yeye alie tufanya kuwa vipaza sauti vyake ,basi atahagiza roho wake mtakatifu kuleta ujumbe kwangu iliniupaze kama apendavyo.AMEN
Ujumbe uliokomaa! Utunzi mufti kabisa!!
Lomo ndulo yoooooóooh kaka
Umetisha sana bro barikiwa sana❤❤❤
Wimbo wa bien sana
Barikiwa na Bwana kwa wimbo nzuri
James nimeona kazi ya mikono ya Mungu inahendelea kabisi
By Mr methelo moja
Naitwa Steven Ibra nipo Tanzania nimebarikiwa sanaaa kwa huu wimbo Aminaaaaa!!! 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nimeipenda san bro endelea nakukubali San by:Memorize
Tiketi my favorite song god bless you more 🙏🙏
Kaka nia abedi hapa kaka kweli nimefurahi sana ndugu yangu ❤❤❤
Very nice song….good message and vocals 🤝🤝❤️ May God bless you
Wimbo unaupako mkubwa sana
Mungu akubariki sana mtumishi
Mungu akuimuwe ❤❤❤
Dogo.ubarikiwe saaaaaaana
Ninakutabiria usipo jichanganya umesha fika mbali.saana.
Wow! mu haswe kazi mbinjzo
Unajua himba ndug yangu umenibarik sana
Mungu akubariki sana usiniangush ndug towa mangoma kama yote
Huyu ni lomona kijana nimjuwaye au mwengine.
Lomana wa mama aimerance I1, nyarugusu, kanisa mito ya baraka au.
Nimebarikiwa vya kutosha Sasa kijana wangu, mtumishi wa Mungu.
Endelea baba
wimbo mzuri sana ..wabarik.mungu azidi kukuinua
Full upako , full mafutaa WA Karne ya 21 Mungu alikujuwa kabla ya kuwa hivo
Mungu wambinguni nimwema kabisa awalinde katika uduma zote y
Wow good kbs Mungu azidi kualinda
Bado tunasubiri wengine wimbo kaka
amena sana kaka ubarikiwe
My favourite song 🎵 ❤❤❤
Oooh ninaposema allelujah mbingu ziseme amina 😍🤲
Imekuwa faraja mno, kipaji kikubwa wimbo mkubwa, production kubwa sifa na utukukufu kwa bwana wetu Yesu kristo
Ubarikiwe
Good job
Mungu wetu wambinguni awabariki 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Barikiwa sana
Iko POA kaka
Ohh Alellujah Alellujah Mbarikiwe sana na BWANA ❤
Wimbo mzuri sana 🙌🏽🙌🏽
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
Nakukubali sana bro, kazi nzuri. Glory to God💪🙏🔥🔥🔥🔥🔥.
Yep Vocals Za kwenda 🔥🔥🤲🏿
❤❤❤ best song
Baraka tele 🥰🔥
Fv song 🙏🙏🙏
I love the arrangement, the composition on point too!❤
Nimeipenda
Mbarikiwe
my favorite song kabisa 🎉❤
Tikeketi ❤❤ mungu awa bariki
Mbarikiwe sana
Mubarikiwe sana watumishi wa Mungu by THE KING 👑 MAVOCAL 👑🎙️👑
I love it my favorite song
Amina saaaana rafiki angu Mungu akubariki 🙏
Siku awezi Kwisha bila kusiliza wimbo mara tano ❤❤❤ my favorite song 🎉🎉🎉
Powerfull message, be blessed.
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
mubarikiwe sanaaa literally my favorite song!! 🔥🔥🔥
Wimbo mzurikweli Mnatisha sana ❤
Wow ❤❤❤❤❤❤❤
Good job brother 😢😮🎉❤😊
Excellent
🎉🎉🎉🎉🎉We love you
Amina ubarikiwe sana ndugu
Kaka barikiwa sana ndugu yangu 🎉
Best song 🎉🎉
Mbingu sema amin siku zote mumaisha Yang
Kumbe kigoma tulikuwaga na Mercy Chinwo na hata amniambihi duuuh,, sijapenda.
Lumona ndule, asante Sana kwa wimbo mzuri Sana, Niko Congo fizi mboko secteur de Tanganyika,na niko mushilomona mlala
Hallelujah 🙌 mbarikiwe sana
Elephina 😂😂😂😂❤❤🎉
Kitu ambacho uwezi tegemea bubu. Kutoa sauti. Na kuli taja jina la MUNG. KWA SAUTI NA KUSEMA. HASANT EEEEEH. IMETIA UTUKUFU NA MAMLAKA. YA MUNGU KUJULIKAN. KWA MATAIFA.
Nice song my twin 🔥🔥
Amen kubwa ❤
Kali hii mwanetu lumona
Lumona ulikuwa wapi Kijana,, mbona masikiyo yametoboka na nyimbo zisizo bariki rafiki yangu..Mungu awabariki nyote🙏
Napenda Uimbaji wako tokea Power Of Angels - Yesu Wa Moyo
Ur No 1 fan
I agree with this song God bless you guys
Congolais Ndulist , namkubali 1000%
Naipenda hiyo pia nakubali sana kazi ya mungu wambinguni 🙏🙏
Wowooooooo 🎉🎉🎉🎉 Bwana awabariki
Ubarikiwe mpendwa
Amina sana kwa kazi kubwa unayoifanya Mungu akubariki sana kweli pia awe mwaminifu kwako
Wimbo mzurii kweliii
❤
Allelujah
Napendaga sana Melody zao 🥰❤️
Amena
𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗮𝘄𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶𝗸𝗶❤❤❤❤🎉
Nice song❤️
❤❤❤
Balala oyeeeeeeeee
Amen 👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Sifa kwa bwana kabisa
You can sing ❤️❤️
Congratulation guys ❤
Good job 👏 🎉🎉🎉
*Courage fammile❤❤❤
Amina ❤❤❤❤❤❤
Amen toza ba congole
Mungu awa bariki sana wimbo mzuri mno❤❤❤
Nice song 🎶 ❤🎉
Brother sauti yako uwaga inanibariki sana kweli Mungu azidi kukubariki 🙏🙏
Courage , la bonne musique j'aime ça
Well done bro
Amina