Mama DANGOTE amjibu HAMISA? "Mkwe hakutaki" Mashabiki wamuomba amsamehe kwa uchungu waguswa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • #HamisaMobetto #MamaDangote #Gingerme

КОМЕНТАРІ • 344

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 3 роки тому +34

    Sisi sote ni waja wake Allah! Don't worry hamisa Ukipendwa na Mungu hiyo imetosha!

    • @irenewanini6716
      @irenewanini6716 3 роки тому

      Mama diamond kwani ni mungu,

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 3 роки тому +2

      Exactly my dear, yeye ni nani kwani 😏😏😏

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 3 роки тому

      @@irenewanini6716 Eti

    • @rehemahussein748
      @rehemahussein748 3 роки тому +2

      @@saumuhassan6365 amejisahau kuwa pesa ni mapambo ya dunia tuu! Huwezi kumchukia mwana wa mwenzio buree Bila sababu!

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 3 роки тому +1

      Achana nae huyo bibi mchawi, kama mungu anakutosha inatosha huyo mwanga asikusumbue

  • @Kal-Mary
    @Kal-Mary 3 роки тому +27

    Hamissa Hamissa Hamissa nakupenda ila nakuomba ukaye mbali na hao watu hawakupendi,fanya kazi zako Mungu atakubari tena kama inawezekana ata kuhusu matumizi ya mtoto usiombi labda mwenyew Dai ajitume.kaa mbali Mama usiruhusu kuwa karibu nao please 😔Roho inaniuma utafikiri ni Mimi daah.Please achana nao na uyo Daimond hakupendi ju yeye njo katunga uyo wimbo 😭😭😭

    • @omanmuscat299
      @omanmuscat299 3 роки тому

      Kweli hata mimi namuomba Hamisa angejitenga nao yani sijui kwanini anawafata wakati hawamtaki anajidhalilisha aachane nao asonge mbele Allah atambarik

    • @Kal-Mary
      @Kal-Mary 3 роки тому

      @@omanmuscat299 kwli kabisa wng,yani wanamzarau kupita kiasi.kama ni upendo ameshawaonyesha ila wapi.Sasa ajitenge nao

  • @lm6373
    @lm6373 3 роки тому +12

    Hamisa mzuri sana anajuwa ku jivicha ona video yake machallah anapendeza anasema vizuri good personality lakini zuchu nguo ana vaa kama zime chonwa kwa fundi wa barabani mmmh hamisa well done

  • @catherinemuthoki2614
    @catherinemuthoki2614 3 роки тому +4

    Hamissa dada ...achana na huyu mama siku yake yaja chuki ...ikunyime kuishi ...jikaze na maisha yako ...let her be God's love is important than human being love...may God protect you and your son

  • @marthaemmanuel3323
    @marthaemmanuel3323 3 роки тому +3

    Safi sana mama dangote mkomeshe huyo

  • @maimunamunisigloyyixigjsgs6638
    @maimunamunisigloyyixigjsgs6638 3 роки тому +9

    Wewe mama kuwa kiakili mtoto Hana tatizo kiumbe Cha mungu hicho. Duniani tunapita

  • @NANCYWARD488
    @NANCYWARD488 3 роки тому +6

    Kwani kama Hamisa alimkosea. Huyu mtoto mdogo Malaika amemkosea nini ? Jeuri ya pesa, zote tutaziacha hapa hapa. Hamisa Mungu atazidi kukufungulia njia. Huyo mwanamke sio Mungu

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 3 роки тому +11

    Jamanie mama kauliza nyimbo kaimbiwa Nani ? Ubaya wake uko wapi?

