RAAD_ MZITO_ ISIO_ JIBIKA_ KWA _ABDALLAH_ HUMEID_ NA _ KIKOSI_ CHAKE_SHEIKH MUHAMMAD BACHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 85

  • @awadhmchaki6567
    @awadhmchaki6567 Місяць тому +10

    Allah akuongoze ewe Muhammad bachu tatizo Elimu Yako ndogo maneno mengi kuwa na heshma Kwa wakubwa wako.

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому

      majadida utawajia tyu sindano ikiwaingia wana anza kupiga kelele nabado yaani mpaka mseme mwaka huu hasahasa nyinyi washabiki mnatapatapa sana naushabiki wenu

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 Місяць тому

      Itakuwa vyema ukae wewe ktk screen ili utuelimishe heshima ipi unayokusudia wewe, ila nakukumbusha tu kuwa amekosolewa Mtume swallallahu alayhi wasllam jee mtume alivunjiwa heshima??? Sasa wewe mwenye elimu kubwa na kama unajiona umekamilika kielimu basi itakuwa jambo zuri ukae ktk screen ili utuelimishe kwa elimu yako kubwa na yenye heshima, fanya hivyo nafikiri itakuwa jambo zuri

    • @mahfoudhcalender2747
      @mahfoudhcalender2747 Місяць тому

      Nawew tukuone bac

    • @user-xo9rb7wj7s
      @user-xo9rb7wj7s 19 днів тому

      Huna adaab kwa aaalim Bachu.

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 Місяць тому +2

    Ustadh Said

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 Місяць тому +2

    Ww nd elimu yak ndg iv

  • @FaudKhamus
    @FaudKhamus Місяць тому +1

    Allah atatusaidia

  • @Ahmedmohamedrk
    @Ahmedmohamedrk Місяць тому +3

    Shekh masarafi nilikua nawapiga sana vita lakini kwa masarafi kunaerimu na wanayo yazungumza ni haki wangine wano jinasibisha na suna wameigeiza dini kua biashara

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому +3

    Subir hapo ujibiwe

  • @KhamisHabib
    @KhamisHabib Місяць тому +1

    Khamis Habib

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому +1

    حب الظهور.

  • @awadhmchaki6567
    @awadhmchaki6567 Місяць тому +4

    Allah awahifadh mashekhe zetu Abdallah humaid Alhamdulillah wanafikisha Daa,wa Kwa haqi kabisa Alhamdulillah

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      Humeid hana kitu kazi yake kutukana tuuh

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому +1

      Amyn

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e Місяць тому

      Hamna hakki hizby jadida matusi ndo wanajuwa kutusi watu na ufezuli hamna hakki yeyote mlionayo mmetupa mipaka ghuraku tabdii au khuraku tajdii watu walotupa mipaka kubidiisha watu

    • @sophiakassim6979
      @sophiakassim6979 Місяць тому

      ​@@user-yj5on8cz3e Sasa kukitumika neno safih na ni mfano mzuri uliotumika katika Qur'an kuna shida gani???na ukweli usemwe yanayo fanywa na waja karne hii yakera sana tunamuomba ALLAH AFYAH NA SALAMA

    • @ibrahimmusa9518
      @ibrahimmusa9518 Місяць тому

      Asalaamu alaykumu warahmatulahi wabarahkatuh kwani wewe hapa umeonge jambo la bushara ama umetusiana kweli wewe ujui kitu nenda ukasome

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 Місяць тому +1

    Kosa lak lip hat elimu yak iwe ndg

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 Місяць тому

    Huyu ni simba mtto wa simba Au ukipenda muiite mzeee wa ufasah mashaallah nitftie tz mzim hii 💯✍️

  • @AbdulkarimMnokote
    @AbdulkarimMnokote Місяць тому +1

    Jibu hojja kwa dalili wacha kuropokwa

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому

    Hatukujibu .

