Harmonize - Usia (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,1 тис.

  • @MwalimuCheks
    @MwalimuCheks 3 роки тому +71

    Usimdharau mama wa kambo. Story of my life. Tembo umeniwakilisha. Hongera 🙏

  • @lamecksxologyshuraj4769
    @lamecksxologyshuraj4769 3 роки тому +132

    "Mwambieni huyo paka anayejiita chui, 'acha kudandia bifu chanzo ukijui' " I love these shit♥♥😍

  • @reubesfinest8252
    @reubesfinest8252 3 роки тому +277

    Tempo ata Simba amekubless ,"go son", only that is enough ....I will also say Keep going brother. Sisi wakenya tunafata mziki mzuri kabisa we don't care who is the owner no we just embrace our own that's KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you all.

  • @HabibuSheila
    @HabibuSheila 2 місяці тому +1

    kaka konde brother tembo aki yamungu broo wewe una tisha lakin sijuikwann ila nahisi ni baraka za mungu tusichoke kuomba broo alhamdullilah kwaichi tuicho nacho

  • @rashidgogo5558
    @rashidgogo5558 3 роки тому +1

    Basi hamo mziki hujui mana wenzio wala hakuongelea wew umeganda kama luba kilasiku nikuwaimba kama umefukuzwa wcb kumbe tamaaa zako mwenyew ulifikili kila kundi nila music ukamua uanzish kundi lako ona unavyopata tabu kila siku watakiwa uwaimbe kule ili usikilizwe simateso hayo usiinge kunya kwatembo utapasuka kinyeo boya wew

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 3 роки тому +5

    Jamanie huyu mmakonde hatari kinoma haipingwi haikataliwi 🔥🔥🔥💯 Nakubali mwanangu 👈💋🌹💕 weeeeeeeeeeeewe jeshiii kama jeshiii

  • @SALEHEKUNGULE
    @SALEHEKUNGULE 3 роки тому +50

    🔥🔥🔥 Konde Boy ana nguvu ya kuuwa Simba. Gonga LIKE kama umemuelewa.

  • @aliadil9666
    @aliadil9666 3 роки тому +148

    ''cha mtu ni mavi achana nacho tafuta chako hata kichelewe🤧''factssss🙌🏽💯

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому +2

      Harmonize - Usia (Official Music video)
      ua-cam.com/video/YP5aWGQa2U0/v-deo.html

  • @mottadanson3315
    @mottadanson3315 2 роки тому +44

    When it's comes to advice and motivation this guy is number one. Turudi nyuma kidogo, #WAPO #NEVERGIVEUP now #USIA. Nipewe likes za JESHI.

  • @asangomoses
    @asangomoses 3 роки тому +6

    watoto wangu weeeh! mimi baba yenu .... I love how he attacks in parrables

  • @esperencehatungimana7613
    @esperencehatungimana7613 3 роки тому +13

    Congratulations tembo nyimbo yako ninzuri sana .uko vizuri wewe tupe vingoma Vikali tuu

  • @dennischege2836
    @dennischege2836 3 роки тому +54

    Tunangoja genge 5 bro....much love from united state of KENYA

  • @eugenbaraka250
    @eugenbaraka250 3 роки тому +4

    Baada ya kuujua ukweli Nimekuja kupata usia 🙌 JESHI yaani nimezidi kukupenda kumbe ndio waliyokufanyia hayo😭

  • @emmanuelmwaipopo3039
    @emmanuelmwaipopo3039 2 роки тому

    Tuache ushabiki uyu jamaa anajua Tena anajua Sana na ana kipaji Cha Hali ya juu sana.

  • @jumamohamed4898
    @jumamohamed4898 2 роки тому +2

    '' lipiza mabaya kwa mema, akuna maisha bila upendo.'' 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @durgatagur1329
    @durgatagur1329 3 роки тому +27

    That's why we love you Tembo,yote tisa kumi hofu yako ya Allah tu 🥰,huu usia wa Tembo umegonga ndipo 254 we have your back bro

  • @lamoniketv603
    @lamoniketv603 3 роки тому +337

    Jeshiii is a super genuis💯🔥My 🇰🇪🇰🇪 kenyan people camp here with likes

  • @onessinkonge7019
    @onessinkonge7019 3 роки тому +7

    Eti Mwambie huyo paka anajiita chui aache kudadia bifu juu chanzo hajui..Which line imekunice from The King of vocals 🔥🔥❤❤

    • @collotz01
      @collotz01 7 місяців тому

      c paka ni kaka

  • @watuhuru6128
    @watuhuru6128 3 роки тому

    Wewe ndio unapenda kutunisha Missouri mi.naona umejiimba mwenyewe mana kasoro ulizoimba zote unazo mwenyewe .