  • @mariajoackim1368
    @mariajoackim1368 3 роки тому +9

    Daah,,,,Mimi kama mwanamke sijajisikia vizuri Ila hapo hamissa akae mbali na hiyo familia wanaweza kumpoteza mtoto wake aombe uhai alee mtoto wake mabibi wa upande wa kiume sometimes miyeyusho,,,yaani hamisa jinsi anavyojielezea nimejisikia vibaya

  • @tajjudinihaji2776
    @tajjudinihaji2776 3 роки тому +18

    Ukizaa mtoto nnje ya ndoa.ujue ni wa mwanamke .so acha watoto walelewe na mama zao

    • @user-lq6kr2gl7n
      @user-lq6kr2gl7n 4 місяці тому

      Ni kweli kabisa wanawake weng wanafel hapo kuzaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa huyo mtoto ni wa mwanamke na tumeshaambiwa ktk din haifai baadae ndio matatizo kam haya na hili Wimbi la kuzaa pasina ndoa wanawake weng has wa kiafrika ni shidaa

  • @abdulrazzaqchou3004
    @abdulrazzaqchou3004 3 роки тому

    Nakupenda sana hamisa mungu akupe nguvu dunia ni mapito akuna kilicho kuwa Bora isipokuwa allah 😭😭

  • @nenadurra8477
    @nenadurra8477 3 роки тому +11

    Mama Dangote oyee, nani kama mama, yaani I love this woman. Mama Dangote knows exactly what she is doing, she is not stupid. This so called Hamisa should stay away... Hivi Tanzania hamna wanaume?

    • @luckyvenance4576
      @luckyvenance4576 3 роки тому

      Inaonekana hata mamaako anatabia hizi

    • @mariegriffin9952
      @mariegriffin9952 3 роки тому

      Can you please translate what Hamisa is saying? Google translate is not accurate😂…I tried to translate Swahili into English but nope; doesn’t make any sense! Thanks in advance

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 3 роки тому

      Kweli kabisaa

    • @faithkagendo2548
      @faithkagendo2548 3 роки тому +1

      Umeongea ukweli.u r wise

    • @nenadurra8477
      @nenadurra8477 3 роки тому +1

      @@faithkagendo2548 Thanks

  • @luckyvenance4576
    @luckyvenance4576 3 роки тому

    Ivi hamisa siufate maisha yako unanichosha

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 3 роки тому +13

    Yani mama anatakiwa kuwa mfano ila ndo anatia aibu....huu ujinga jmn yani aibu naona mm😂😂

  • @najma3268
    @najma3268 3 роки тому

    Mimi wote nawapenda, nawaombea mungu to waweze kuyamaliza mapema kabla hawajaingia mwanandani, cc sote tumepanga mstari hatujui nani anaetangulia

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 3 роки тому

    Wa mama wengine uwaga wanajisahau kabisa awajuwi mpaji ni mungu na sio binadamu, mtu mzima hovyo. Hamisa upendo wa mungu ni bora kuliko wa binadamu take ur time🙏🏽🙏🏽🤲🏽

  • @mariyamumadebari4296
    @mariyamumadebari4296 3 роки тому

    Mungu atakupa riziki yako my dear!

  • @janemusa9529
    @janemusa9529 3 роки тому +16

    If she thinks she is beautiful and young why can't she get anther man???? Even father( Fantacy) your daughter left you and he is at peace, get a life girl.

  • @hopechidera
    @hopechidera 3 роки тому +17

    Huyu Hamisa nayeye anajinyimaga thamani sana,mtu unajua hakupendi bali unazidi kujipendekeza kwake😏😏😏bila aibu eti na birthday ya iyi mwaka ukamu wish😏😏😏kuliko nawewe ujitenge nae usimjali unajikaza kwake na ndo sababu hawezi kukupenda,mtu wa roho mbaya kama mama Dangote dawa yake nikutomjali na kumsahau kama alie fariki ili nayeye akuone wa thamani sababu humjali. Onyo ndogo👉🏽ukigundua mtu hakupendi usiforce kujipendekeza kwake just walk away kama wangereza wasemavyo and that's it.

