PATANISHO: Mume wangu ana uhusiano na wanaume na wanawake! (Episode 9, January 2020)
Вставка
- Опубліковано 31 жов 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#Patanisho #RadioJambo #GidiNaGhost
Subscribe UA-cam - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Me ni Mtanzania from Dareslam yaan katika Patanishi zote hii nimeskitika sana😭😭😭😭huyu mama ipo siku Mungu atampa pigo akumbuke mwanaume ni binadamu hajakamilka lakini anajiona Mwamba Mungu akutie nguvu kaka yangu utasimama tu
Hello Hello Radio jambo Gidi na Ghost please ingekuwa poa mutuweke uyo kaka live tuweze kuona yeye live live vile tunawaona Radio jambo. Tuone iyo sura ya sauti pesa anaomba bibi adi anapiga magoti nasi atuoni l miss to see this man really😂😃😂😃
Anajifanya tu
Mwanamke akichoka,amechoka.....pole ndugu....
She must be a precious jewel if the in-laws love her that much.
IMEFIKISHUWA PATANISHO LEO KILEWEKE MWANAME MWENYE ULALA NA WANAUME WENZAKE PIA WANAWAKE..OOOH MY GOD MUNGU SHUKA TUWENDE NAWE
Navile madem ni mob
@@The-Charlma-Food Dunia sio mbaya wanadamu ndio wabaya
This is the best breakfast show in the whole country ever. Wow! Keep on keeping on.
Woiye depression hio gid muelewe huyu jamaa lkn hii patanisho ni ngumu hapo nipangumu sana 😪
miaka yangu ni kama 37 😭😭😭😭ata sitaki msikusikia😂😂😂karume 💃💃nimetoroka hii side bt naogopa 2kutane na mama Chelsea 😁😁😁 patanisho ya leo imeenda hivi 👈👉
Best patanisho ever.... Nimecheka 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hii patanisho unajipata unalia na kucheka at the same time 🤣🤣
Next week tafadhali nataka mpatanishe waarabu na maji😞😞😞
Thank you
Ghost jamani😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawapendi'maji.au
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 hawaogi
Ukweli hawaogi chawa dio mingi.
Jamanini'nyamazeni'nimeambukizwa chawa zaniumaa hawa wangu wanaoga maramoja kwa wiki nayo ni ijuma wakienda'msikitini
Awa once in2 weeks.
Maskiniiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂
I feel for the guy😏😏😏
Alafu gidi wachanga kukatizia ghost hivo on air, 🙄🙄 but show iko sawa
I liked da show
I concur,manzee he puts him down a times..Hadi Ghost anakaa nikama Hana say kwa show😞..Great show though
😂😂👏🏾by far the best Patanisho in 2020..
Watu wa kasarani 😂😂😂💔
Hii kiswahili ya karume inaangaisha Gidi kwa kweli
Gidi ni muhandy kweli macho haina pasia
Fis kwa mbali🤣🤣🤣🤣🥳🇮🇱
Hawa wanaume wa kupinga mangoti wako wapi mungu wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂mungu niletee kaa uyo mwenye analia ivyo jesus😘😘😘😘😉
Hao wanakuanga wabaya sana cz anajua utamushamehe tu
Gay wa kazi gani ujasikia venye alikua anafanya
@@carolwanjiku3690 imagine tena ni gay
Maajabu haya jameni !! Mtu kutwatwatwa ndume mwenzako!!😯 hapo kuna utamu kweli?
Ukifa ataoa mwingine na life atazonga mbele tafadhali tafadhali tuombe mungu atusaidie sana
Jamani nime skia vibaya jamani namuhurumia huyu mume analia😭😭😭😭 mpaka magoti jamani anastahili msamaaa kwl
Semeni kuchelewa mm aki kama big team kujiamini patanisho yangu masikio..nikiwa namba 20
Mwanaume wa kusema MUNGU ndio shaidi ni waongo kabisa
Bibi wa heshima 😘nipewe hio sifa yote na nikose kuringa
Hii patanisho ni kieleweke pole Karume
Siwezi piga magoti...dunia imejaa wanawake...hio pesa ya shamba inaweza kuletea wengine bwana
Waaah.....Gidi Na Ghost big up for the great job....mimi iyo siwezi tatua.!!!!
But the man is very talkative evn though ....mwanamke akiamua kukuacha ni hivo team hammam mpoo!
Tuko... Mwanamke akitoka ni one way now days men take care
Daah! Mazito haya😂😂😂Masaai ero suba🙊patanisho ya kieleweke 😂😂😂😃😃
Ningepata mme kama huyu mwenye anajua kuomba msamaha ningefurahi sana
Mimi napenda kuomba msamaha tena mnyenyekevu nko single nitafute.
