CEO GS1 Tanzania kuelekea kwenye Tamasha la KukuChoma Carnival 14 May 2022
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Tamasha la KukuChoma Carnival linawakutanisha wadau walioko katika mnyororo wa thamani kwenye sekta ya ufugaji wa kuku ikiwemo wazalishaji wa vifaranga, vyakula vya mifugo , virutubisho , taasisi za kifedha , bima n.k pamoja na walaji wa mwisho.