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 3 роки тому

      nashangaaaa mie m2 km huyu namtakaaaa haswaa awe ktk anga zng akipita kishoto napita kulia mwisho wa cku anachiii😀😀😀😀😂😂😂😂😂

    • @lonelady3368
      @lonelady3368 3 роки тому +1

      Kwani mwanaume ni Diamond tuu...mbona aongelei kuusu mamake babake mtoto wake wakwanza?

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Unajua hiki kitu chamkwe hata mm kilinipata,tena maneno yalikuwa mengi yakudhalilishwa,lkn sikufungua mdomo kujibu wala kujipendekeza,napita kule anapita kule.mwisho wasiku kaanza kuona aibu mwenyewe nakutaka tusalimiane kanikuta sina habari,tena bila sababu yoyote.sawa Hamisa alikosea nakaomba msamaha amsamehe tu.hii nidunia tunapita tu

    • @gracesiwale7066
      @gracesiwale7066 3 роки тому

      Hamisa angeachana nao na kufanya mambo yake

    • @pinkygrey3459
      @pinkygrey3459 3 роки тому

      Umegonga dipo sioni anajilazimisha nini kwani bila hiyo familia hawezi ishi?
      Ashadhalilisha mara nyingi sana na hakomi
      Wanawake wengi huku nje ni masingle moms but wanalea watoto wao sasa sioni hamisa kwa nini anajilazimisha ku fit in kwa hiyo familia na hapendwi
      Kwanza nae pia ana pesa kwani hizo pesa zake hawezi shughulikia mtoto wake?
      Awache kua mjinga ingalikua ni mimi keee hata ndio singetaka kuwaskia ningejiwekq mbali sana na wao duh

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 3 роки тому

    Hamissa Mabeto mungu agusameh saaaana gukata damu yako yakwanza unarana kabisa🙈🙉🙊🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ashasuleiman9607
    @ashasuleiman9607 3 роки тому +3

    Mimi nakushauri Mama Dangote kuwa usihadaike na pumzi ya Mwenyezi Mungu ambayo muda wowote Mwenyewe Subhanahuwata'ala anaweza kuisitisha, hivyo unajua hukmu ya mtu kama wewe ambaye unaendeleza chuki na kutokusamehe? Mwenyezi Mungu hukuuliza je yeye akisema hakusamehe madhambi yako utakuwa mgeni wa nani kesho akhera? Please samehe saba mara sabini, kimsingi tunatakiwa ili tufe tukiwa na radhi za Mwenyezi Mungu tunatakiwa tukilala tumuombe Allah atusamehe madhambi yetu na kusamehe waliotukosea kila siku. So think about this, Binadamu hujui unaondoka saa ngapi maisha ni mafupi mno ndugu yangu. Think twice. Nahisi Hamisa ameambiwa haya ndio maana anafanya hivyo anavyofanya ili kupata radhi za Mwenyezi Mungu. Please fikiria sana akhera kugumu ndugu yangu.

  • @anithaemmanuel8981
    @anithaemmanuel8981 3 роки тому +27

    Kwan huyo mama dangote ndo nani labda embu atupishe mtu mzima hovyo😏😏😏....

    • @mereyamhomesmariamhomes3464
      @mereyamhomesmariamhomes3464 3 роки тому

      Anawatenganisha Watoto simjui kwa nn

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 3 роки тому +2

      Eti yeye ni nani kwani uyo Mama Dangote, ajui hizo Mali na maisha mazuri tutayaacha hapa hapa Duniani 😏😏😏😏 akanye mbele, mimi mwenyewe simkubali wala nini mxiiiiiiii

    • @safijohn6079
      @safijohn6079 3 роки тому

      Huyo mtu mzima hovyo hajielew huyoo

    • @subiraomari5908
      @subiraomari5908 3 роки тому

      @@saumuhassan6365 mtu mzima kisheti huyo

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 3 роки тому

      Unaaakili wewe hembu kunywa soda kwanza.who is mamadangote.bullshit huyu hamisa nae kwani mama dangote sura yake barabara ya mafanikio hata hamisa akashindwa kupita.mxiewww

