Ngelela Ng'wana Samo_Inaga Official Audio

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 46

  • @KalibaShijamakelele
    @KalibaShijamakelele 2 місяці тому +1

    Chapa kazi nazikubali sana nyimbo zako.

  • @mabinamsoja4849
    @mabinamsoja4849 4 місяці тому +1

    wimbo safi kabisa ngelela samo

  • @HamisJonas-hs6di
    @HamisJonas-hs6di 5 місяців тому +2

    Hongera kaka

  • @AmosiMasungu
    @AmosiMasungu 5 місяців тому

    Upo vizuri kaka insha anawivu sana

  • @NkwabiTungu-j9v
    @NkwabiTungu-j9v 11 днів тому

    Hizo ni ngoma tu zakijadi hakuna ubaya wowote uapo

  • @najishija
    @najishija 6 місяців тому

    Uko vizuri sana

  • @ihanomadili
    @ihanomadili 5 місяців тому

    Somo yangu nakukubali sana.

  • @MACHEMBENDAKINDAKI-cs7sz
    @MACHEMBENDAKINDAKI-cs7sz 8 місяців тому +4

    Ahsante sana NGELELA SAMOJA Umemjibu vizuri sana inaga anawivu sana haliziki tu tangu aliko anza kuimba Jadi NGELELA SAMOJA Chapa kazi Mungu atakulinda na WANGANGA wako wapi mahili Karibu sana LINDI WILAYA YA KILWA

  • @SalumLimbu
    @SalumLimbu 8 місяців тому +1

    Kwani ngelela ukiusikiliza huo wimbo wake mlyambelele usitishike ameimba kama mtu kapandwa na mashetan. wew chapa kazi tu kaka mungu yupo pamoja nawe kaz njema kaka.

  • @ReonadShilundila
    @ReonadShilundila 7 місяців тому

    Pamoja na kipaji ila umekulia kwenye mji wenye maadili sana wangekuwa wasanii ninao wajua lazima hapo tungekutana na matusi bila kujali umli

  • @IsayaLukanya
    @IsayaLukanya 8 місяців тому +1

    Acha kuteteleka huyo uzee unamsumbua,,,, karibu sana SHISHIYU tunakupenda sana manju wetu,,, by ISAYA ISANZULE

  • @elizabethseni6110
    @elizabethseni6110 8 місяців тому +1

    Piga kazi Kaka yagu kalibu mpanda kata ya itenka

  • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
    @peteremmanuelymatwimatwiem3258 8 місяців тому +3

    Uko vzr malale mtoto napenda utamaduni wetu kutoka dar salam tz

  • @MwananshomaZenzeione
    @MwananshomaZenzeione 8 місяців тому +3

    Hongera sana ngalu ,ilakini huyó mzee anapenda akunyanyase ye anajiweka kama mungu mtu

  • @SalumLimbu
    @SalumLimbu 8 місяців тому +1

    Sidhan kama atarudia tena inaga kukutusi hongera sana kaka karibu sana bulige

  • @abelmedsen
    @abelmedsen 8 місяців тому +4

    Wimbo safi kabisaa

  • @ernestlameck5523
    @ernestlameck5523 8 місяців тому

    Mashenene anakuwezea kwenye mabiti ninoma 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KatemiBenjamin
    @KatemiBenjamin 7 місяців тому

    Yani kaka chapa kaZi hata huku sisi wanamajimoto tonakuombea kwa mungu

  • @SospeterGeorge
    @SospeterGeorge 8 місяців тому +2

    Saana jidaguuuu hata mkubwa akikosea huwa anaonywa muonyee kabisa inaga

  • @massanja221
    @massanja221 8 місяців тому +3

    Endeleen kuimbana tu angalau asili inachangamka mana mkiwa hamuimbani mnashinda kwenye maharusi tu tunakuwa tunakosa radha ya asili

    • @MasanjaSamweli-b3r
      @MasanjaSamweli-b3r 8 місяців тому +1

      Kweli 😂😂😂😂

    • @ngelelasbupina
      @ngelelasbupina  8 місяців тому +1

      Naaaaam

    • @MasanjaSamweli-b3r
      @MasanjaSamweli-b3r 8 місяців тому

      @@ngelelasbupina umeimba kwa uchungu sana hata Ivo inaonekana Kuna mengine huwez yasema hadharani ila pole sana mtoto wa samoja

    • @massanja221
      @massanja221 8 місяців тому +1

      Unafikil we huon kisima na gude walipoanza kuimbana yani hata mziki unachangamka ko nawao wapambane tu wakiacha wanaishiwa maneno zinaanza nyimbo za harusi

    • @massanja221
      @massanja221 8 місяців тому +1

      @@MasanjaSamweli-b3r wimbo ni mzuri beat limetulia sasa imagine kama asingekuwa innaga kumuimba leo ungesikia wimbo wa nani nani

  • @lubigsaboy
    @lubigsaboy 8 місяців тому +1

    Njoo upige show ushirombo king tunakusubili mnoo

  • @ReonardShilundila
    @ReonardShilundila 8 місяців тому

    Hayo ndo majibu ambayo tuliyasubili kutoka kwako hakika wewe mwinikili magulya wewe ni mwamba

  • @maximiliankadawiibalaja2198
    @maximiliankadawiibalaja2198 8 місяців тому

    Mungu yupo nawe muda wote Ngw'ana Samo Wewe Ni Mwalimu Kwenye Jamii yetu

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 8 місяців тому

    Hakika wewe ni Mwamba wa Tanzania chapa kazi ngalu

  • @MweliMazozo-nf5mu
    @MweliMazozo-nf5mu 8 місяців тому +1

    Upo vizur sana

  • @SamuelSamwel-cx1nk
    @SamuelSamwel-cx1nk 8 місяців тому

    Uko vzuri maana halisi ya jadi lisogasana mwenekele magulyaa

  • @SulwaSulwa
    @SulwaSulwa 8 місяців тому

    Ngelela nakukubali sana ujuw😅

  • @SamuelLusana-md6eo
    @SamuelLusana-md6eo 8 місяців тому

    Kaka ngelela pambana naumia sana ckiona mtu anataka umuabudu yeye nmeflahi hayo majibu

  • @laurentbuhoy1832
    @laurentbuhoy1832 8 місяців тому +1

    Híyó imeenda

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 8 місяців тому +1

    Karb mwakitoryo

  • @jingomathias-qn3bx
    @jingomathias-qn3bx 8 місяців тому +1

    dj jingo sounds

  • @mabinabahebe2428
    @mabinabahebe2428 8 місяців тому +1

    Safi sana

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 8 місяців тому +1

    🤣🤣🤣🤣 daaaaaah

  • @PeterJames-ro8fq
    @PeterJames-ro8fq 8 місяців тому

    Natogwa ng'wana ong'wasamike

  • @kadegeasilitv-zt9bv
    @kadegeasilitv-zt9bv 7 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 8 місяців тому

    Nice

  • @ManjiNzobheNzobhe
    @ManjiNzobheNzobhe 8 місяців тому

    😅😅😅😅

  • @KashinjemahonaKashinjema-cr3re
    @KashinjemahonaKashinjema-cr3re 7 місяців тому

    No beautiful