  • @abadadahuko3611
    @abadadahuko3611 3 роки тому +2

    Badaa ya interview fan mpya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ibrahimmkala4336
    @ibrahimmkala4336 3 роки тому +58

    How can someone hate on this guy for real.....just listen to this masterpiece..Harmonize is the best writer

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 3 роки тому +7

    Kwa nini lakini huu wimbo unanimalizia data zangu 😔😔😔 naupenda sana jamani

  • @kwelinihatari9432
    @kwelinihatari9432 3 роки тому +21

    Tembo tembo🐘🐘 kawakimbiza simba🦁na chuii🐅 Nanpedan uyunjama ni Mwamba 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁😁😁😁😁

  • @adnanmiqdad4911
    @adnanmiqdad4911 17 днів тому

    Simba akimuona tembo na makali yake yote anachimba...ilove that shit.... keep strong (soldier boy)

  • @vadohswahili3648
    @vadohswahili3648 3 роки тому +4

    Dunia Hakuna Anayeijua Vizuri Zaidi Ya Mungu Baba 💪💪💪🔥🔥🔥🔥My Tembo

  • @frankyjay254
    @frankyjay254 3 роки тому +4

    Mwambieni uyo paka anajiita chui aache kudandia beef hajui...Nani kama kondeboy..😎😎 moto sanaa

    • @collotz01
      @collotz01 7 місяців тому

      mwambie uyo kaka cio paka my guy

  • @lydiaelsie652
    @lydiaelsie652 3 роки тому +85

    The only artist committed to his work n no grudges congrats konde...

    • @aggressivelamaar
      @aggressivelamaar 3 роки тому

      hizo lines za kwanza sounds like a diss to me😅😅😂

  • @fizomedia5112
    @fizomedia5112 3 роки тому +16

    Mwaka huu mpaka wanafunzi wafaul huyu Jamaa anaweza kupeleka muziki mpaka nje it's true sure 🔥🔥🔥💥

    • @hemedytz1421
      @hemedytz1421 3 роки тому +1

      Kwa Mziki Uo wa Majungu Au Mwingine

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 3 роки тому +1

      @@hemedytz1421 kwa hii sio kwanza ilitakiwa isiwepo kwa album ila zingine ni konk

    • @hemedytz1421
      @hemedytz1421 3 роки тому +1

      Album Hii Kakurupuka Kuna Nyimbo Mbovu Kibao

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 3 роки тому +1

      @@hemedytz1421 sawasawa boss pamoja sana

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 3 роки тому +1

      @@hemedytz1421 hemedy kutoka wapi hio

  • @Listen2zaire
    @Listen2zaire 3 роки тому +1

    Alikuwa kimyaa sasa amewajibu🤣🤣😅🤣perfect timing..malipo ni hapa hapa

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 3 роки тому

    Watoto wangu eeh mm baba yenu na nina nguvu nying za kumuuwa simba 🎶🎶🎶🎶🔥🔥🔥🔥✊✊

  • @mahmoudabbas4335
    @mahmoudabbas4335 3 роки тому +3

    Heshima kwa mama wa kambo jaman ndo kanielea mie! nampenda sana

  • @hadija846
    @hadija846 3 роки тому +7

    Jeshiii Tembo Harmonize wangu pamoja sana wakate wote 😘💯
    Yaani nyimbo inaujumbe mkubwa sana Yaani mashahiri unavyoyaweza kweli we ni mwimbaji wasiokuelewa wote ni wapungufu wa hakiri
    Tembo 🐘🙏🏼💯😍

  • @nickmurithigithu9963
    @nickmurithigithu9963 3 роки тому +8

    Konde mbona ushikiki mwanang leo tunawakunwa 🔥🔥🔥

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 роки тому +1

    Go Harmo unajua unajua unjua tenaaaaaa

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 роки тому +1

    teacher unaakili sana ndo maana Mungu anazidi kukuongoza.

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 роки тому +11

    Huyu ndio harmonize ninaemtaka mimi... Sio wa adebasti my mendula...