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +2

    Si atulie kwani ameambiwa toka mda hawampendwi sasa kinachomfanya aendelee kuhangaika anayataka mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 3 роки тому +4

    Mama dangote pride itamuua mapema....kwan yy nan

  • @jasmineshemweta4547
    @jasmineshemweta4547 3 роки тому +4

    Huyo Juma lokole asipo mkubari hamisa anamsaidia na kitu gni,,yy mwenyewe danga😏😏

  • @salmasaid8964
    @salmasaid8964 3 роки тому +6

    Awez kumpenda maana yeye ndio sababu diamond na zari kuachana . alijifanya Rafk Wa zari kumbe anatembea na diamond ad kupata mimba..
    Awez kupendwa ata kdgo

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 3 роки тому

      Mama dangote na esma si walimleta ndani ya nyumba na kunwalika kwenye 40. Leo analalamika nini?

    • @copacabannaswax5061
      @copacabannaswax5061 3 роки тому

      Kwani huyo mod alimzakia mod peke yake kuna mwanamume wa mtu ktk hii dunia hiyo sio sababu, niloho mbaya tu ten yakichawii.

    • @khadijamohanani6476
      @khadijamohanani6476 3 роки тому

      Sasa kwani huyo zari aliowea .si wote michepuko tu.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 роки тому

      @@jonathanenock2329 alikuwa anamcheat Majizo??

  • @felisterraphaely7678
    @felisterraphaely7678 3 роки тому

    Hamisa mama achana nao Anza maisha yako mwenyewe hakka utaweza

  • @lucylucy2404
    @lucylucy2404 3 роки тому

    Asipo kupost kwn hauli hamisa acha mambo fny kazi kaa mbl n hiyo family ukion mama akupndi jua n mtot akupndi n siyo we tu umezaa watu wengii ila hawana kingngniz kama chako .

  • @brightluvanda2795
    @brightluvanda2795 3 роки тому +2

    Haliombi msamaha wa kweli huyo hamisa kama,,ingekuwa kweli kwanini kila siku hamisa amekaa stendby kuharibu mahusiano ya diamond na wanawake wengine?????

  • @uwasesifa4167
    @uwasesifa4167 3 роки тому +6

    Mama dangote wakuache kila mama ana choice ya mwanae kuoa bibi mwenye anapenda na mimi Hamisa simukubali kabisa.

    • @lm6373
      @lm6373 3 роки тому +3

      Utapewa mfukko wa mchele

    • @khadijamohanani6476
      @khadijamohanani6476 3 роки тому +2

      Hata kama ana choice lakini wanawake wote hao takua wote hawafai. Huyu mama sura mbaya mpaka roho yake mbaya.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Hayaja kukuta

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 3 роки тому

      Kama ww humkubali Ila mungu namkubali ndio maana yupo hai mpaka leo

    • @lisajackson5867
      @lisajackson5867 3 роки тому

      mama dangote alimpenda sana zari n wema katika mademu w diamond coz walikua n mapenz y kweli ndo mn mpk leo roho yamuuma sana n ukiangalia hmisa ndo aliyevuruga uhusiano w diamond n zari yaani movie bdo inaendelea hahaha nacheka km mazuri usiombe uchukiwe n mkwe or mawifi utakunya mawe

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 роки тому +8

    Mama mtu Mzima hovyoo..

  • @aeeazz8170
    @aeeazz8170 3 роки тому

    Maana warundi wanasemaga hivi umwana yankwa niwe akura sema insha allah

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 3 роки тому +2

    Mtoto atakuwa na ataona jinsi bibi alivyomkataa. Dha ni mbaya sana Allah amlinde kabisa. Ila Hamisa kaa mbali nao ya nini kuwafata utajajuta kabisa yatakayokukuta

  • @elitrudesulul1963
    @elitrudesulul1963 3 роки тому +21

    Uhusiano hau lazimiswi.