  • @MuhammadOthman-z4p
    @MuhammadOthman-z4p Місяць тому +3

    jibun hoja zake sio mseme elimuyake ndogo jibu hoja kwa dalili

    • @abuabdurrahmaan6637
      @abuabdurrahmaan6637 Місяць тому

      Ashajibiwq kitaaambo na bado majibu yanaendelea, shubha zake nyembamba sana. Kuna kijana mdogo sana aitwa Abu Abbas Hassan Waziri amemjibu vizuri sana taruta izo audios uskize ndio utajua Muhammad Bachu hayumo kabisaaa

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi Місяць тому +1

    Wallahi hichi kitu Cha ajab sana wanabomoana wenyewe kwa wenyewe na ilhali wote wanadai ni masalafi jee huu kweli ni usalaf

    • @AbuuAnuwar-ip7dr
      @AbuuAnuwar-ip7dr Місяць тому

      Muhammad bachu hana msimamo huyo, mara kadhaa amekuwa akijiita Salafy namara kadhaa anawatema Sasa nyie kaeni2 mnajuwa yeye anamsimamo mmoja🤣🤣🤣

    • @AbuuAnuwar-ip7dr
      @AbuuAnuwar-ip7dr Місяць тому

      Nikirusi hicho🤣🤣🤣🤣

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому

    We muhammad alokuambia usalf ni kund nan unabadilisha manen

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 16 днів тому +1

    Salafi, wahhabi,ansarul Sunnah wote ni wakora 😂😂😂😂😂😂

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому

    Ujibiwe na nan

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs Місяць тому +2

    Mbon hawajibu hoja ?maaan wanatoa kashfa tu Hawa jamaa

  • @MohdAliHaji
    @MohdAliHaji Місяць тому

    Vipi jamaaa zako tabligh

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому +1

      ndomaana mnambiwa nyinyi mnafata ushabi tu sasa kunaubaya gani kuwa na ujamaa akili yako Bado sana

    • @MohdAliHaji
      @MohdAliHaji Місяць тому

      @@abdurashidinasorodini nahisi upo mbali sana na huyu Muhammad ila sisi tuponae

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому

    Huna mwalimu , mwalimu wako ni vitabu hujui vinavyoeleza.

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 Місяць тому

    Hawajajibu hayo maswali

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 Місяць тому +3

    Afadhali mupigane nyie Kwa nyie Mawahabi sababu huku kwengine kunahitaji Elimu hakutaki ujaahil.

  • @MohamedMkwepu
    @MohamedMkwepu Місяць тому

    MUHAMMADI BACHO HUJAKAA CHINI YA WANAZUONI KUSOMA WAJISOMESHA MWENYEWE NDIO SHIDA HIYO WACHA KUJITIA UKUBWA

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому +1

    bachu huna uwezo wa kuilezea DAWATUL SALAF,maana kinachokukimbiza kwenye usalafi na kujiunga na magenge ya UHIZBI,ni kuigopa ruduud,maana MAHIZBI hawataki ruduudi,badala ya rufuud wanameleta Muhazanat,?yaani kusifiana kama WAKIRISTO!!
    Nakushauri rudi darasani Ukasome!!!

  • @AbdulkarimMnokote
    @AbdulkarimMnokote Місяць тому

    Jibu hojja kwa dalili

  • @KhamisHabib
    @KhamisHabib Місяць тому

    Mtu yoyote ikiwa alikua hana nafasi yoyote siku akiipata ALLAH atuhifadhi hua shida sana

  • @hafidhsalum-jp2mw
    @hafidhsalum-jp2mw Місяць тому

    Huyu barahiyani mdogo nae apenda porojo
    Ila hii yote chuki na choyo kwa mashekh wa kisalaf
    Kilichowainua wao ni elmu zao ndugu sio kelele kma izo kaa chini soma somesha basi

  • @TheTruth10071
    @TheTruth10071 Місяць тому

    Fupisha maomgezi shekhe

  • @sadrupandu5948
    @sadrupandu5948 Місяць тому

    Bachu unachukoza masufi bakora za barazanji hazija kutosha

  • @AbdulkarimMnokote
    @AbdulkarimMnokote Місяць тому

    Unavyosema kujibinafsia hiyo ndio hojja ewe Muhammad bachu

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg Місяць тому

    Mtakulana nyiny kwa nyiny makhabith wakubwa mufsidiin linnas waddiin

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 Місяць тому

    Hii ya tosha kuthibitisha mawahabi wao kwa wao hawana masikizano na yote ni kwa sababu ya uchache wa Elimu wote hawana Elimu kubwa lao mashekhe wa kiwahabi kila mmoja ajiona yeye ni yeye ni shekhe na kutukana ndio silaha kubwa

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 Місяць тому

    Al Imaam Suyuutwi kafanya kosa😂😂😂 kosa lake kamuomba mtume/Kaomba maiti😂😂😂 na ndio maana ya Istighaatha.........kwa hiyo kafa Mshirikina.......daaaaaaah.........kwa hiyo tumuachie Allah sasa ajuwa atamhukumu 😂😂😂😂😂 lakini bayana kakosea kafanya shirki😂😂😂😂😂😂😂.......Balaaa tupu hili

