LATIFA | Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- LATIFA | Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
Baada ya binti Latifa kufukuzwa na mume wake huku akiwa mjamzito, Adam anajitolea kumsaidia na kumpeleka kwa mama yake, je nini kitaendelea katika maisha yao?
Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.
#latifa #movie #filamu #adamleobongomovie
Tazama Tamthilia yetu mpya ya MAISHA hapa👇👇
ua-cam.com/video/I5DWuCwoa50/v-deo.htmlsi=nkCRa6PzP-d_Szjh
Team Adam hongera sana kwa kazi nzuri sana filamu nzuri kutufunza jinsi maisha ya sasa yalivyo patieni Adam likes kama mvua guys ❤❤❤❤❤❤❤kado ww mzee wamitulinga una vioja 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana sana
Kusema ukweli Adam kazi zake ni nzuri sana mwenyezi Mungu amwajalie kila la kheri
adamu naeza jiuga nawewe@@AdamLeoTv
@@فاطمهكينيا-ذ8ش Amiiin InshaAllah 🙏 ni nzuri tena sana sana tena sanaa
Adam,Adam, nimekuta mara mbili we kiboko yaani mi huwa napenda sana hizi movies zako yaani kaka umejua kunifuraisha barikiwa sana sana kaka
Shukrani sana sana!
Kazi nzr sańa ❤❤❤ bro
Asante
Adamu wewe umezindi yaani kazi zuri sana, umetufunza mambo mengi kaka mungu azindi kukupereka mbali.
Ameen
Hongera Adam kwa kazi nzuri ,umeifunza mengi jamii ya sasa...big up bro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana sana
Kaka hongera kwa Kaz nzuri ira naomba hii song
Haya
0652393960 whatsapp
🎉🎉🎉🎉IYO NDo maana halisi ya unacho kizarau weziho wanajihuliza watakipata lini❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉nimehipenda sana .
Umeona eh
Ongera sana Adam nakupenda bure nawafata nikiwa burundi nipeni like zangu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😅😅😅😅😅
Shukrani sana
Movie tamu sanaa hongera bwana Adam.....movie yenye mafunzo hasa kwa wapenda nao.....tunasubiria zingine nyingi
Sawaa
Umetisha kaka Kaz mzur maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Shukrani san
Bro your really teacher ❤❤❤🎉🎉I love what you did to kado and continue teacing us night and day more years ahead and blessings
Shukrani sana
@AdamLeoStudios karibu sana kaka
Mashallah kz nzur broh 🎉🎉🎉❤❤ nimechk adam ataka tifa amchukue kwake huku akiwa n aib n tabassam mololo kbsa 🎉🎉🎉
Shukrani
Kazi mzuri
Asante sana
Adam we we ni kiboko yaani nakupenda sana bro movies sako sina nifusa sana bro.
Shukrani sana
Hongera sana kaka adam kwa move zako nzuri n zenye mafunzo
Kazinzuri sana mnajuwa kutukosha kabisa muviimeturia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante
Mambo ni moto kilasiku kitu kipya nakukubali kaka Adam🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Safi saana hapobro Adam
Tuna subiria kwa hamu kubea sehemu yinayo fuatia
Sawaa
Nimecheka jamani makende apikiwe mzazi 😂😂yani Adam hua unanipa furaha sana na move zako najikuta nazipiga kazi za walabu bila ya uchomvu
Shukrani sana sana!
Kazi nzuri xna bro....jiwe juu ya jiwe.... uzuri wa movie zako ukiangalia lazma utatoka na kitu cha kujifunza...Yani a lesson to learn au a lesson for life...😅😅
Nashukuru sana
Umenifulahisha kaka adamu kazi zuri kipenz Cha wengi swali langu we we ni mngoni et kaka
Nimechanganya
Congratulations 👏👏👏 kazi safi sana ❤❤❤
Asante sana sana
Kazi nzuri sana Adam mungu azidi kukufungulia ❤❤
Ameen
Kazi nzuri adam😂😂
Asante
Kazi nzuri kaka🎉❤
Asante sana
Hellooo guys na mm nimewahi Asante kaka adam 😍😍😍💐💐💐💐💐💐
Enjoy
Nimefurai kumuona Kado ni kitambo iseee...naenjoy❤❤❤filamu
Thanks
Mamb vp jiran 😂😂 kaka Adam hongera xana kaz nzur.
