Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 2/5

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 80

  • @abdulfirst_pilot
    @abdulfirst_pilot 4 роки тому +4

    Kati ya wasomi walio msumvuwa nyerere nchii hii kutoka zanzibar na alishindwa ni maalim seif sharif hamad jee ni kweli hili hemu naomba like yako kama ni kweli

  • @saidmuhama9846
    @saidmuhama9846 6 років тому +16

    Allahumma ghfirlahuu warhamhuu waskinahuu filjannat, hakika umefanyakazi kubwa kutufunua vichwa waislam..

  • @yahyamihale7268
    @yahyamihale7268 9 років тому +7

    Ustadh ilunga msema kweli daima

  • @defantastica5246
    @defantastica5246 5 років тому +9

    Allah akurehem sheikh we2 hakika bado 2nakukumbuka na 2takukumbuka ktk uhai we2 wote.

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 4 роки тому +4

    Allah akurehemu inshallah

  • @mansourseif4387
    @mansourseif4387 8 років тому +15

    Ustadh ilunga allah akurehemu kwa kusema kweli waislamu wenye kujitambua amkeni muujie ukweli wa nchi hii

    • @msabahaissa6201
      @msabahaissa6201 Рік тому

      Mungu ampe shufaa huko aliko ametuachia athari

  • @yusufumbwene8949
    @yusufumbwene8949 5 років тому +10

    Shekhe Illunga Hasan Kapungu Rahimahu llah kaisoma Vizuri HISTORY OF AFRICA by Kelvin Shillingnton . Yuko vizuri nanayo hapa

  • @truthfact109
    @truthfact109 10 років тому +5

    Ustadh Ilunga kasoma. Huyo nimsomi. Mtu fedhuli asijilete hapa karopokwa tafadhalini.

  • @mussaarsenal6479
    @mussaarsenal6479 4 роки тому +3

    Masheikh kama hawa wanaotufungua Mash Allah Allah akulinde uwafungue ndugu zetu Ameen

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 4 роки тому +2

    Sheikh allahuma ramuh filjana tutakukumbuka daima lumumba hassan Allah akujengee nyumba peponi kwa kaz kubwa ulio ifanya

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 Рік тому +1

    Allah akujaalie nuru katika kaburi lako

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 4 роки тому +1

    Muislam yoyote asiemuelewa llunga bora artadi hana maana

  • @AliSharifali-y1z
    @AliSharifali-y1z 7 місяців тому

    Allah akurehem

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 Рік тому

    Allah akujaalie kila la kheir katika kabri yako akusamehe makosa yako kama binadam

  • @leymansalim162
    @leymansalim162 5 років тому +4

    Kweli ustadhi allah akupe pepo ya juu

  • @tomwalatu6785
    @tomwalatu6785 9 років тому +9

    Dah mwenyezimungu akupe tahafif akhera wenye chuki na uislam pôle ni chezea dini ya haki

  • @neemanivako5739
    @neemanivako5739 6 років тому +6

    Sheikh ilunga tunaomba andika vitabu uwaachie waislam hiyo ilmu
    siku moja wajukuu zako hiyo Elimu

  • @MohamedKasalama
    @MohamedKasalama 8 місяців тому

    Allah akuhifadhi,akunusuru na adhabu ya kabri Aaamin

  • @salehlofy4251
    @salehlofy4251 7 років тому +2

    cattleRusler huwezi kuelewa mtu anaeabudu mtu au kusema Mungu anamtoto hawezi kusikia maneno mazuri au maneno ya haki na kweli

  • @seifali5973
    @seifali5973 8 років тому +11

    nyerere na kenyatta makafiri wakubwaa

  • @seifali5973
    @seifali5973 8 років тому +2

    maneno kweli kabisaaa anayoleta balaa na vitaa ni amerikaa 100%

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 Рік тому

    Sheikh,mwenyezimungu ampe shufaa huko kaburini.ameisoma vizuri historia

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 9 місяців тому

    Mungu amjalie pepo kwa ukweli wake na kutoogopa kusema ukweli

  • @sadikimpili4942
    @sadikimpili4942 4 роки тому +1

    Mungu akuifadhi shekhe ilunga

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Рік тому

    Sheikh ilunga alikuwa na madini sana

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 років тому +13

    nyerere azabu ya Allah iwejuu yake

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 4 роки тому +3

    Maashallah

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 9 років тому +4

    ilunga kasema kweli

  • @ramahamisi7886
    @ramahamisi7886 8 років тому +4

    nice 1

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Рік тому

    Huyu alikuwa anatamani Waarabu waandelee kutawala!.Ila anaelezea historia vizuri na alikuwa anapandikiza chuki dhidi ya Wabara.Ila ninachoonq ni Wanzanzibari wananufaika na muungano kuliko Wabara, kwa sababu wameweza kununua mashamba makubwa huku bara na kufanya biashara kubwa kwa uhuru zaidi kuliko wabara huko Zanzibar

  • @juniordilema1097
    @juniordilema1097 5 років тому +3

    Tunataka mashekhe kama hawa tumechoka na mashehe njaa bin ubwabwa.

