HOTUBA KONKI YA RAIS SAMIA LEO IKULU, AMTAJA BASHE KWENYE HILI, ATOA MAAGIZO MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 40

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri Місяць тому +3

    Hongera sana kwa Hotuba hiyo nzuri Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani mke wangu jamani mpenzi wangu mtarajiwa jamani ila kubwa zaidi ni kutafuta kujua ukubwa wa tatizo la Ushirika na Wananchi.
    Ndipo tuendelee nao.
    Lakini la mwisho na iwe ni marufuku kulazimisha watu kuuza mazao yao Ushirika.

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka Місяць тому +1

    Hutuba nzuri utazani nyerere

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 Місяць тому +2

    Makonda Yuko wapi

  • @JumaLikava
    @JumaLikava Місяць тому +2

    mama. huyo uliekuwa nae wewe tu tuombe uzima kwa uwezo wake mungu akipenda 😢😢😢😢😢😂❤❤❤

  • @user-ws2uw5rd8i
    @user-ws2uw5rd8i 26 днів тому +1

    Mama swala la sukali wanakudanganya mwezi hu agust viwanda vinazalisha mboña inashuka pale bandalini mama

  • @GABRIELNGERECHA-jn2fi
    @GABRIELNGERECHA-jn2fi Місяць тому +2

    Rais unafaa sana

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Місяць тому +1

    Safi sana mh RAIS

  • @LefaniMwazembe-uk4dy
    @LefaniMwazembe-uk4dy 28 днів тому

    Mama hongera hawa maafisaugani waingizwe kwenye mfumo kufuatilia utendaji wa kazi wakulima vijijini hata hawa watalamu hatuwafahamu pia wawe na maabara za kupima udongo

  • @sr.elizabethmbuligwe5540
    @sr.elizabethmbuligwe5540 Місяць тому +2

    Hivi mama jamani utuonee huruma utuambie makonda alipo ni karibia mwezi sasa unajisikiaje wananchi wanahangaika kumtafuta makonda wewe upo kimya tuu mbona hiyo sio dalili nzuri kwa mkuu wako wa mkoa Arusha hao ekani hata hamruhusu hata aongee chochote na wananchi wanahangaika

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 Місяць тому +1

    Huna chicote unafiki tu

  • @NKUNDWEMEDSON-ie3pi
    @NKUNDWEMEDSON-ie3pi Місяць тому +1

    Natamani sana nikasome kilimo daa

  • @Werema3760
    @Werema3760 Місяць тому +2

    ■Mwaka kesho ndipo mtakapo sema hakika KESHO INA MUNGU na MADARAKA YANA MUNGU. Haitazoeleka hiyo(kihila). Mungu atawapa waTz akili na macho ya kuona mbali kabla. Yajayo yanasikitisha.🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 Місяць тому +1

    Mawazir ukiwasifia wanaboronga na kuiba

  • @lilianmlimira2706
    @lilianmlimira2706 Місяць тому +1

    Safi mama, elimu Zaidi itolewe juu ya ulimaji Wa Kilimo cha Biashara Kwa kuzingatia eneo husika,

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Місяць тому

      Vishamba tunavyoona Nane nane vifanane na mashamba ya wakulima wetu kwenye maeneo husika. Very impressive shows. Maofisa ugani mna kazi kubwa ya kufanya

  • @ERICkNgirangwa
    @ERICkNgirangwa Місяць тому +1

    Asante

  • @EmanuelMigire-wx8ts
    @EmanuelMigire-wx8ts Місяць тому +1

    Nice

  • @user-ev5xw1ev6f
    @user-ev5xw1ev6f Місяць тому +1

    Mama hongera sana endelea tukuza kilimo na uvuvi vijana wana teseka elim wanayo nyumban masikin uspo tupatia tutapoteza concept ya taaluma zetu tuangalie mama ❤❤❤ tupo nawew

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 Місяць тому +1

    Mechanisation ya Kilimo bado sana. Bado Tanzania inafuga ngombe wa zamani hawana nyama wala maziwa. Mawaziri ndio wanaanzisha ranches za mifugo ya ngombe wa kisasa. Wanunulieni wafugaji madume ya ngombe ili wapate hybrid cows ambao watahimili hali ya hewa.