  • @marieimanishimwe4874
    @marieimanishimwe4874 3 роки тому +9

    Mama dangote let your grandson be.what your doing is not right at all .you must be the good example to these kids cause they are your future fmly

    • @bettycrawshaw183
      @bettycrawshaw183 3 роки тому

      They one she is hurting most is her son, Does she really think his happy with her! At the end of the day Dylan is innocent! She is a wicked human being

  • @matswelopelemphela9676
    @matswelopelemphela9676 3 роки тому

    Mama unajenga misikiti inamaana unamjua mungu samehe

  • @angelasenga5800
    @angelasenga5800 3 роки тому

    Ucjl hamisa mungu yupo nawe

  • @susymuganda6326
    @susymuganda6326 3 роки тому

    Asiyekupenda wachana na yeye, anayekupenda pendana na yeye maisha ni mafupi kama mtu anadai ni mcha mungu na hawezi samehe ibada Yake ni bure mbele ya mwenyewezi mungu.

  • @movetcaren4208
    @movetcaren4208 3 роки тому +1

    Sio lazima umpenda mapenzi ya Allah tosha

  • @Kanicynjuguna
    @Kanicynjuguna 3 роки тому +17

    Sasa kwa nini Hamisa worrying about this woman..mama mwenyewe mafi ya kuku 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Liz-2315
      @Liz-2315 3 роки тому

      Yani uyu mama n mafi tu chuki ya nini na vile Hanmisa alivyo mzuri

    • @sarahtony3937
      @sarahtony3937 3 роки тому +2

      Naww ni mafi

    • @sharonchristian3711
      @sharonchristian3711 3 роки тому

      Mnamlazimishaje ampende hamisa wakati hampendi Bora at ivo anavyojionyesha Kama alijipendkeza akapewa mimba akazaa yy akaushe na mwanae c ameyataka ebu achen kumchamba mama wa watu

    • @Kanicynjuguna
      @Kanicynjuguna 3 роки тому

      @@sharonchristian3711 kama.mama dagote hampendi mtoto wa hamisa. You think this woman will ever love hamisa...?

  • @salamagat4784
    @salamagat4784 3 роки тому +7

    Huyu bibi anazengua 2

  • @louangesid
    @louangesid 3 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭 mama mungu anakuona

  • @tatiya6883
    @tatiya6883 3 роки тому +1

    mie kinacho nifurahisha utakufa2 na Miwani kama kobe nyoooooo wajiona dunia yakwako Etieee🙃🤗🥱☹😏😏😏😏

    • @fatmatz5086
      @fatmatz5086 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣😂umejuwa kunichekesha duh🤣🤣

    • @tatiya6883
      @tatiya6883 3 роки тому

      @@fatmatz5086 😅😅wallahi anaboaa uyo bibi

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 3 роки тому +1

    Aaah hiyo imeenda kwa hamisa 😪

  • @getmad9908
    @getmad9908 3 роки тому +8

    😂😂😂😂 wako wapi walisema wimbo alimbiwa tanasha mko wapi nilijuwa tuu no donge Kwa hamisa. Tuuu😂😂,

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 3 роки тому

    Watajuana wenyewe

  • @nooromar6233
    @nooromar6233 3 роки тому +6

    Jamani kama kweli waislam kubalini hiki kitu sio mimi bali ni amri ya Allah hakuna kitu damu yake kama hakukuwa na ndoa msi halalishe kitu alicho kiharamisha Allah muna zini muki pata watoto kisha muna sahihisha makosa naelewe nita udhi wengi lakini ukweli una udhi lakini lazima usemwe mbona hatu laumu wanao fanya haki

  • @furahalawi941
    @furahalawi941 3 роки тому

    We ni mrembo mama

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 роки тому

    oke

  • @stanslauselias9002
    @stanslauselias9002 3 роки тому +5

    Mwanamke amezaa na wanaume tofautu kila siku mond mond mond anazingua mbona hatuoni anataja wanaume wengine

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      Ndoujuwe huyo mwingine kila kitu kikosawa.nainasemekana anamjengo wake kabisaaaaa

    • @junemuchiri609
      @junemuchiri609 3 роки тому

      Dada akiulizwa maswali na page za udaku na waandishi asijibu ama?