  • @manrectorz
    @manrectorz Рік тому +1

    MAREKEBISHO HAPO KWA WANAUSALAMA WALIOTOLEWA NA NCHI HIZO NI
    1. OSCA KAMBONA_TANZANIA.
    2. THOM MBOYA_ KENYA.
    3. JOHN OKELLO_ UGANDA.

  • @coachmohamedmmiji6619
    @coachmohamedmmiji6619 8 років тому +2

    Taqbiiir

  • @ramaict5180
    @ramaict5180 6 років тому +1

    Mungu ambariki

  • @jumaadamson4054
    @jumaadamson4054 10 років тому +1

    ilunga the great

  • @soudmnyika1070
    @soudmnyika1070 8 років тому +4

    do not say that Sheikh illunga speaks the lie but the problem of you is that you are reading the history which is already added some words so you must be differ but the history of Sheikh illunga pure and is really by nature so keep quiet for those who say that Sheikh illunga is the lie

  • @israelismwasibale4099
    @israelismwasibale4099 3 роки тому

    Utabiri 2015 Tanzania ulichemka yupo mwamba hayumbi

  • @abdallahahmedmmary225
    @abdallahahmedmmary225 4 роки тому +1

    Dunia nishamba la aghera ukifanya jema utalipwa jema ukifanya baya utalipwa baya haya ni mazingatio kwa wenye akili.

  • @selestinokidua884
    @selestinokidua884 6 років тому +1

    Mapinduzi Zanzibar; Oscar Kambona,(Tanganyika) Tom Mboya,(Kenya) John Okelo,(Uganda). ..
    Reply

  • @michaelmkwelele7310
    @michaelmkwelele7310 5 років тому +1

    Mwongo na mchochezi!

  • @seifali5973
    @seifali5973 8 років тому

    mwaraabu ndio aliletaa dini ya kiislamu

    • @talibsaid1166
      @talibsaid1166 8 років тому

      Si kweli basi Zanzibar ingekuwa maibadhi sote ,dini ilikuweko kabla ya maparsia hawajaja Zanzibar

  • @Abuu180
    @Abuu180 Рік тому

    Mahizbi bhn, huyu ni mwanasiasa sio mtu wa haqq...watu hawajui hata kutawadha na kuswali we unazungumzia nyerere na odinga inahusu nn.

  • @kheirsalum3059
    @kheirsalum3059 Рік тому

    0.video 6😊

  • @foryoucreatorsinstitute8212
    @foryoucreatorsinstitute8212 5 років тому

    Hiii haitakubalika

  • @seifali5973
    @seifali5973 8 років тому +1

    ndio maanaa hawapendi waislaamu hataa kidogo soma historia zanzibar waliuliwa waaraabu mass grave somaa history

  • @danaalqashuti8409
    @danaalqashuti8409 6 років тому

    Namie nitakua shekhe kwa mada ya kosiasa kusingizia ndio mawaidha khaaa

  • @mbeyaarusha8482
    @mbeyaarusha8482 8 років тому

    WE KWELI ujuwi na Huna history ya slave trade , Waraabu hadi leo wana practise SLAVE Trade na ndo Waanzilishi example nenda mauritiana/ sudani Hadi leooo , YES SAME THING UNAPOMZUNGUMZIA Mzungu kuwa mbaya na Mwarabu PIAAA SAME .....

    • @soudmnyika1070
      @soudmnyika1070 8 років тому +1

      try to read and understand do not follow the words of the people ,some time I can say that you don't understand what you talk . so turn to the class and study

    • @mvuvikinda
      @mvuvikinda 8 років тому

      Huyu Shekhe or mzee haujui history.... Go back to school

    • @allyyussuf7419
      @allyyussuf7419 5 років тому

      Ni afadhali wakati huo unaosema waarabu walikuwa wakitutawala na hyo slave trade watu walikuwa na maisha mazur Zanzibar kuliko wakat huu tunaoambiwa tuna Uhuru wakat hatuna Uhuru wa kuuza hata maji Tanganyika. Ukoloni mweusi

  • @georgemathew8075
    @georgemathew8075 4 роки тому

    .

