Guru Planet Ltd
Guru Planet Ltd
  • 13
  • 1 917
EPUKA HASARA ITOKANAYO NA MABANDA YA KUKU
Tuendelee kujifunza!
Kutana na Dr.Mathias, akielezea jinsi ya kujenga banda bora la kufugia kuku #KonaYaDaktari
ni kipindi kifupi kitachokua na muendelezo na utajifunza mengi zaidi juu ya ufugaji kuku kibiashara
Usiache kutufuatilia kupitia Platform zetu zote Facebook @Guru Planet Ltd, Instagram @guru_planet na UA-cam ni Guru Planet Ltd. Karibu sana.
Guru Planet Ltd inakujali na kukuthamini, hakikisha kila siku unafuatilia kipindi hiki kupitia kurasa zake zote.
Переглядів: 902

Відео

KukuChoma Carnival
Переглядів 182 роки тому
KukuChoma Carnival inawaunganisha wadau walioko kwenye sekta ya kuku. Utakutana na fursa mbalimbali kupitia tamasha hili. Ni 14 Mei, 2022 siku ambayo inaweza kubadilisha maisha yako.
CEO GS1 Tanzania kuelekea kwenye Tamasha la KukuChoma Carnival 14 May 2022
Переглядів 502 роки тому
Tamasha la KukuChoma Carnival linawakutanisha wadau walioko katika mnyororo wa thamani kwenye sekta ya ufugaji wa kuku ikiwemo wazalishaji wa vifaranga, vyakula vya mifugo , virutubisho , taasisi za kifedha , bima n.k pamoja na walaji wa mwisho.
Ufugaji wa Kuku Asili Kibiashara chini ya Usimamizi wa Guru Planet Ltd
Переглядів 2102 роки тому
Ufugaji wa Kuku Asili Kibiashara chini ya Usimamizi wa Guru Planet Ltd
MKURUGENZI WA GURU PLANET LTD AKIELEZA LENGO KUU LA SEMINA YA USINDIKAJI WA VYAKULA NA VIPODOZI
Переглядів 2805 років тому
MKURUGENZI WA GURU PLANET LTD AKIELEZA LENGO KUU LA SEMINA YA USINDIKAJI WA VYAKULA NA VIPODOZI
MKUU WILAYA YA ILALA MH SOPHIA MJEMA AKISIKILIZA CHANGAMOTO ZA WAJASIRIAMALI
Переглядів 525 років тому
MKUU WILAYA YA ILALA MH SOPHIA MJEMA AKISIKILIZA CHANGAMOTO ZA WAJASIRIAMALI
UZINDUZI WA KONGAMANO LA JUKWAA LA VIJANA WILAYA YA ILALA
Переглядів 416 років тому
UZINDUZI WA KONGAMANO LA JUKWAA LA VIJANA WILAYA YA ILALA
MEYA WA MANISPAA YA ILALA CHARLES KWIYEKO AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA VIJANA
Переглядів 356 років тому
MEYA WA MANISPAA YA ILALA CHARLES KWIYEKO AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA VIJANA
MKURUGEZI WA ALMASHAURI YA ILALA KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA VIJANA AKIELEZEA FURSA KWA VIJANA
Переглядів 546 років тому
MKURUGEZI WA ALMASHAURI YA ILALA KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA VIJANA AKIELEZEA FURSA KWA VIJANA
JE UNAJUA WAKATI WA KUWEKA MALENGO NA KUPANGA MIKAKATI YA MWAKA 2019 ? SEMINA HII USIKOSE 15/12/2019
Переглядів 576 років тому
JE UNAJUA WAKATI WA KUWEKA MALENGO NA KUPANGA MIKAKATI YA MWAKA 2019 ? SEMINA HII USIKOSE 15/12/2019
JE UNAZANI PESA PEKEE INAWEZA KUKUINUA KIUCHUMI BILA MAARIFA
Переглядів 206 років тому
JE UNAZANI PESA PEKEE INAWEZA KUKUINUA KIUCHUMI BILA MAARIFA
ASHA NI MMOJA KATI YA WAJASIRIAMALI ANAYE FANYA BIASHARA TOFAUTI TOFAUTI
Переглядів 1056 років тому
ASHA NI MMOJA KATI YA WAJASIRIAMALI ANAYE FANYA BIASHARA TOFAUTI TOFAUTI
TAMASHA LA WAJASIRIAMALI LILILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA NSSF TAREHE 1/12/2018
Переглядів 936 років тому
TAMASHA LA WAJASIRIAMALI LILILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA NSSF TAREHE 1/12/2018

КОМЕНТАРІ