    • @avitmusic7318
      @avitmusic7318 Місяць тому

      Broiler sumu

    • @amohammed3390
      @amohammed3390 Місяць тому

      @@avitmusic7318 nyinyi wafugaji ndio mnwawpa vya kula vibaya. Ukiwapa chakula chao hanma shida. Ngombe wa wamasai wanatoa lita 1.5. Ngombe wa kisasa wanatoa lita 20 na zaidi kwa siku. Kama ni wewe wachagua ipi

  • @andersonshimbi1378
    @andersonshimbi1378 Місяць тому +2

    Hotuba Konki unaiona ww peke yako

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 Місяць тому +1

    Tanzania uswahili mwingi nunueni matereka kama bukinafaso wekeni fedha

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev Місяць тому

    Mama mitano tena

  • @victorphilipo
    @victorphilipo Місяць тому +1

    Utoe majibu yasukari na wazili ubadilizhe wafuge kama wanao utaona matokeo sukari Bado toa bei erekezi

  • @EdigatusprotaziMbahile
    @EdigatusprotaziMbahile Місяць тому

    Mim huyu mama sikuwahi kumuekewa kwa lolote , mda huu mimi naomba kumuona makonda tu hawa wengine wakafie huko.

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri Місяць тому +1

    Hi Samahani jamani mtumishi wa Mungu sheikhati WANGU mtarajiwa wangu jamani kumbe tatizo liko wazi ile ruzuku ni kiini macho ambapo hata kina Cherahani waliomba kununua mbolea wakanyimwa.

  • @chunkurikachondo5820
    @chunkurikachondo5820 Місяць тому +1

    Tuko na wewe Rais wetu.

  • @obednyagani506
    @obednyagani506 Місяць тому +1

    Makonda Yuko wap?

  • @ASHASHABANI-j9j
    @ASHASHABANI-j9j Місяць тому

    Wewe unasema lipo ikiwa unadhani rais hajasema kitu,mama endelea kuchapa kazi na wanaokusaidia wasikuangushe,kazi na iendelee

  • @JumaLikava
    @JumaLikava Місяць тому

    Mama huyo uliekuwa nae wewe tu tuombe uzima kwa uwezo wake mungu akipenda 7:00 7:02 7:03 7:03 7:04 7:04 7:04 7:04 7:05 7:05 7:05 7:05 7:06 7:06 7:07 7:07 7:07 7:08 7:08 7:08 7:08 7:08 7:10 7:10 7:10

  • @user-vt6vb1by4g
    @user-vt6vb1by4g Місяць тому

    Mnaopongeza kwenye comment mna fungu huko

  • @CharlesNdali-b1p
    @CharlesNdali-b1p Місяць тому

    It only

  • @c-4839
    @c-4839 Місяць тому

    Kilimo ni safi ndio, lakini bila sera madhubuti ya viwanda na kuongeza thamani kwa kinachotoka nchini kwako ni utachezewa tu. Sio labda ni hakika.

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 Місяць тому

    Tunashukuru kwa ruzuku ya mbolea. Mhe. Rais pia tunaomba ruzuku kwenye Viwatirifu na mbegu, mhe rais pia tunaomba bei ya mbolea ya ruzuku ipunguzwe bei kwani bado wananchi tunashindwa kumdu bei.

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi Місяць тому

    Mama chonde chonde watanzania vipaji vyao vikubwa ni kuongea maneno mazuri vitendo vibaya kucheza miziki na usanii wa kuchekesha, kudai rushwa hata pasipostahili. Unda timu yako ya ikuru isiyokuwa ya wasomi wa mishahara mikubwa wala watu maarufu ikifuatilia mazonge tofauti Tanzania.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +1

    Waziri anasakamwa asamehe 7x70 kwa jema lipi la kumpa pepo?! Bunge linasakamwa limefanya jema lipi kumfurusha Mbunge aliyefichua hujuma za Waziri bungeni?! Kwahiyo Mpina ndio mkosefu kwa kututetea wananchi tusibebe mzigo wa sukari na wakulima kukosa soko?! Kubadili sheria nzuri ya uagizaji sukari awamu ya 5 ndio kazi nzuri ya Waziri?! Mungu atusaidie sana watanzania tunaokabiliwa namaisha magumu...

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 Місяць тому +1

    Nonsensical speech