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 8 років тому +1

    bila waafrika kutawaliwa na wazungu na waarabu tusinge jua dini , siku zote kuwepo kwa dini huleta maafa , john okole ni ukweli kabisa

    • @issamohad1289
      @issamohad1289 5 років тому

      Sasa ndugu yangu nabii gani katoka ulaya mpaka mzungu awaletee ukiristo hakuna nabii katoka ulaya Mwarabu kaleta uislamu kwasababu wapo mitume warabu

    • @abdallahahmedmmary225
      @abdallahahmedmmary225 4 роки тому

      Mwenyez Mungu ametuumba pamoja na Majini ili tumuabudu. Kwaivo Nabii Issa (yesu) Huyu ndie Mtume wa Mwisho Kwa nyumba ya Israil. Yeye aliletwa kwa wanakondoo wa Israel ama Mtume Muhammad S.a.w Yeye aliletwa wa Umma (Ulimwengu) Sasa ndgu dini ni Uislamu utake usitake wala hulazimishwi Shekh anaongea ukweli Allah ampe Noor Mashaallah usikhofu na uspinge kwani haya ni mazingatio kw wenye akili

  • @stamilist1352
    @stamilist1352 4 роки тому

    Hivi mnamjua MAGUFULI nyie au uliotaga 2015 ataingia RAISI wakuachaguliwa na makoloni? Kwenye ukweli nakusifia ila uongo upo ndani yake wewe sio kamifu ujue yote hayo 😂

  • @isahasan1356
    @isahasan1356 10 років тому

    Wewe ni muongo kabisa hata story ya Congo huijuwi hata kidogo....,,

  • @seifali5973
    @seifali5973 8 років тому +1

    wewe wasema wazungu hawakuletaa slave trade mpaka sasa trump hataki mtu kwaooo

  • @cattlerustlerrustler6133
    @cattlerustlerrustler6133 10 років тому +4

    Huyu jamaa muongo. Kama Nyerere alitumiwa na nchi za magharibi kuitawala Zanzibar. Kwanini Sultani alipopinduliwa alikimbialia uingereza? Jibu ni rahisi Sultani aliachiwa nchi na waingereza kuwatawala waafrika kama kibaraka wa uingereza na ndio maana baada ya kupinduliwa alikimbilia uingereza

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 9 років тому

      huyu mchonganishi tu anakumbukumbu ya historia ila anaongeezea na uwongo, kwa kifupi muungano sio Tatizo huyu na wenzake wanataka madaraka kwa kuwapropaganda waafrica masikini wa kufikiri

    • @simonrevaniy2413
      @simonrevaniy2413 7 років тому

      Muongo ww ushaitwa yuda

    • @simonrevaniy2413
      @simonrevaniy2413 7 років тому

      Yuda Madai muongo ww kafiri

    • @yusufnassoro7976
      @yusufnassoro7976 6 років тому

      CattleRustler Rustler umesoma wap

    • @zainabuhemedy9352
      @zainabuhemedy9352 5 років тому

      Una kalili

  • @truthfact109
    @truthfact109 10 років тому

    wewe usijifanye mwerevu cattle rustler . toa evidence . Wewe unakula raha wenzao wanaumia .. Hujali utu wa watu . Shida yako nini watu wakitaka kisiwa chao???

    • @jabirharuna4293
      @jabirharuna4293 8 років тому +1

      Allah akuhifadh akuondolee adhabu za kabur na cku ya mwisho akufanyie wepes ktk hesabu zako ulikua kiongoz bora bado ulikua ni MWL bora INNALILLAH WAINNA ILAIHI RAJIUNA TITAKUKUMBUKA DAIMA

  • @mbeyaarusha8482
    @mbeyaarusha8482 8 років тому +2

    kweli Akili ndogo ! so chochote cha waislamu unapiga keLELERE wengi sawa Tuh.. sasa ALSHABABU chakuwatetea nini WAUWAJI HAO wanaifanya somalia kuwa Stay back wasomali wenyewe wamechoka ....ETI nyerere we ujuwi kumbe NYERERE NA WESTERN IDEOLOGY TOFAUTI nyerere was Against HAO WAZUNGU alikuwa mjamaa/ socialism na CHINA acha kutumia DINI KUSAMBAZA chuki na ujinga