Shukrani
Kazi nzuri napenda move zako Adam 🎉nikiwa 🇰🇪
Asante sana
Shukrani
Nilitaka kushangaa usitaje makande
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Asante
I like it ❤❤
Thanks
Asante bro. Ivi itaendelea. Ao
Hapana
Adam safisana kwakazi nzuri sana 🎉🎉🎉
Shukrani
MASHAALLAH KAZI NZURI ADAM ❤
Asante Bi Khadija
Tunakupenda sana adamu
Asante sana
Asante sana Adam kwa mafundisho yako aiseee chukua zawadi yako ❤❤❤❤
Asantee
Hahaha Mama kanifurahisha sana hajataka hata kumsikiliza Adam
Shukrani
Natamani sana hizi movies niwe naziona sinema zetu maana wanarudia movie zile zile wakat huku zipo nyingi tu😅😅😅
Yaani one day yes
❤❤❤😂😂😂😂adamu kapenda lakini siri moyoni 😅😅😅😊kazi nzuri bro🎉🎉❤❤
Shukrani
Ila samrati izo ndevu 🙌🙌🙌
Asante sana
Sema jirani kumbe ni waokoaji wazuri tuy🔥🔥🔥🔥
Kabisa yaani hao wanatusaidia wake zenu uku😅😅
Ahahaa umeona eh
Kazi mzuri adam
Adam huyu dada latifa ana kipaji sana natamani kumuona kwenye movie nyingine
Sawaa
Bado nafuatilia nikiwa Nairobi Kenya.
Big up 😊
Thanks
Nilimmiss sana kado jamani I love you all team Adam ❤️
Thanks a lot!
Nimewai😂😂❤❤🎉🎉
🙏🙏
Nzuri sana tena nyenye mafunzo 🎉🎉❤
Kazi nzr Sana inafundisha team samlaty kidt
Adam hee unataka mzazi apewe makande😂😂😂 we kiboko🎉🎉🎉
Noma
Hii nayoo zurii kwel
Shukrani
Unacho kitupa ety hakina maana mwenzako akiokota Na usamani sanaaa hakika nimejifunza kitu Adam nakukubali Na kukupenda pia🎉🎉🎉
Umeona wh
Hapa Adam hii iko freshi baridi
Thanks a lot🙏
Movie nzuri kabisa
Asante sana
Kazi nzuri sana kaka mungu azidi kukumbariki🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Adam umejua nlikua nmemiss kitu kipya🎉🎉🎉❤
Enjoy
Makande ❤❤❤❤
Naaam
Movie mzuri na nimependa ending kama hvyo msamaa sio wa kila mtu na wa kila siku.. Kuna mda mwengine inabidi mtu ajue makosa yake na maisha yaendelee
Naam umeona eh
Kazi nzury kk ❤❤❤
Shukrani
Wewe Adam unamchezo mzazi anakula makande kweli😂😂😂🎉🎉
Nomaa
Adamu mzee wa makande
mi nampenda kado sana alivyo na sura mbaya hebu msalimie
Au sio
Movie nzuri ❤❤❤️
Shukrani
😂😂😂😂 Adamo makande 🎉🎉🎉🎉
Asante
Kazi nzuri kaka Adam
Movie nzuri sana
Asante sana
😂❤❤❤Adam jamani 🎉🎉🎉🎉hongera kwa mafundishoo mrooo
Shukrani
@@AdamLeoTv Afwan
Latifa anajua igiza kwa kweli
Shukrani
😂😂😂ila kado na ushirikina ww noma san
Any way congratulations team Adam ❤❤❤❤
Shukrani
Umeweza adam ..hongera sana❤❤❤
Asante sana
😂😂😂😂 Adam mamaako kiboko yaani hakupi nafasi ya kujitetea raha sana❤❤❤
