VTS 01 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @Neighborsjiran
    @Neighborsjiran 2 роки тому +6

    Allah amrehemu Shekh wetu

  • @issakasansa2148
    @issakasansa2148 4 роки тому +4

    ALLAH akulipe heri Inshaa Allah

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому +2

    الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته امين يارب العالمين

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 9 місяців тому

    Sheikh alikuwa na point sana huyu

  • @lulujidahbrighton5148
    @lulujidahbrighton5148 2 роки тому +1

    Allah akuweke mahala pazuri marhum Ilunga Shekh

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 Рік тому +2

    Kikwete alikuwa ni muislamu wa jina tu

  • @selemankilawa1589
    @selemankilawa1589 5 років тому

    hotuba yako imejaa uongoo huna historia ya kweli

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 4 роки тому +3

      Wewe huna maana kabsaa unapinga dini ama wewe ni wale mashekh mzigo wanafki... Bora unyamaze Bure sana mkiambiwa ukweli wa mambo mwakataa kwani mwataka je nyie ndo... Mwatakiwa mpatane na Mujahideen... Urekebishwe tabia

    • @husseinkazigo6189
      @husseinkazigo6189 2 роки тому

      Tatiz nikwamba huna radh zawazazi kafir alie laaniwa

    • @ambokileasheengai1140
      @ambokileasheengai1140 Рік тому

      Huyu Mzee Alipitiliza Mungu Amrehemu huko aliko alikuwa anachochea chuki za kidini wazi wazi.....Uislaam Sio Kujua Huo Mshaafu na kiarabu

    • @makenaOG
      @makenaOG Рік тому

      Nyerere , kikwete na viongozi wengine walikuako na hawakubisha itakuwa wewe kigagula hata labda ulikuwa hujazaliwa

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 9 місяців тому

      Sheikh alikuwa na madini sana

  • @selemankilawa1589
    @selemankilawa1589 5 років тому

    ni muislamu yupi alienda shule au chuoni akafukuzwa? acheni unafiki

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 4 роки тому

      Watu kama wewe mwatakiwa mkutane na khilafah

  • @selemankilawa1589
    @selemankilawa1589 5 років тому

    huo ni upotoshaji kusema waislam ndo wanalipa kodi na kodi inawaidisha wakristo sio kweli kodi kila mtazania analipa na inatumika kwa wote kodi inayokusanywa na serikali haitumiki kujenga makanisa wala misikiti kodi zetu zinajenga mabarabara hospital madaraja shule

    • @aliandrew3537
      @aliandrew3537 4 роки тому

      Hayo wajua wewe mzee huyu Ana hekma anajua zaidi yako mnafunguliwa bongo bado tu rigid minded style up bro

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 2 роки тому

      @@aliandrew3537 😂🤣😁
      Kweli mko gizani kumwamini huyu!
      Hata mtoto mdogo angesema huyu atumie hizi nguvu kuendeleza Waislamu wenzake, anayosema yanawarudisha karne ya 18.

    • @JamalMchachumbi
      @JamalMchachumbi Рік тому

      Na hiyo mikataba walioandikiana serikali na kanisa, kanisa wanapewa pesa ipi?. Mbn Kwa mujibu wa sheikh, kikwete alisema kanisa wanapewa pesa Kwa kua wameomba, Bali waislam hawaombi, kumbe hawaombi pesa ipi? Ivi wewe ingawa u mkristu huoni kwamba waislam wanabaguliwa na serikali ya ccm? Unajua vzr ila hutakiwi ulikiri Hilo.

    • @MohammedMohammed-gp9xq
      @MohammedMohammed-gp9xq 5 місяців тому

      Mfumo Kristo umejaa

  • @allanalex6601
    @allanalex6601 2 роки тому

    Huyu mtu hajielewi, kwa nini alianza kusoma shule ya wakatoliki wakati waislamu walikuwa na shule nyingi?