Bwana karume tuko hapa wengi tunatamani kua na hubby kama wewe 😢🤣😂
A guy wolololo🤭🤭🤭
@@cynthiawanjiru5436 😂😂😂😂😂
Hata kama ana nini GAY hapana
Mkiskia pesa mnasahau umalaya na kaswende kisonono 🤣🤣🤣🤣
Some things are very complicated, when the hunters becomes the hunted... Karume sasa umeanikwa hero ungekubali yaishe, Recheal hataki upuzi na umkome😭😭😭😭😭
When a woman finally decides its over , then its certainly over
Wengine wasema it's over na bado wanarudi.
Waaaah hii kali
aki this fire nipewe hiyo number yakarume asap 😂😂
Mamake Brian@ ubampenda?
Fimbo iyo pika mwenzako itakupika vikali sana
Magy Magy 😂😂😉😂ati anasema atafanya yote bibi atakayo sema😂
@@trishshii3468 naku kupa namba basi bana 😂
Work hard and be independent don't think of marrying someone because he is rich
Mnipee huyu Karume😊😊😀
Hawa wanaume wa kupiga magoti, si mungu anisaidie na mmoja? Nikimkosea anapiga magoti 😁😂😁😂
🤣🤣🤣Wacha zako hapo ufati magoti wafata zile 36k 🤣
lizy baby swrthrt 👌👌👌👌
@ roseline awinja huyu ni pretend nyuma yake Kuna umalaya kubwa sana juu ya pesa.
🙏🙏🙏 omba
Sally Okumu kabisa ni mhanyaji, alafu ako na tumadharau Fulani ndani yake.
Gidi ulipatikana wakamba hatupendi ujinga tumelewa na maembe hapana tambua utajiri tunajua kuchemsha maembe mtukome
Pole sana.
Gidi wacha mambo ya miaka Kenya hata watu hawajui walisaliwa lini😏
I love this guy called gidion
Waaaaaaah wanaume but wanaume nowadays wanaume wanadate wanaume wenzao uuuf
Team kujiamini mko wapi No 6 leo
Miaka pia inakwenda...Time is limited 😂😂😂😂
@@lucky9285 Heheeeee V.true
Niko hapa team kujiamini
Tuko ndani
Tuko ndani sweetheart
Sema kuchelewa,ndo nafika
@@fatumaqatar6185 karibu dada
@@maurinekhasila3326 😍😍
That woman is a bad woman, the man is honest,kuna wanawake wanataka waume,don't beg mwenye amepewa fitina
Aah kali daah makubwa hayo🏃♂️🏃♂️
Jamani, wakati naingia hapa napata nko number 50,i give up🤣🤣🤣. +964 MPO
Tupo saana
@@khaluuilucki8414 swafii
Tupo sana tena sana
Walayh nimecheka mama msamahe
Pole karume
Woiyeeeee Sasa Nani mkweli
Dada acha kibuli rudi kwako wanaume kama hao ningumu kupata.
Uko huku pia sweety 😹😹😹😹😹
@@AfricanFolkTalesRevival Imagine 🙈
What a same, how can you sleep with your brother in-law then nephew,mama Chelsea tembea hii ni caitani.mungu atakupa mume mwingine
Hahaha hii ni Kali patanisho ya kieleweke
Mwanamke akitoka sahi harudi sichui ni kwa nini...... New world
Heeee team hammam i wish tungepata wanaume kama hawa tungewatreat vilivyo🤣🤣🤣🤣
Tungewapea shoruba
Tungewapea ngahawa kwa wingi
Aki ya nanii
@Norah mwenyewe he is just a pretender
@@selahselah474 hehe shoruba na khubusi angejua hajui🤣🤣🤣
Gidi ni mjeuri
Kazume ana depression eti bibiyangu yeye kama ako na miaka myb 34 hahahaha 🤣🤣🤣🤣Huyu aende kwa counselling
😅😅😂
No. 1 leo
Masaai mjanja mjanja sana
Woi aki, reachel mtu anataka kununulia mamako shamba na anakusomeshea mtoto si wake, woi mimi ntarudi na ni ignore kila kitu aki, it's not easy but wweee, such men are rare to find my friend
Aki walai 🙄 mi nasahau
True
I feel this man
Very true
True
Jeso , mbona Mimi sijawai Patana na MTU kaa huyu wakunisaidia , mwanamke achana na maringo pili , ujue wanawake na wivu , Esther anaeza kuwa anakuaribia
radio jambo depression uwa hivo naelewa pain kalume anapitia ni kitu nimepitia hiyo ni depression 100%
I feel for the guy woiyeee watu WA Chelsea ni vichwa ngumu wolololoooo Aki na vile ameomba msamaha I wish them all the best
Sisi sio vichwa ngumu aki
Hki huyu dem ni roho juu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣karume amekua na stress dem anasema sitaki upusi wak na unikome 😆😆😆😆
Patanisho ya kieleweke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwisha karume kimeeleweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii ni noma
😳😳😳😳😳nipatieni huyo mwanaume hata kama anapenda nyuma,kila mtu ataishi maisha yake. Mi bora he provides for me😝😝😝
😂😂😂😂😂😂apo sasa
0787427870 ndio namba yak
Kaka santost hiyo ni yako🤣🤣🤣🤣🤣
Pressure and impending curses from Karume's kin will definately give you a clear picture how cheeky/lives double life.Let us not be judgemental,the lady knows this guy more than what is telling us on air....
