Jamani baba rais msaidia huyu inatia uchungu sana kweli nilia kuna watu wanatesa wafungwa mno rais wewe ni wanyonge asante kwa kuwasikiliza mungu hakupe afya na hekima na maisha marefu ubarikiwe sana
Hongera sana mh rais magufuri hakika mungu amekuchagua kuja kuwatumikia watanzania.safi sana kwa kazi nzuri mw.mungu akusimamie ktk majukum yako...by chinga dodoma
We are following from Kenya and we demand th safety of this inmate failure to which we will come riot in that Prison ...this is a brother and we care about our neighbors ..plz waTanzania
Everline Lucumay msihofu Mungu atamsaidia atakuwa salama zaidi ya salama na maaskari watamlinda maana ikitokea kafa hata kwa muda wake kufika hao maaskari watapata tabu sanaaaa
Mr President should assure the safety of that guy coz I know what will happen next... You ask me if I have ever been to prison..?? I answered, " yes,I am still there trying to escape.
Binafsi sijui maisha ya gerezani lkn naamini 100% wafungwa wanateseka,mimi nikipishana na gari la wafungwa najikuta machozi ghafla yananitoka ni kweli wengine wametenda makosa lkn wengine wameonewa
Uzuri wa huyu jamaa alieongea maneno ya mwisho yana umuhimu katika uhai wake...ondoka na huyu afisa wa usalama LA sivyo utaletewa maelezo ya kifo changu wana binu zao ondoka nae atanithuru..
Naitwa Octavian Lwoga Naishi Dar es Salaam,mikocheni. Tunaendesha program yetu ya (online social networking) Program yetu inayo sapotiwa na AIM GLOBAL COMPANY, PAMOJA NA NMB BANK Inaweza kukupatia uhuru wa kifedha Tzshs 100,000 mpaka 960,000 kwa siku. Biashara hii ya mtandao naifanya Kwa muda wangu wote na Nimeweza kutengeneza million 40 kwa ndani ya mwaka mzima mpaka SASA. Office zetu zipo mikocheni A dar es salaam, lakini kwa watu wa mikoani huwa tuna utaratibu wa kuwaelezea biashara kwa njia ya simu. Unaweza kunifikia kupitia WhatsApp au simu ya kawaida kwa number 0789070405. Asante.
Kama kuna askar magereza humu jijue we ni kenge2 na njia yko kwa Mungu ni nyembamba afadhal ya sindano mnajifanyaga mnajuua kumbe mafala kbs msio jal binadamu wenzenu shwaini nyie
Kama umemuona huyo kamanda anamuangalia kwa hamu Albino gonga like.
huruma sn
Inatakiwa waangaliwe kwa jicho la pili
rabra ivo
Ila uzur Mhe Rais alimuony asije kumsumbua huyo Albino endapo akifanya hivyo atajua tu kwa nanma yoyote.
Mustafa Shaibu magufuri anafanya ipasavyo kabisa
Lakini Mh .Magufuli huyu ofisa usalama ondoka naye usimuache ukimuacha atanizuru 🤣🤣🤣🤣....
Bashir Mohamed amina
xx
🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenyeezi Mungu mlinde kiumbe chako mheshimiwa Albino na madhara yoyote ile ameen.
Amiin
I wish magufuli angekuw Rais wetu, apa kenya ... Is such a good person...
He is. But they are some stupid Tanzanian doesn't see that.
@@johnkija6793 don't call us stupid because you know nothing , and one more think HOW CAN YOU UNDERSTAND SOMETHING THAT YOU NEVER HAD ,
@@jennifernduka720 so you mean I know nothing because I support Mr President.. Hahaha you better be serious my dear
@@johnkija6793 Are you a Tanzanian or kenyan? Answer that question so that I can know what kind of person I'm talking with.
@@jennifernduka720 jina linajieleza ni mtanzania na nimjomba wa Magu. Karibu sana Mwanza
Mungu wangu Rais mpendwa wa East Africa akiondoka tu Albino atauawa
Jamani baba rais msaidia huyu inatia uchungu sana kweli nilia kuna watu wanatesa wafungwa mno rais wewe ni wanyonge asante kwa kuwasikiliza mungu hakupe afya na hekima na maisha marefu ubarikiwe sana
mungu akupe afya njema rais wangu mpendwa kweli ww ni mtu wa watu hadi magerezani
Okay pic MI
Tunamwombea Rsis kwa Mungu muda wa maisha mrefu- kwani anayo nia njema kwa wanyonge
Hongera sana mh rais magufuri hakika mungu amekuchagua kuja kuwatumikia watanzania.safi sana kwa kazi nzuri mw.mungu akusimamie ktk majukum yako...by chinga dodoma
Ila kuna watu wanajifanya miungu watu yani wakiwa na cheo ndo wanaona chance yakuwatesa wenzao tukumbuke kuna hukumu kwa mungu dunia ni mapito
Abubakary Almas yan achat mung n nimung kwel
We are following from Kenya and we demand th safety of this inmate failure to which we will come riot in that Prison ...this is a brother and we care about our neighbors ..plz waTanzania
Naomba rahisi Kenyatta aone hii akaulize wafungwa wa Kenya mashida yao
Kweli kabisa nduguu
Yeah I hope so
Haezi
Utangoja🤣🤣🤣
uwiiiiiiii uyo albino cjui km atabaki salama
Ever tumuombee Albino sijui kama yuko salama saa hizi
Everline Lucumay msihofu Mungu atamsaidia atakuwa salama zaidi ya salama na maaskari watamlinda maana ikitokea kafa hata kwa muda wake kufika hao maaskari watapata tabu sanaaaa
Everline Lucumay kajitoa muanga alubino
😀😀😀😀albino kasema yote
maajabu
Tunakupenda Rais wetu kweli ww ni Rais waanyonge
Mm ni Mtanzania , siyo mnyonge hata kidogo, huyu ni rais wawatanzania wote ni wajibu kuhakikisha kuwa Watanzania wote tunakuwa na Maisha Bora
Let's hope the Albion guy is okay. Media should follow this case
Mungu ndiye mlinzi wa wanaosimamia kweli tupu hata kama watauwawa.
