MTOTO YUSUPH ALIYE TRENDY AMALIZA DARASA LA SABA UWEZO WAKE MKUBWA ANAVYOJIELEZEA NA KUJIBU MASWALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
    Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
    Na kulike facebook page Bongo trendy online

КОМЕНТАРІ • 50

  • @MelaniaFelician-z6p
    @MelaniaFelician-z6p 4 дні тому +14

    Nina furaha sana juu ya huyu mtoto utadhani ni WA kwangu Mungu akutunze mtoto mzuri

  • @africosimonmattogoro6986
    @africosimonmattogoro6986 4 дні тому +4

    Hongera sana kijana wetu. Mwenyezi Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi, ufike kiwango cha kumpendeza Mwenyezi Mungu na Wanadamu

  • @MiliamYolamu
    @MiliamYolamu 4 дні тому +4

    Sifa na utukufu zimrudie Mungu aliempatia yusuph wadhamini. Jaman waliokubali kumbeba yusuph jaman wabarikiwe Sanaa, mungu azid kuwatunza nakuwaongezea siku ili hatimae kijana huyu afikie ndoto zake. Hakika Mungu mkuu na acheni mungu aitwe mungu

  • @ZubedaVicent
    @ZubedaVicent 4 дні тому +3

    Yaan acha Mungu aitwe Mungu, Mungu akupe mwisho mwema neema ya Mungu izid kukufunika pamoja na wote walio kusapot mpaka kufika hapo ulipofika

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 6 днів тому +9

    Mungu wetu awabariki sana kwa hatua na wale mlio mkopesha Mungu kwa sadaka hii lakini asiishie hapo bado hatma yake tunahitaji kuona anafika mbali

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali День тому +3

    Waaooo🎉.. shule ni nzuri good Product ❤

  • @lilianjoshu6846
    @lilianjoshu6846 6 днів тому +6

    Hongera sana mtoto Yusuph Mungu aendelee kukuinua ktk viwango vya juu

  • @ericamalamla1523
    @ericamalamla1523 4 дні тому +2

    Mungu awabariki wote waliomsaidia Ysufu. Hongereni Kwa shule mahafari mazuri na nguo za adabu watoto wanaonekana nadhifu sana, hawakuweka make up upande wa wasichana. Safi sana

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 6 днів тому +3

    Hongereni watoto wetu,Mungu awafanye vichwa SI mikia,mkafanikiwe katika maisha yenu.

  • @FurahaRyana
    @FurahaRyana 5 днів тому +3

    Mungu awabarki sana mlio jitolea Mungu akutunze mtoto Yusuphu❤❤❤

  • @gracewilson1024
    @gracewilson1024 6 днів тому +6

    Waooooooo Yusufu hongereni wazazi walezi Mungu awatunze jamaniii

  • @enezageorge8692
    @enezageorge8692 6 днів тому +8

    Mungu aendelee kukuinua Yusuph

  • @alakomba6830
    @alakomba6830 День тому +4

    bonge la handsome. kiukweli Mungu awabariki waliomuibua kule kijijini na waliomsomesha pia

  • @joycekisonga7121
    @joycekisonga7121 6 днів тому +4

    Mungu awabariki nyote mliojitolea kwa ajili ya Yusuphu

  • @angelakiswili3403
    @angelakiswili3403 4 години тому +1

    We are happy to see you again. Stay blessed always.

  • @jojianaskibura3190
    @jojianaskibura3190 3 дні тому +1

    Kuna watu mbinguni mtang'ara kama nyota kwa matendo yenu mema, Mungu awakumbuke walezi na msimwache Yusuph mwendeleze afikie hatua nyingine. Mbarikiwe sana

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 19 годин тому

      Bahati mbaya dhambi nyingi hufichwa😂😂😂😂

  • @jonyawira
    @jonyawira 2 дні тому

    Congratulations Yusufu.... All the best in high school. God Bless You always

  • @niwaelmburuja2056
    @niwaelmburuja2056 5 днів тому +4

    Huyu ndio Yusuph mwenye tabasamu la dhati na mwenye bidii ya maisha.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 3 дні тому +1

    Nimefurahi sana kuona watanzania jinsi walivyokuwa na upendo wakusaidia watoto wasiokuwa na uwezo kwa kusapot kwa mazur

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 5 днів тому +2

    Mungu mkubwa na tuzidi kumsifu namkumbuka huyu mtoto jamani Mwenyeezimungu Baba na azidi kumuongoza siku zoote za maisha yake na watoto wengine woote tunawalabidhi mikononi mwa Bwana wazidi kukua kwa kimo na hekima itokayo kwa Mungu Mwenyeezimungu Mwenyeezimungu

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 3 дні тому +1

    Dah mtoto unanikosha sana, unamtaja Mungu kila mara

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 5 днів тому +2

    Awesome mashalllah mashalllah mashalllah

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 дні тому +1

    Amekua jamani 'Mashaallah❤️

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 3 дні тому

    Mungu akutangulie mdogo wangu tunakupenda ❤

  • @kilalomaerlymauya6632
    @kilalomaerlymauya6632 4 дні тому

    Mungu amlinde popote aendapo na afikie malengo

  • @martinecharlesmasanja9925
    @martinecharlesmasanja9925 7 годин тому

    Kwakweli mwenyezi mungu hamtupi mja wake❤

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 2 дні тому

    Mungu Ni mwema hongera sana mtoto mzuri

  • @AlexSailowa-h5m
    @AlexSailowa-h5m 3 дні тому +1

    Yusuf mungu yu pamoja nawe

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 6 днів тому +2

    Mungu ni mwema sana!

  • @mgenimoosa5252
    @mgenimoosa5252 6 днів тому +9

    Nilitamani sana kumuona huyu mtoto

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 6 днів тому +4

    Kila la kheri YUSUF

  • @BerniceAtieno-n4m
    @BerniceAtieno-n4m 5 днів тому +1

    Mungu anaetoawatu matopeni,akisema ndiyo,nindiyo

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 6 днів тому +2

    MUNGU awabariki sana

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 5 днів тому +3

    MUNGU AKUWEZESHE UWE KICHWA KWA KILA JAMBO,USIMUACHE MUNGU

  • @navokisembo
    @navokisembo 5 днів тому +1

    Mungu asifiwe

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 День тому

    Mashaallah

  • @wizzy3037
    @wizzy3037 6 днів тому +1

    Ndugu mtangazaji upo umetoka BBC nn

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 5 днів тому

    ❤❤❤

  • @JoiyceManyika-uh2zm
    @JoiyceManyika-uh2zm 5 днів тому

    ❤❤

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 6 днів тому

    ❤❤❤🎉🎉

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 6 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @fatimamtoo9288
    @fatimamtoo9288 6 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @AdamKhatib-j3y
    @AdamKhatib-j3y 6 днів тому

    ❤❤❤

  • @AdamKhatib-j3y
    @AdamKhatib-j3y 6 днів тому

    ❤❤❤

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 5 днів тому

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg День тому

    Achunguzwe ambwene mbona huyu mtoto kafanana nae

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 9 годин тому

      Mwanaume kuwa namna hii haipendezi ,huna hata haya wewe looooooo