    • @Moviesinkiswahili
      @Moviesinkiswahili 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @maureenchelah3094
      @maureenchelah3094 3 роки тому

      😂😂😂😂🙌

    • @whellanwellington3462
      @whellanwellington3462 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 da we mwana hufaiiiiii ,medula nn

    • @jenifferochieng5031
      @jenifferochieng5031 3 роки тому

      Ukorofi 😂

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 3 роки тому

      @@whellanwellington3462 ananiudhi sana angalia nyimbo zake kwenye album zilizojizolea views nyingi ni gani kama si hizi aloimba kiswahili... 😁😁 But konde ni mkali bana

  • @kuria_for_life1
    @kuria_for_life1 3 роки тому +3

    Harmonize
    Talking from Kenya my music brother... Nalia machozi nkisikiza hii Ngoma Ningekuwa billionaire ungejulikana Hadi China juu Mondi anawatusi saana🥀⭐⭐⭐⭐⭐🦣🐘🦣🐘

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 3 роки тому +17

    Natamani ni like Tena jamani 💕💕💕🐘🐘🐘

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 3 роки тому

    More konde ingawa hatujaonana I love u my bro from onother mother.mungu akutangulie kioo

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 роки тому +2

    Wanaosema album haijatrend mbona me naiona ina nyimbo nyingi zimetrend tofaut na ile ya kiba…💙💙💙 Audio karib zote zipo on trending music 🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️

  • @Kamba_Boy
    @Kamba_Boy 3 роки тому +11

    Kondegang 🔥🔥🔥🐘🐘❤️hii tamu sana,hii life gamble 🤗

  • @DaressalaamTv-rb2io
    @DaressalaamTv-rb2io 3 роки тому +120

    Wimbo una ujumbe mzuri nimeupenda

  • @annualsadathtz5050
    @annualsadathtz5050 3 роки тому +4

    Asee 🙌 we ni Tembo mara moja tu 🐘

  • @jimmi.8632
    @jimmi.8632 3 роки тому +1

    Wanafunzi wananyooka 🙌

  • @jimmyfabian5081
    @jimmyfabian5081 3 роки тому +1

    USIA WA MUHIM SANA HUU KWA WCB!! NI MUDA SAHIH SASA WA WATU KUACHA CHUKII

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 3 роки тому +5

    yaan harmonize ana nguvu anaweza kumuangusha mondi tulioelewa🔥💪

  • @youngb5993
    @youngb5993 3 роки тому +5

    🇰🇪🇰🇪 tuko kimoja hadi mwisho 💪💪jeshi

  • @immanuelcharles2699
    @immanuelcharles2699 3 роки тому +3

    I appreciate kwamba we ni tichaaaa❤❤🇹🇿🇹🇿

  • @Westsidemose
    @Westsidemose 3 роки тому +2

    Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hatari Sana hii ya kinyamwezi sana ❤️❤️❤️❤️ from Kenya big love

  • @basmahabdul6266
    @basmahabdul6266 3 роки тому +1

    Acha kondeboy atoke Wcb uyu ana kipaji bhanaaa...kudos to harmonize

  • @ramadhanmohd2294
    @ramadhanmohd2294 3 роки тому +11

    Tembo wewe fundi na nusu umeuwaa 🔥🔥🔥🔥

  • @gidikocha
    @gidikocha 3 роки тому +4

    My role model has done it again, kazi Kubwa yaja Gidi kocha ft Harmonize

  • @demarege1328
    @demarege1328 3 роки тому +6

    Huu ni usia wa tembo...mwambie huyo paka anajiita chui....🔥🔥🔥🔥 Moto faya

    • @demarege1328
      @demarege1328 3 роки тому

      @Jocelyn flores mwambie asidandie bifu ambayo chanzo hajui

  • @latifasaidi5151
    @latifasaidi5151 3 роки тому +1

    Go go go tembo👌kwa wasijiolewa lazma waseme album mbya Ila kwa tunao jielewaaaa hii album Ni motooooo

  • @jamilakelota6588
    @jamilakelota6588 3 роки тому

    Kumzalau usiyemjua ni Dhambi
    Usia imebeba ujumbe mzito congratulation Tembo

  • @swalehmwandau7004
    @swalehmwandau7004 3 роки тому +163

    to be honest B boy is the best producer I have ever seen all the songs he produce for Harmonize are dupe🔥🔥🔥🔥🔥

    • @edsonbasesa5587
      @edsonbasesa5587 3 роки тому +4

      B boy
      He deserves Trophy

    • @stenobway3602
      @stenobway3602 3 роки тому +3

      True story all day eery day is the best baad maan producer I'm proud of this mah people ✊🚀🚀🚀B boy💥💥💥

    • @wangash6144
      @wangash6144 3 роки тому +1

      the bits are hitting different

  • @commanderthecomedian1814
    @commanderthecomedian1814 3 роки тому +11

    Toka harmonize aondoke wasafi, wasafi label imerudi chini

  • @semakulaaslam1559
    @semakulaaslam1559 3 роки тому +16

    True teacher kondeboy listening to this album, my everyday meal. Being humble means alot

  • @emmanuelkaitabatz556
    @emmanuelkaitabatz556 3 роки тому

    DUNIA,USIA,MTAJE,ATARUDI, MAMA,MATATIZO sijui ni aina gani ya mziki lakini ndo mziki unaoufit vizuri mziki flani kama wa mbwinde huko unapendeza sana.