  • @abdulazizsadi5901
    @abdulazizsadi5901 Місяць тому

    Asalaam Alaykum sheikh, nakuomba kaeni chini masheikh mbainishiane na mrekebishe tafauti zenu hizi raddi zinakoelekea ni kulete futna kubwa, tumefikia sas waumini wamekua wafuasi na washabiki wa baadhi ya ulamaa, tena wakikaa kusubiri lini Sheikh Muhammad Bachu arajibiwa na lini atarudisha majibu, watu hana hamu ya kuifahamu dini tenaa, tumeanza kuleta ushabiki. Sheikh tafadhali tembeleaneni mpeane nasaha, kama walivyo kua wakifanya wema walio tangulia kuunusuru ummah.

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr Місяць тому

    Kapewa Domo basi anaropoka2

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 Місяць тому

    Mtume katuschia uislam Quruan na sunna acha uongo

  • @rashidhasni2112
    @rashidhasni2112 Місяць тому

    Hiyo Tafsiri uliyotumia sio ya shekhe wa kisalafi bhna

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 Місяць тому

    na uwahabi imetokea wapi?

  • @KhamisHabib
    @KhamisHabib Місяць тому

    Assalaamu alaikum mm naona kiupande wangu kama nyinyi mnajiita salafi sasa mnapoteza muelekea maana bado masufi hawajawaelewa mnakamatana nyinyi kwa nyinyi hio inafanana na wanasiasa watasema tupambane kwa pamoja kumshinda adui wao mwisho wasiku kila mtu kati yao anataka awe juu sasa mm nasema hapo itakua hakuna salafy kwasababu Mtume hakuuwacha umma huu katika mambo hayo

  • @MohamedMkwepu
    @MohamedMkwepu Місяць тому

    DUH! KUMBE MOHAMED BACHO MTUPU HIVI?

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому

    Muhammad kwa hoja zako hizo dhaifu hivyo sijui kama kuna mtu atakujibu unamfananisha masheikh zako na suyutwi dah umeenda mbali

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 Місяць тому

    Ila ao masalafi wa siku hizi kubishana tuu Kuna jamaaa wallah kukosa jamaa kwake haiwezekani ila banana kuingia salafi kawa sala ya adhuhur anaswali saa nane anachaguwa Hadi maimamu walimu walio msomesha madrasa anasema hawana eliminyani kawa kama kapagawa wallah Hawa maslafu kwa sio powa

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому +1

    We muhammad nilikua nakuona mtu fulan unauelewa lakin saiv hamna kwq hichi unachozihirisha Allah akuongeze na atuongoze?sisi wote ivi kweli unataka barahiyan na duktur apewe udhuru kama wa suyutwi wew kweli una nini wewe lau imam suyutwi angekua hai leo kisha wakaenda watu kumuambia imam hapa umekosea bila shaka angekubali lakin hawa barahiyan na islam washabainishiwa hapa mmekosea lakin hawakubali sasa huo ndo uhizbi wenu sijui unaelewa akhi hamkubali kitu alaf kingine suyutwi umekir anavitab zaid ya 500 haya ili umfananishe na islam na barahiyan je hao wote ukiwachanga wanavitabu vingapi ebu tujibu ili na wao wapewe hukmu ya suyutwi au udhuru kama alopew suyutw ...yani muhammad bachu wewe lau ungekaa kimya ukawa unafundisha uachane na masalafi wasiokua na muda na wew ungepata faida maana wao wamekupuuza hawaangaiki na wew wao wako zao wanafundisha uko wanatoa elim we baki hapo na suyutwi kama vile una ugomvi na suyutw ndo maana umeaibisha sunna kule mombasa unaulizwa swali na ustadh said unashindwa kujibu unakimbia yan wew

    • @AlexanderLacazet
      @AlexanderLacazet Місяць тому

      Kwaio wewe unaona ust said magita kaishinda sunna na kqmshinda shekh Muhammad bachu

  • @fundibombazanzbar5717
    @fundibombazanzbar5717 Місяць тому

    😂😂😂😂 iyo picha ya burungutu lalemba ninani huyo aloshiba vitobwesho

  • @MohdAliHaji
    @MohdAliHaji Місяць тому

    Uhizbia unawashukhulisha watu hivi wewe si uli wasema VIONGOZI vibaya Usha tarajaa