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 3 роки тому

      Golddigger huyo demu

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 3 роки тому

      @@m.mmarckus6298 hamna kitu

  • @nasraiddy9678
    @nasraiddy9678 3 роки тому

    Mjukuuu hana makosa ...kuna leo nakesho Mama angu dangote hujui mjukuu yupi atakufaa ,kama Mama ana ttzo na wew dili na Mama yake tu wajukuu wafanye wawe pamoja Bibi wew dunia hii siyetu wako wapi kina mengi matajiri wameacha familia zao maisha mafupi haya jamani tusidanganyike na pumzi hizii zinatuhadaa

  • @mariegriffin9952
    @mariegriffin9952 3 роки тому +6

    Okay, from what I can see HAMISA is all nice and sweet in front of the cameras while her fans and trolls hurl insults toward Zari and her kids Tiffa and Nee, even at Mama Dangote for posting them on her IG?…And before you start coming at me, Hamisa and her son LIVE IN TANZANIA but Tiffa, Nee live inSouth Africa! Hamisa is changing her tune because she has seen that her prior tactics didn’t work! One more thing👉🏽About her DNA test, I believe Mama Dangote knows more about it, just saying!

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 роки тому

    Msilazimishe watz mnahaibu kwani hamisa ninani kwa mama mondi mondi hajawai kuowa ata siku moja uwoni uzinifu mnaukumbatia ,mama dangote mungu amnahaibu ,hamisa alikwenda mahakamani kudai huduma ya mtoto hao ni watoto wa zinaa watoto wa mama msifosi haibu,ukiachwa achika ndiye,mama ngote mshauli mondi aowe aachane na uzinifu au kweli mondi free.

  • @maureenswai3275
    @maureenswai3275 3 роки тому

    Malipo na hapa hapa Dunia kila kitu vitasemaa

  • @kidawaali4160
    @kidawaali4160 3 роки тому +1

    Inaonyesha Hamisa bado anampenda dai shoga utakiwi uliomfanyia umesahau haaaaa

  • @deriodubose4199
    @deriodubose4199 3 роки тому +6

    Mkwewe akikukataa mungu nakukubali.yeye ni mtu au mja

  • @anniesilvester4315
    @anniesilvester4315 3 роки тому

    Daaah,Hamisa kaa mbali kuwa na busy na mambo yako atakufata akiona unafaa

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 3 роки тому

    Misa nae kazidi mtto anaangaliwa yeye kila kukicha dai dai katowa nyimbo imesahaulika yanayo ongelewa sasa ni mama dangote

  • @yusrasalmin9563
    @yusrasalmin9563 3 роки тому +3

    Haki hizi online tv nazo ni chonganishi,mmh

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 3 роки тому +5

    Maisha mengine co ykuiga jmn midiocre ndo hao tunawaona et mtoto hatutaki 😂😂😂😂 cjpta kuona aliyemshaur mama aongee hvyo kpuynga kwakweli

  • @KhadijaKhadija-cv9db
    @KhadijaKhadija-cv9db 3 роки тому

    Kuna Leo na kesho we mama haya ni maisha tu tunapita

  • @phoebeachieng3197
    @phoebeachieng3197 3 роки тому +6

    Dont worry she will came back crawling 😢

  • @irenekatumwa5963
    @irenekatumwa5963 3 роки тому

    Hamisa nakpenda ila acha kujipendekeza kwa hawa watu

  • @jasmineshemweta4547
    @jasmineshemweta4547 3 роки тому

    Hamisa wala usijali sio wewe tu unao chukiwa Sisi tuko na wtt kuanzia Baba yao na familia Yao yote lkn maisha yanaenda

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому

    Anaombwa amsamehe yeye ni Mungu aende huko mtu mzima asiyejijua wala kujitambua alikotokea.

