Ujumbe wa mapenzi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 46

  • @sheddmusic47
    @sheddmusic47 Місяць тому +11

    Amos nakukubalii sanaaaa waambiee tuliyoambiwa Au kuyasikia Ila waambie kwa umakini na hisia waweze kutuelewa Kama mimi nnavyokuelewa!….🎉🎉🎉

  • @MedsonStarlon
    @MedsonStarlon Місяць тому +1

    Sawa mwalimu Amos mwijonge 🙌

  • @michaelkalinga8004
    @michaelkalinga8004 Місяць тому +1

    ✊🏿umelitafsiri vizuri sana hili shairi.

  • @prosperndondole1509
    @prosperndondole1509 Місяць тому +2

    I'm the first Today....hongera sana bro...

  • @douglaschiso
    @douglaschiso Місяць тому +4

    Ujumbe mzuri ahsante kaka

  • @RobertMucugu
    @RobertMucugu Місяць тому +3

    "Usiseme humpendi tena ikiwa unashindwa kumsahau."

  • @chidi_don
    @chidi_don Місяць тому +2

    Unajua sana 🔥💯🚀🙆🏻‍♂️🙌✍️

  • @nickodemmdalingwa2921
    @nickodemmdalingwa2921 День тому

    Hii poem shawahi isklza Sana wakat Sim za memori mchina anaanza kuzileta 💪💪💪🤎

  • @laxmajor
    @laxmajor Місяць тому +1

    Nakubl amosi💯

  • @globalmind6321
    @globalmind6321 Місяць тому +4

    Uwenda hili darasa la leo ni kitu ambacho kimemuumiza au kilimuumiza mwalimu

  • @RobertMucugu
    @RobertMucugu Місяць тому +1

    Ahsante Amos kwa mawaidha mwafaka.
    "Mwache mwenzawako awe kama alivyo"

  • @davidmwandalima2389
    @davidmwandalima2389 Місяць тому +1

    Nimewah class kwa mwalimu

  • @DhulkfliIbrahim
    @DhulkfliIbrahim Місяць тому +1

    Sijui niseme nn, ila good work brother, nice

  • @EdithaKiria
    @EdithaKiria 3 дні тому

    Kaka nakuelewa sana

  • @emanuelnyabuke2883
    @emanuelnyabuke2883 Місяць тому +1

    Uwa nakufuatilia sana tangu elimu na shule, moyo wa mtu msitu aisee uwa unafunza sana jamii 👊

  • @taramajane200
    @taramajane200 Місяць тому +2

    Hakika huu ni ujumbe

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 Місяць тому +1

    Amos maneno yako unitia nguvu Sana

  • @kassimgambere2382
    @kassimgambere2382 Місяць тому +1

    Ulipotea sna kaka hamosimwijongi

  • @linusevarest6898
    @linusevarest6898 Місяць тому +1

    Kuna shairi la kiingareza la muda mrefu sana alichofanya ni kuliweka kwa kiswahili,japo ni vizuri pia

  • @mohamedataulo4149
    @mohamedataulo4149 Місяць тому +3

    WA kwanza Mimi kucoment like zangu jamani.

  • @geofreymwinula7466
    @geofreymwinula7466 Місяць тому +2

    Mzee wa madini

  • @uvccmsenetiiringa7272
    @uvccmsenetiiringa7272 Місяць тому +2

    🎉Mwl

  • @Benjaminm-j3k
    @Benjaminm-j3k Місяць тому

    Ni kweli kabisa mwalimu asante kwa ujumbe

  • @MalainiNasso245
    @MalainiNasso245 Місяць тому +1

    Mwalimu wangu siku zote

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Місяць тому +1

    ahsante kwa elimu

  • @leontwant7184
    @leontwant7184 Місяць тому +1

    🎉🎉🎉

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Місяць тому

    Hiiinime ipenda🎉

  • @IsayaLaison
    @IsayaLaison Місяць тому +1

    Niko pamoja nawewe mwalimu

  • @omarmazoka5063
    @omarmazoka5063 Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @HANDSONKIPROTICHKETER-jf8uj
    @HANDSONKIPROTICHKETER-jf8uj Місяць тому

    Mwalimu mkuu siku zote baada ya kristo. Tafakari kuu siku zote

  • @williammwanja759
    @williammwanja759 Місяць тому +1

    ❤❤

  • @amridunia4636
    @amridunia4636 Місяць тому +1

    🎉

  • @Godfreykayinga
    @Godfreykayinga Місяць тому +1

    🙏🙏🙏

  • @asumantsongo323
    @asumantsongo323 Місяць тому +1

    Maana maneno haya umeyasema kutoka kwa moyo hisia kabisa naona kaka

  • @aminiismail3371
    @aminiismail3371 Місяць тому

    Mkuu @amos mwijonge umenenepa sana. Mm ni shabiki wako mkubwa. Hakuna video yako sijaiona. Na hata tulipoonana dodoma nilikieleza na kufurahia kukuona

  • @misabeoelijahvivah6843
    @misabeoelijahvivah6843 Місяць тому +1

    03:03 tz congo kenya

  • @chuvalous
    @chuvalous Місяць тому +2

    Amos kakumbwa na nini?leo kaja na mfumo wa mapenzi,au yameshamkumba tayari na yeye.

    • @ChabwelaJnr
      @ChabwelaJnr Місяць тому

      Hapana Hii Siyo Ya Kwanza Kuitoa inayohusu Mapenzi

  • @brudatv3539
    @brudatv3539 Місяць тому +1

    Nilivyoona Leo insta story yako nkajua tu Kuna vdeo utatoa

  • @pablomakel3238
    @pablomakel3238 Місяць тому +1

    > wewe ni mwamba kaka, ila mbona ume copy love poem moja hivi tena nzima nzima??? Ila sema wewe ni mwamba unaongeza na yako inakuwa unyama

    • @KukuVillage
      @KukuVillage Місяць тому

      Naweza kujua jina la hiyo love poem na mwandishi?

  • @Benjaminm-j3k
    @Benjaminm-j3k Місяць тому

    Ni kweli kabisa mwalimu asante kwa ujumbe

  • @benedictmgale264
    @benedictmgale264 Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @mansourkhamis457
    @mansourkhamis457 Місяць тому +1

    🎉