QASWIDA : KIFO CHA MTUME /KASWIDA NZURI SANA HII
Вставка
- Опубліковано 27 лют 2024
- KIFO CHA MTUME ni Qaswida nzuri sana na yenye kusisimua pindi utakapoweza kuisikiliza.
#qaswidamurua #qaswidaswahili #kaswida #kaswidanamawaidha #nasheed #islamic#nurdinabdullah #sheikhnurdinkishk
Alhamdulillah kwa hii qaswida hakika Na mi ni mmoja kati ya waliomo ndani yao Allah Atujaalie tuwe miongoni wa watu wa kukutana na Rasulillah (S.A.W) ❤
Swalu alaa Nabii, Allahuma swali alaa sayid na Muhammad wa ala alihi wa aswahabihi wasalam❤
Hii qaswida nimeitafuta sana kwa zaid ya miaka 5,ninayo imeanzia katikati tu,, hii imeanza mwanzon mwisho mashaallah 🎉🎉🎉
Nicheki whatsapp nikutumie 0628924768
yaaan mimi nimeitafuta miaka 10 alafu nimeipata pasipo mimi kujua kama ndo yanyewe alihamndulillah 🤲
Hii qasweda ni nzuri sana❤❤❤❤
Toka siku nimemsikia siku ya kwanza nilijikuta machoz yananitoka subhanallah IPO moyon na sichoki kuisikiliza huwa unanifanya nijione mm ni nan ninaejisahau kwamba IPO siku na mm nitaondoka kama mtume WA mwenyezimungu yalimfika mauti
Yaani kaswida hii ni murua sana yaani imeimbwa vizuri sana.
Yaani nikiisikiliza inaniingia kabisa ktk moyo wangu kila siku naisikiliza .
Tunaomba kaswida nyingine kama hizi.
Mola awarehemu umati Muhammad wote waliotangulia mbele ya haki.
Aswaliwe mtume Muhammad
Hii kaswaida kipindi inatoka nilikua na mwanamke nilimpenda sana kusema kweli ila alikuja kunikataa hivo kila nikisikia inanikumbusha kipindi hicho tupo kwenye upendo wa dhati
Mashallah jambo kubwa sana..hadhweem
Allahu maswale aleikh MashaAllah nzuri sana love frm Kenya❤❤❤
Mashaallah mashaallah mashaallah ❤❤❤
Mashaallah kaswida mzuri xan
Mash Allah❤
Salalah Nabiiii
Wallah
Mashanllah
Mazhallah
Naipenda sana
Inasikitisha
Mashallah
MASHALLAH......hii kaswida niliitafuta kwa miaka mingi sana hatimae leo nimeipata❤❤❤❤
Download Audio👇
drive.google.com/uc?export=download&id=1ZA0XyKVkSuoSmGeoafEi97a65R8J1yJ1
❤❤❤❤❤MASHALLAH Ajab
Masha allh
❤❤Mashallah
Mashallah❤❤❤❤2024
Kipenzi chetu tukafufuliwe nae
Allahuma salim wa salim ale
Kwel na Allah atupe hiday na mwish mwema
11:56
Mashaallah ❤❤❤
MashaAllah
Manjonzi
Nikariiiii sanaaa kaswidaa hiiii
Mashallah sauti zimetilia nanzuri sana
Hatari ssna
❤️❤️
good kaswida
Mashaallaah❤❤mashaallaah
Maashalaah ❤swadacta
Nice 2024❤❤❤❤❤❤
Mashaalah❤❤2024
Kaswida nzuri sana Allah awape heri nyingi waliotunga na kusoma qasweeda hii.
Mashaallah mashaallah mashaallah jazaka wallahu kheri
Mashallah