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 Місяць тому

    Amna haja ya kumjibu maana hana anachokifahmu ktk hii daawa...na hakuna yyt wa kuivunja hii daawa tu salafiyah

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

    Basi ww ndiyo umeshinda Tz nzima ww ndiyo mwalim wao. Ok

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 Місяць тому

    Muhammad mbona unapotea wew kila kitu suyutwi unanini nae au watakaje kuhusu yeye

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому

      umedandia gari lisha jaa kaa pembeni tuachie sisi tuendenae mpaka mwisho

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev Місяць тому

    Hao mashekh unao wataja hawato kujbu jahili kama wewe mwenda wazimu wewe jahil murakab ulikubaliana nanani hizbi mwenda wazimu jahili hao ukiona hawakujibu ujue wewe ni mwehu ila zawad yako inakuja inshaAllah usikimbie kama ulivyo kimbia kwa vandame nakukumbusha yaan et ww ndo unajua sheria ktk Dini hivi unaakili wewe au unavuta bangi inshaAllah wakat utafika kwa jahili kama ww

  • @ALIHASSAN-dx7ie
    @ALIHASSAN-dx7ie Місяць тому

    Usalafi wako ni Siri yako Allah sio kuharibu dini ya Allah mitandaoni muchunge sana na media,mutambue unachokifikiria wewe sicho anacho fikiria mwengine,kama ni kupigana Radi sio mitandaoni,Njooni vijijini mufundishe watu Qur'an na Sunnah sio kuhukumiana tu mitandaoni

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg Місяць тому

    Laporoja tu halijui lasema nn ata halijui lasema nn ujinga mtup

    • @hadibjumbe
      @hadibjumbe Місяць тому +1

      mbona anasoma yaliomo ktk vitabu.(qurani)

    • @AlexanderLacazet
      @AlexanderLacazet Місяць тому

      Wewe unayajua anayoyasoma mbona achambuaa vitabu huyu we waona asoma nini

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa Місяць тому +1

    Masalafy walisimamisha dola ya kiislamu ,hawa masalafy wa sasa ni kujisifu na maneno mengi ,bila kusimamisha dola hamna salafy 😅😅😅😅😅😅

  • @user-bf8ge4op8p
    @user-bf8ge4op8p Місяць тому

    يا فتى كف عن الكذب، هل ترك النبي المنهج السلفي؟ هات الأدلة، أوقف دعايتك، علم القصص والقرآن، لا تريد إقناع الناس، مجموعتك على حق، هذه دقيقة

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому

    Shekh mpk hapa nmeona hawaJadiida wanachuki Binafsi dhidi
    1- Muawiyya
    2- Barahiyyan
    3- İslam

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi Місяць тому

      @@twaibumikidadi7377 mwanzo huyu barhiyyan ni mtupu kweli kweli Hana ilmu kabisa kwa ubishani na chuki anaongoza

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому

    Shekh ww ni simbaa mkalii sana ya Majadiida
    Umewaaachia kazi ngumu now wanasoma nahic Mafuta anatoka jaago wafuasi wake walikuwa hawayajui hayaa
    sasa ww umechua
    Twasuri majibuuuu.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Wewe inaonekana hujui daawatu salafiya,,alhamdulillah masheikh zetu qaasim mafuta ,Abdallah humeid na wengineo ,wametusomesha daawatu salafiya na misingi yake ,alhamdulillah tumefaham,sasa hatupati tabu kabisa na huyu kijana ,twamuona anaropokwa tu ,kwahio hatupotezi wakt wetu kujibizana nae ,daawatu salafiya mahizbiy imewashinda kuisoma na kuilingania kwasabab ya uhizbiy uliowajaa ,,,lkn kwa mtu kama wewe ambaye inaonekana hajasoma daawatu salafiya na misingi yake ukaifaham sasa utamuona bachu anazungumza ilmu ,yani shubha zake zimekuchua Mara moja ,,hii ni dalili kuwa wewe ufaham wako ni mchache ndio mana unamsifia huyu kijana ,,,

  • @MuhammadOthman-z4p
    @MuhammadOthman-z4p Місяць тому +1

    jibun hoja zake sio mseme elimuyake ndogo jibu hoja kwa dalili

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Sisi hatuoni hoja ,,tujibu nini ?

    • @MbarouksilimaJuma
      @MbarouksilimaJuma Місяць тому

      Hamna cha kumjubu hta hao wnaojifanya wao pekee yao ndo wpo sawa