  • @nathaliefikiri5003
    @nathaliefikiri5003 3 роки тому +27

    You broke her family what you think, you can’t make her like you if she not ready

    • @ELISSKGTV
      @ELISSKGTV 3 роки тому +4

      Adui wa mwanamke ni mwanamke, wewe ni nyoka

    • @stephanieeunice8572
      @stephanieeunice8572 3 роки тому

      Family gani

    • @nathaliefikiri5003
      @nathaliefikiri5003 3 роки тому +7

      @@stephanieeunice8572 Let me refresh your mind if you don’t follow this family once upon a time zari and diamond had a family had two beautiful kids and then hamisa come along,so diamond said he was going to be there for his child since he cheated on his girlfriend had a whole baby he’s gonna be a good father but Hamisa wanted the world to know that diamond was the baby daddy and she never apologize for coming between Zari and diamond family, mama diamond, loved Zari kids they were happy family, so whenever she is ready she will accept her.

    • @ELISSKGTV
      @ELISSKGTV 3 роки тому

      @@nathaliefikiri5003 tombwa kuma chafu

    • @ELISSKGTV
      @ELISSKGTV 3 роки тому +2

      @@nathaliefikiri5003 akiforce diamond kulala naye???

  • @mrphylophylo7842
    @mrphylophylo7842 3 роки тому +1

    Account ya UA-cam ya chinga imefutwa hamna nyimbo yke hata moja plaz fuatilia

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 3 роки тому +2

    Jaman haoo mashabiki wananivunja mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 3 роки тому

    I really appreciate

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 3 роки тому

    Kama hamkubali hamissa lkn mungu anampenda nibasi siolazima binadamu wakupende

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 роки тому

    Dylan n mtoto wa jaguar hata mama dangote anajua

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 3 роки тому

    Mama dangote balaa mhmm

  • @namuyindhamiim6556
    @namuyindhamiim6556 3 роки тому

    Hamisa she's whichcraft

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 3 роки тому

    Mama Dangote amsamehe tu hii ni dunia na tunapita pia Hamisa kashajishusha

  • @queenbellamicky7745
    @queenbellamicky7745 3 роки тому +1

    Ndo shida ya kupata pesa uzeeni,yeye ndo wa kwanza kuwa mama apa duniani?

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому

    Si kila mja atakupenda ila mungu wetu hana ubaguzi anatupenda waja wake bila kubagua kwanini sisi twabagua?so sad 😔

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 3 роки тому +1

    Moto hii 🔥🔥🔥

  • @joynamagembe5703
    @joynamagembe5703 3 роки тому

    Kindly translate for me, what's it about 🙏

  • @faustermathiasfaustet5362
    @faustermathiasfaustet5362 3 роки тому

    Oooh!!

  • @rebeccachikuru7605
    @rebeccachikuru7605 3 роки тому

    Inawezekana uyu hamisa alimukoseya adabu mama dagonte njomana. Ni kwa hamisa kwenda kuomba musamaha

  • @ndeletwaswai3530
    @ndeletwaswai3530 3 роки тому

    Hamisa acha kujikomba mama hawakutaki we bado tu.

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому +1

    Huyo Hamisa nae asikii toka amekataliwa ni leo??! Kwa nini asiwachunie km wao hawamutaki?!.

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 3 роки тому

    Uyo mama dangot anajion amefik apa dunian kumbe ajui punzi ndiy inamsumbua ila atambue nitunia t hi

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 3 роки тому +3

    Amprnde asimpende kilicho andikwa ndicho kitakuwa kupendwa na bibi haina maana hao wajuku ndio watakao kufaa. Anajisumbuwa bibi mwagiliya zote.