Huyo rais akimuacha kifo...Wah Mungu amulinde
From Kenya magufuri ondoka na albino plz atanyongwa
Mr President should assure the safety of that guy coz I know what will happen next...
You ask me if I have ever been to prison..??
I answered, " yes,I am still there trying to escape.
Hahahahahahaha
😂😂😂😂
Duh!
Haya yote yapo hakiyamungu.
Watu wanaojifanya waungu watu.
Mussa Sualehe h😀😀😀😀😀
Kwakweli katiba yetu ingekuwa inaruhusu tungemuongezea miaka mitano mjomba magu ingependeza kwakweli!!! Ni kiongozi Wa kipekeee!!!
Aminia Abdallah Yani Akili zako kweli ni Qt Yaani kitendo cha kwenda tu Magereza ET Aongezew Miaka je Akikupa Nyumba ww Utasemaje.?
@@chrisantemanuel2523 sio tu kwakwenda magereza!! Mambo ambayo ameshafanya ni makubwa ya kuonekana!!! Acha umaku!!! Kafie mbali na uchadema wako!!!
Aiseeee Kumbe Najibizana na Qt Nilijua Unaakili Maana naona matusi
Jela si kuzuri ndugu zanguni 😢😢
Huyu ataondelewa hatutamuona basi umuchezea moto bye malehemu 😭😭😭
Rais uhuru fanya kazi kama mwenzako
Our president uhuru is a lazy man
Omg,any update of this guy?? I admire his courage , hope he is ok
We rais MUNGU akutetee
Ondoka naye!!!😂😂😂😂. Huyu haogopi kiiiitu!!!🙋♀️🙋♀️😥🤣🤣
Eee Mungu wetu tunakuomba umlinde magufuli ili Mungu wanaoteswa wasaidike umlinde nakumbariki na afya nzuri ee tunakulilia tukubalie amen
Hahahaaa Rais Ondoka na Uyu Mtu Lasivyo Ataniuwa 😂😂😂😂😢😢😢
ashukuriwe mungu kwa hiki hakika ni Tanzania mpya watu wanaonewa bure wanadhalilishwa bure lakini kwisha kupo
Tunaombaaa utembeleee upandee wa mizaniii hasaaa MZANI WA DODOMA umezidiii kuwaa na wiziii
Mungu wangu.
Huyu mbona kajifanyia balaa.
Hadi namuonea huruma
nazir noor hatofanyiwa chochote wala msihofu kwani ikitokea huyo Mkurya kafa hilo gereza litawaka moto
@@hassanmirambo564 wewe unauhakika gani...??
nazir noor tatizo nafsi zenu zimekaa kuomba mabaya tu ndio mfurahi na hayatatokea kwa uwezo wa ALLAH
@@hassanmirambo564 kumbe huna akili.
Kwa ziara km hizi ama kweli ukombozi wa wanyonge
Dah Kuna usalama kwa huyu mtu kweli
Wasema kweli hawadum, mungu simama na wasemakweli
Albino mfungwa wa miaka 30 duuh hii dunia jaman
Binafsi sijui maisha ya gerezani lkn naamini 100% wafungwa wanateseka,mimi nikipishana na gari la wafungwa najikuta machozi ghafla yananitoka ni kweli wengine wametenda makosa lkn wengine wameonewa
Kkkkkkkkkk da kweli afunguka jamaa ukweli
Raisi wa inchi yangu angekua ivi ningefurai sana
ety?
Kuuliza tu, Tanzania ni nchi ama ni kioski
Nakupenda Makufuli
🤣🤣 et ondoka naye huyu
Duh huyu jamaa Leo sijui
Daaah! Jasir sana uyu alibinism Mungu amlinde
Michael Kasogela kam anay yaongea niyakwel mung atlindat
"Hebu angalia Magufuli...".
