Kuna nini? Simai Mpakabasi ajivuwa uwaziri wa utalii serikali ya Dk. Mwinyi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya utalii na mambo ya kale kwenye serikali ya Dk Hussein Ali Mwinyi ameamua kubwaga manyanga.

КОМЕНТАРІ • 5

  • @bablasbulludozer-be3ww
    @bablasbulludozer-be3ww 8 місяців тому

    Wanajuwa hilo si kama viziwi yeye ni muuza pombe atete nn kama si pombe 😂😂😂

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 8 місяців тому

    aletwe mwengine ili aje kuitetea pombe Zanzibar,
    Pombe ni HARAMU, HARAM, HARAM hatuitaki Zanzibar.

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 8 місяців тому

    Mbona kasahau mwezi gani. Hajasema sababu ya kujiuzulu

  • @HadhirNAli-hy4ni
    @HadhirNAli-hy4ni 8 місяців тому

    Sasa si mumfate mkamuulize😂

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 8 місяців тому

      Kwhy naww upo kw niaba yke au Serikali...?