  • @chizahamisi
    @chizahamisi 3 роки тому +1

    sasa wasafi inahusika nini wewe toa ngoma sisi tushachoka kila siku unawadisi wewe endelea sisi tupo kimya Mungu atanipa kukusaidia diamond hakufanya vibaya bali alitaka kipaji chako kisipotee sw wewe rudisha shukurani yako,

  • @youngranqing
    @youngranqing 3 роки тому +140

    I literally come to UA-cam to check the notification"someone liked your comment"and you have a new subscriber.. it always makes my day

    • @MwalimuKim006
      @MwalimuKim006 3 роки тому

      I Love this song so much, mwanzo hapo kwa simba akimwona tembona paka anayejiita chui,hahahaha...

    • @edwinsimbaa
      @edwinsimbaa 3 роки тому

      And share

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому

      Harmonize - Usia (Official Music video)
      ua-cam.com/video/YP5aWGQa2U0/v-deo.html

    • @jimmytalanta0018
      @jimmytalanta0018 3 роки тому +1

      Dunia hakuna anayeijua vizuri

    • @Neddyjay
      @Neddyjay 3 роки тому +1

      It's true coz it's happening even to me

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 3 роки тому +45

    My first favourite song is USIA followed by Dunia and Single salute on you kondeboy🔥

  • @makena_J
    @makena_J 3 роки тому +37

    I literally come to UA-cam everyday to check the notification "someone liked your comment' and 'you have a new subscriber' just makes my day🙏🏼❤️

  • @mobatselemani1664
    @mobatselemani1664 3 роки тому

    Mmmmhhhh mhenga
    Nakubali usia wako

  • @ChristianKasereka-v7r
    @ChristianKasereka-v7r 4 місяці тому

    Mutangulize mungu na dua popote kambi;kuishichini ya dola sio matakwa yako,...cha mtu mavi tafuta chako...

  • @hollytae3060
    @hollytae3060 3 роки тому +33

    Lakini Jeshi ni mchokozi jaman😭😭
    Much love to you harmo ❤️‍🔥

    • @lizershegz3102
      @lizershegz3102 3 роки тому

      Si kupènda kwake ni bangi😹

    • @judykanyeki1408
      @judykanyeki1408 3 роки тому

      Pia wao humchokoza sana wacha awajibu round hii naye angoje comeback#kondegangforever

    • @demarege1328
      @demarege1328 3 роки тому +2

      Hamna uchokozi😂😂 ambieni hako kapaka kanajiita chui 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @hollytae3060
      @hollytae3060 3 роки тому +1

      @@demarege1328 😭😭

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 3 роки тому

      Yupo poa anapenda kuongea ukweli c wajua bwana mwanadam hapendi ukweli

  • @marcosjorge1724
    @marcosjorge1724 3 роки тому +30

    Teacher mungu akulinde. Daaah hatari 🔥🔥❤️🔥🎯🇲🇿

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому +1

      Harmonize - Dunia (Official Music Video)
      ua-cam.com/video/PR-xwm0wzwI/v-deo.html

    • @lilybizimana1832
      @lilybizimana1832 3 роки тому +1

      Harmonize - Usia (Official Music video)
      ua-cam.com/video/YP5aWGQa2U0/v-deo.html

  • @fadimoommeta
    @fadimoommeta 3 роки тому +14

    Hii ni fimbo kwa wapinzani wa harmonize #fadimoo

  • @maris_say
    @maris_say 3 роки тому

    Cha mtu ni mavi tafuta.....chako ata likichelewa...... Best advice

  • @odiwameru4419
    @odiwameru4419 3 роки тому +2

    Hainivimbishi kichwa.......my kenyan friends show love ..just like or comment

  • @agabanicetunemusa331
    @agabanicetunemusa331 3 роки тому +12

    In uganda 🇺🇬 we love tembo 💪💪 wapi likes zake 🎵🎶🎶🕺🕺🕺🕺🕺❤️❤️

  • @issamusungu450
    @issamusungu450 3 роки тому +5

    Kali Mr tembo much love

  • @calvincebrad1960
    @calvincebrad1960 3 роки тому +62

    This man is too much, engineer Wa muziki

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 3 роки тому +1

    Imekuwa taarabu na vijembe nyimbo zote kama ni moja unavyoimba marioo yupo juu yenu hamumuwezi kabisa huna nyimbo kaka