0ppp
Pole karume huyu mke sio wako tena I think ashaapata
Team kujiamini mpo ,waaa wekeni Clorox kando tuskize hii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pamoja na girgir'zamadam
@@maryamashmrei9999 😂😂😂😂watatukomaaa lazima patanisho tuskize 😂😂😂
Mimi nimemalizana na Clorox ndo nafika
Na omo
Anataka bibi yake arudi juu ya watu wao, ndugu walimchapa kiboko bibi yake arudi... that lady is something else, 'staki upuzi yake' hehehehe
Daaah ndugu yako akae Bibi ake
Nimumasai au
Gidi hao wanaume upatikana wapi 😂👍✔️
Ni Mzuri bibi ndio mbaya.
Ni mmasai!
Yes masai ni hivyo
waaah huku napita
Gidi says, Si Lazima Utueleze Kila Kitu Sababu ya Mda then goes ahead to speak for 19minutes🤣
🤗🤗
Hahaha hahaha I know lol😂😂😂😂
Kumbe'kunayo'wanaume kama hawa duniani nilidhani w alikufa katika vita vya pili vya duniani
Haki mimi nimpenda huyu mwanaume
Gidi hua unaudhi kukatiza mtu kujielezea, sasa utapatanishaje ikiwa haujasikia maelezo ya upande zote mbili
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwanamke akiamua hawezi Rudi nyuma
Jamani Radio jambo hook me up wth tht guy aki
ukipatana na yy dio utaamini yeye ni pretender ata kama anapiga magoti
Am better than him, nitafte tuongee. Am even a Muslim so no issues hapo
Unataka mzee
Leo patanisho imegonga mwamba...but huyo mwanaume ajipange sasa
Gidi nitafutie huyo mwaume pls pls
HUH. I HATE IT WHEN THIS GUY EMBARASSES GHOST WHEN HE TRIES TO SPEAK NOT PROFESSIONAL AT ALL.
Kumbe pia wewe umenotice iyo kitu... Me too i hate it it's not good at all
zuena nafula very true, huwa anajiona ako juu sana
LAUGGTER HEALS THE SOULS 😂😂😂😂😂
so true, nkt
Imfikie gidi abadilishe hilo
This lady is taking advantage of this guy.abd I hope he finds someone he loves who will respect him otherwise if I was him I will not look back
Mtu anaingia kwa uji aje sasa yawa hata utamu hakuna😎😎😎
Mungu ahingilie kati yake ndoa nikufumilia na vile mumepata wawili mtu wa tatu asihingilie kati yake
Aky gidi nitefutie huyu jamaa Aky please huyu ni mwanaume na nusu
Kama vile ana tangaza ako na pesa mbona analia mbele wakenya na umati hiyo yote na hata hana mtoto na yeye gai mwanaume gani ako na pesa alafu ana lia na wanawake ni kama matatu if miss one u will get another one
Khaaaiii Gidi nipatanishe na huyu wakutumia bibi 36k
Wapi huyo karume
Huyu jamaa ni soko,mama tembea
Waa dunia ipazuke inimeze.hiyo ndoa kwisha
Maasai shoga anataka bibi arudi ndio afiche aibu yake
Heri huyu anajua kuapologise sio kama mangombe zingine huku zinacheat na haziko sorry
Rachael siku moja uta regret,wapendwa lakini haupendeki
Karume wacha huyo mama.. ako na siasa mbaya
Nipeni namba ya huyu jamaa plz I really need him
😂😂😂😂😂😂huyu mtu ni chiriku. aki ndoa jameni 🙆♀️🙆♀️
Kalume mjengee mama yangu unioe😂😂😂😂
Ukweli
😂😂😂😂♿♿♿♿Patanisho ya kieleweke🤣🤣🤣🤣
The kind of secrets people keep fear human beings
Where there is smoke there is fire, lisemwalo liko ama linakuja. Sio bure huyo mwanamke ameongea hayo maneno
There is no way mwanamke ataacha mume mwenye ako na pesa hivi bure na ndio sababu unasikia anahonga huyo mwanamke arudi ili afiche hiyo status yake(mpaka anachapwa kwao ili arudishe bibi)