Yaani wewe acha tu
Huyu dada mwenye ndevu amesema anapangangwa tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha jamani
Nice movie
Enjoy the movie
Hongera saana Adam kazi nzurii ❤❤
Asante
Nimechekaa sana adamu alivyosema amchukue bint akaishi nae kwake,, adamu anavyatabasamu chinichini sasa😂😂😂😂😂😂
Hahahah jamani
😂😂😂
Nzuri sana
Asante sana
Cheko lako tu apo ukiwa na mama yako mimi hoi adam unajua kaka mungu akupambanie utafika mbali broo
Ameen
Napenda sana Ongea yako ya uigizaji adam😊
Shukrani
Adam yew kill me with your smile 😊
Thanks you
Filamu nzuli sana❤❤
Adam makande huyasemi vby nacheka sana kila ukitaka kula ww ni makande 😂 umetisha bro
Asante
Tamu sanaaaaaaaa❤❤❤❤
Asante sana
Uyu jamaa adqmu kila move anataja makande anayapenda sanaa eee
Jamanii
Ninavyopenda kuigiza jamani, Mungu anijaalie.
Amen
Safi sana❤🎉🎉🎉🎉
Asante
Ninzuri.. 🇧🇮🇧🇮
Asante
Adam wataka kutuulia mzazi 😂😂😂😂😂 ale makande
Jamanii🤣
salute adam
Nampend huy mngon
Asantee
I like you adam❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Thanks💕
😂😂😂Ulimuona WA nini mwenzio wakaza wata Pata lini😂😂😂 ilo nifunzo
Umeona eh
21:37 Adam sabra yuwapi mbona simuoni tena kwenye gem😊😊 amini yakwamba kazini kwetu kuna kazi
Salama
Team makande mamzi ale makande jamani adam big ❤😊
Nomaa
Hongera kaka Adam kazi nzuri sana inamafundisho mno🎉🎉🎉🎉
Adam baneee utaniuwa Na ivo unavo mungalia maman n'a kicheko mudomoni 😅😅😅 maman kakuuliza ety hivo tayari mushaa anza mahusiano? Mjibu😂😂😂😂😂
Hahaha jamani
❤❤❤ mama adamu
Naam
😂😂Adamu wema umekuzidi utauawa kado mwehu huyo.
Hahaha
Adam namakande yke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
Jamani
Hii kazi ni nzuri sana kaka adam
Shukrani
𝚢𝚊𝚊𝚗 𝙰𝚍𝚊𝚖 𝚊𝚗𝚊𝚋𝚊𝚍𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚗𝚍𝚢 𝚖𝚊𝚊𝚗𝚊 𝚒𝚗𝚊𝚔𝚞𝚊 𝚗𝚊 𝚛𝚊𝚍𝚑𝚊 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚔𝚘𝚗 𝚠𝚊𝚕𝚎 𝚔𝚞𝚕𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚐𝚒𝚣𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚌𝚕𝚊𝚖 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚖𝚝𝚞 𝚊𝚗𝚊𝚝𝚘𝚊 𝚌𝚑𝚊𝚗𝚎𝚕 𝚢𝚊𝚔𝚎 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚑𝚊𝚘𝚑𝚊𝚘 𝚒𝚗𝚊𝚌𝚑𝚘𝚜𝚑𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊𝚏𝚊𝚝𝚒𝚕𝚒𝚊
😂😂😂😂😂 adamuuuu makandee
Asantee
Eee Adam wewe nimu uwaje kweli
Eti makande muzazi😁😁
Hahaha jamani
Filamu ina mafunzo makubwa sana usiache kitu kama bado unakipenda😂
Asante
❤❤❤❤mama adamu
🙏🙏🙏