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 3 роки тому

    mambo ya familia hutakiwi kusema mtandaoni alfu pia hamisa hatakiwi kulazimisha mambo mwanamke funga mdomo wako ongea kidogo sasa ww unaulizwa kidogo bas unaongea yotee

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 3 роки тому

    Ni hatari kama hataki amuache tunaomba sapoti yenu muangaliya vitu vyetu ndo bado tunaanza bila nyiye hatutafika

  • @mwanaidisuriah3072
    @mwanaidisuriah3072 3 роки тому

    This mama will never see heaven

  • @rosemarymathew9215
    @rosemarymathew9215 3 роки тому

    Kaza achana na huyo mama

  • @hotcakerealcake5412
    @hotcakerealcake5412 3 роки тому +1

    Sasa huyo mama nani msuri kwake? Kila binti ni mbaya,? Mwanaye ako chini ya miguu yake, yeye asalishe tu na alee

  • @healthchoicewithluciebern8741
    @healthchoicewithluciebern8741 3 роки тому

    Anaye mpa mama yake kiburi ni Diamond, ila Diamond iyo ni damuyako 100% unazaraulisha mwanao nasio Hamisa

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 місяці тому

    Wanawake watanzania acheni taamaaa ukiamua kuzzaa namtu simama nae. Sasa tamaa zinawapoza tukisema tufatilie wanaume wa Tanzania wengi wanawatoto bandia sanaa sababu wanawake wabongo elim hakuna

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 роки тому +1

    Ahahaaaa ila hamisa anatabu jmn mama mkwe ndo uyo tabu tu na bila mama humuoni mondi 🙌🏽 sijui alimfanyiaga nini loh?

    • @rahmahassan1322
      @rahmahassan1322 3 роки тому +1

      Anajiendekeza na yy mond mond kuzaa nae anaona kama kazaa na yesu nae akifa atapaa.....

    • @lilianjeremia1024
      @lilianjeremia1024 3 роки тому

      @@rahmahassan1322 yaan

  • @evelinaluvata1471
    @evelinaluvata1471 3 роки тому

    Huyo mama ata kua mchawi😏😏😏😏kumchukia huko vip

  • @majidgashe9856
    @majidgashe9856 3 роки тому

    Na hamisa aache ujinga kwani bila Diamond hawezi kuishi bwana

  • @rahabnyambura688
    @rahabnyambura688 3 роки тому

    Hamisa your beautiful young ad handworking,just move on ad let this diamond ad family be....stop even mentioning them just move on dear

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 роки тому

    Maskini hamisa hanachuki wala siombaya anaonekana mwenye busara heshma na nidhamu asamehewetu hakuna aliokamilika

  • @joharijj2164
    @joharijj2164 3 роки тому +1

    Labda utuweke wazi tu ulimfanya nini sababu sio Bure... Kipo na unakijua Sana tu

    • @lisajackson5867
      @lisajackson5867 3 роки тому

      kabisa love huwez jua mtu kamfanyia nn mpk anmchukia hvyo

  • @exsaverymachaninga6138
    @exsaverymachaninga6138 3 роки тому

    Mama Ajielewi huyoooo

  • @IHIRWE146
    @IHIRWE146 3 роки тому

    Kitu mama Dangote anatikia kujyua Hata hamissa amemkusoea kiasai gani akumbuk kwamb Mtoto Ni Mtu mwema hana kosalolote
    Haoni kilichotakia katika Mtoto wake diamond NA babaake daaaahhhh Maisha haa😊

  • @firdausiabdulkarim2424
    @firdausiabdulkarim2424 3 роки тому

    Hamisa alizid kujipendekeza alijua zar ataachwa jumla mungu kamrudishia ubaya wake mwenyewe 😏😏