  • @mericobkenya.4653
    @mericobkenya.4653 3 роки тому +1

    Huu ni USIA,,,hii dunia Tunapita...mafunzo nimepata

  • @chrismwamburi6169
    @chrismwamburi6169 3 роки тому +5

    Usia wa tembo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FIREBWIZE
    @FIREBWIZE 3 роки тому +5

    Ambieni huyo paka anajiita chuii🤣🤣🤣 ilike that part

  • @coffeemuya618
    @coffeemuya618 3 роки тому +15

    Kondeee never disappoint it

  • @humphreywamburatv
    @humphreywamburatv 2 роки тому

    Konde he know khoo khoo khoo
    Im relaxing mno nikiwa naskia mashairi kama haya

  • @ngulamujonathan2039
    @ngulamujonathan2039 3 роки тому

    Usia kwa kweli, Hakuna anayejua ya Kesho.

  • @freeworld2369
    @freeworld2369 3 роки тому +50

    Tembo kwa tenzi tu wewe ni nyoko🤣🤣🙌paka anaejiita chui mwambieni aache kudandia treni kwa mbele🙉hawezi kuelewa. Tembo is fucking matured he knows exactly what he's doing.

  • @nzeyimanaabdallah131
    @nzeyimanaabdallah131 3 роки тому +11

    Wawe humble tu inatosha ✌

  • @donatienbaderha81
    @donatienbaderha81 3 роки тому +22

    The super star teacher

  • @limoosshow9727
    @limoosshow9727 3 роки тому +2

    Tunamgongoja tembo DEC nzima tuko nae hapa kenya

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 3 роки тому

    Asante harmo now am ur number one fans kumbe mond kakuzngua sn kwann ukusema mapema

  • @mikemutugi6339
    @mikemutugi6339 3 роки тому +3

    Harmonize uko juu🔥🔥🔥🔥

  • @belyndaobanda19
    @belyndaobanda19 3 роки тому +13

    This man is soo genius daamn

  • @roddyfawaz6
    @roddyfawaz6 3 роки тому +5

    Huu wimbo mkali mno 🔥🔥🔥🇧🇮

  • @chancedieudone5309
    @chancedieudone5309 3 роки тому

    Konde boy uko juu sana kuliko hata huyo Simba na chui

  • @elpinahmkakisha9857
    @elpinahmkakisha9857 3 роки тому +1

    I honestly love you Kondeboy hunaga kiburi

  • @fizomedia5112
    @fizomedia5112 3 роки тому +19

    Well done chanzo hamkijuiii! That's true

  • @serahaisha6993
    @serahaisha6993 3 роки тому +11

    My favorite....jeshi for everybody..much love from +256... 🙏🙏🙏

  • @sedjotshomba4867
    @sedjotshomba4867 3 роки тому +4

    My Africa peoples let's us support konde boy jeshiii tembo is very talented artist 🎵🎵🎶🎶🎶🎵🎵

  • @celestin7813
    @celestin7813 Рік тому +1

    May GOD richly bless you dear brother for this advice! we are only pasags on this earth! i love you from congo 🇨🇩

  • @footballarena7635
    @footballarena7635 3 роки тому +1

    Usia wa tembo " cha mtu ni mavi"

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 3 роки тому +13

    Konde boy 🥰🥰🥰🔥

  • @mradiboymtotowamilka
    @mradiboymtotowamilka 3 роки тому +26

    Ati paka kajiita Chui,,na bifu sababbu hakijui.....waah,,I die😂😂😂😂

  • @calebmuli6257
    @calebmuli6257 3 роки тому +4

    Amazing..macho kwenye comments...legs moving from left to right...my mouth trying to sing 🤗...but Cha muhimu akili inatafakari usia

  • @anealane3482
    @anealane3482 3 роки тому

    Hakuna kinacho nifurahisha kama maneno unayo yimba 🙏🙏🇧🇮💥💥💥

  • @zamibrahim3014
    @zamibrahim3014 2 роки тому +1

    Huu ni usia wa tembo ❤ 😍