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
huyo albino mungu mlinde awe salama
Kweli alindwe huyu albino jamani ametoa yote yamoyoni
Huyu hana bahati😂😂😂
selekali iwemakini kumuekea ulinzi alubino
Saunu Ally
Daaah😧
msaidie jamani uyo kijana
Huyu jamaa kanifanya nicheke sana duh
Yan me nimcheka iyo Jana Hadi raha
rais wa Kenya angekua k John pombe Kenya ingepona
Aondoke huyo raisi mungu amuepushie mbari nabara hiro
Pole baba sio butimba2 hata magereza mengne ningependa rais atembelee kuna watu wanateseka
Rais naomba mtoe huyo mlemavu atauliwa masikini
Mbona ata bado simuelewi Huyu Albino??
Mm ata sijamuelewa
Kwa kwel tunahitaj mkaliman hata mm sijaelewa
Mambo ni mengi mda ni mchache
Mkuu wa nchi inabidi utembee magereza zote Tanzania coz inaonekana kuna uozo mkubwa sna jamani wafungwa wanateseka sana.
Watu kama hawa ni muhimu sana kwenye ili taifaaa
Jera jeraha ndugu zangu,tuliowahi kufungwa tumeona mambo aisee Mungu wasaidie watu hao ambao wengine wamefungwa kwa uonevu aisee dah
MACHAS OFFICIAL SITE daah pole
Hutu jamaa should be transferred please for his safety
Duh mweshimiwa magufuri namkubari
Hayo ndo majembe sasa
TUKIPATA WATU KAMA HAWA 10 TU NCHI KILELENI
Atabaki kilelen uyu albino
😄😄😄😄
mh magufuli nakupenda sana
Uyo imekula kwake uyo 😅😅
Ndg raisi Asikuache aisee watakupigia mazoezi adii basii
Vp
Wallai Huyu jamaa ukimwacha humo KIFO tu. ondoka naye
Kama ni kweli kwann asiongee mungu amulinde tuuu
Kwa kweli hali ni tete dah
Sherypha Mwenevalley
Wakenya tuko wangapi hapa??
Stephen Maina dimoind
Asante sana, mungu akbariki kiongoz wetu,
Nilikua siamini kama mg nitetezi wawanyonge kwahili salut
Mzee magu mashehe wetuuuuu.
HHahahahah albino hakika anaomba Mheshimiwa aondoke na afisa usalama maana akibaki kazi anayo
Tarabu
Analiaaaaaa jamaniii
Bb magufuli mlinde huyu mfungwa
Yarab nakuomba umlinde huyu kijana na umfanyie wepes miaka 30 maskin
Anamakundi ya wafungwa huyyu wajuajiii ataniuaaaaaa. Nisaidien ataniua huyuu indoka na huyu mtu wanambinu nyingi we mzeee
Ile kukanyagwa utakanyagwa albino!!
Umewaza kama mimi.
Atauliwa Huyo maskini
Mwenyez mungu akusaidie
Masfiga unakiburi eti ameniinuwa katika rank ,nimesikika
Kanichesha sana alivo mpaka tope uku ana msonta
Uzuri wa huyu jamaa alieongea maneno ya mwisho yana umuhimu katika uhai wake...ondoka na huyu afisa wa usalama LA sivyo utaletewa maelezo ya kifo changu wana binu zao ondoka nae atanithuru..
subhanAllah
Mungu wangu jeraahhh
Masikini jamani mpaka nimelia duh
Noma sana
Jamani atanizuru!!
😢😢😢jamaa hana bahat ndo afa hivyo
jera sio sehemu nzr
Naitwa Octavian Lwoga
Naishi Dar es Salaam,mikocheni.
Tunaendesha program yetu ya (online social networking)
Program yetu inayo sapotiwa na AIM GLOBAL COMPANY, PAMOJA NA NMB BANK
Inaweza kukupatia uhuru wa kifedha
Tzshs 100,000 mpaka 960,000 kwa siku.
Biashara hii ya mtandao naifanya
Kwa muda wangu wote na Nimeweza kutengeneza million 40 kwa ndani ya mwaka mzima mpaka SASA.
Office zetu zipo mikocheni A dar es salaam, lakini kwa watu wa mikoani huwa tuna utaratibu wa kuwaelezea biashara kwa njia ya simu.
Unaweza kunifikia kupitia WhatsApp au simu ya kawaida kwa number 0789070405. Asante.
hahahaaaaa dahhh jamanii nimechekaaaaa
Vp?
😭😭😭😭😭... inaumiza kiukweli
Kama kuna askar magereza humu jijue we ni kenge2 na njia yko kwa Mungu ni nyembamba afadhal ya sindano mnajifanyaga mnajuua kumbe mafala kbs msio jal binadamu wenzenu shwaini nyie
masikini jamani nimetoka machozi
Ni mufugwa wa miyaka 30 🤭
duh.hakuna hakimu wa kweli isipokua alla
Hata simuelewi anachokiongea
Wewe atakuelewa nani???
nimejikuta nacheka tu maana dah ila aise bidadamu tupendane jaman
Kuna mengi zaidi ya ayo sehemu kibao zimeoza
albino anahofia maisha yake .
Inapendeza