NYIMBO ALIZOZILETA MUNGU DUNIANI KUTOKA MBINGUNI ZINA UJAZO | Groupe Alleluia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 тра 2023
  • Nyimbo hizi zimepakwa mafuta na Roho Mtakatifu kwaajili ya kuganga watu wote dunani. Zimeimbwa katika ala za mbinguni kwaajili ya watakatifu wa siku za mwisho. Ni nzuri, zinamkaribisha Roho, zinaponya, zinafariji, zinatafakarisha na kuganga mipasuko ya kiroho. Hautachoka kusikiliza maana anaimba Mungu mwenyewe kupitia vyombo vyake.
    Ukisikiliza kwa ima jambo jipya linaumbika kwako. Mungu kwa jina lake Yesu, na akubariki kwa kusikiliza.
    +19024403883.

КОМЕНТАРІ •