Mashemeji Derby | Gor Mahia 1-2 AFC Leopard | Highlights | FKF Premier League - 14/05/2023
Вставка
- Опубліковано 18 тра 2023
- Tazama matukio muhimu na kwa ufupi yaliyojiri kwenye mchezo wa FKF Premier League uliozikutanisha Gor Mahia dhidi ya AFC Leopard, hii ni Mashemeji Derby ya nchini Kenya iliyomalizika kwa Leopard kuondoka na ushindi wa magoli 2-1.
Magoli ya AFC Leopard yalifungwa na Victor Omune na Maxwell Otieno wakati lile la Gor Mahia likifungwa na Austin Odhiambo - Спорт
Azam tv is going to be the biggest sports tv chanel in Africa.... Cover Tanzania, Rwanda, Now kenya! ...
Azam fufua soka la Kenya.
Asanteni sana
Azam thank u for sponsoring Kenyan league
This is one step to better match highlights, azam all the way
Kweli Hawa Bado sana nimewafatilia naona mhmm mpira mauzauza
i was there live iyo siku..congralutations igwe
Azam wapo kenya sasa raha sana
We are east Africans
Hawa mpaka wafikie simba na yanga sisi tutakuwa mbali sana kiufup hawa jamaa kutufikia sio leo
Kwani walitaka kuwafikia?
Azam mko vzur
Nimeona jersey nyingi za YANGA kuliko za Afc leopard 😂😂
Kulikua na mgomo wa mashabiki wa Chui kaka kwa ajili ya maamuzi mabaya ya marefa.
Uchebe wetu
Uchebe
Nimemuona kocha wa zamani wa simba
Yupo
kalemewa ligini humu
Kuna ki2 hakipo sawa kichwani mwako
Kina onyango kmbe uku ndio uzao wao
dah bado sana mko chini kiviwango
Yanga na Simba hubondwa na Kariobangi sharks😂😂😂😂
@@musajumba559tell them,tukl down but non of their clubs beats ours 😅😅
@@iamjijo2872 Not now lol
Huu ndo uwanja wa taifaa mbona mbayaa
Tulia. Kenya kuna uwanja kadhaa. Uwanja mkubwa zaidi Nairobi unaitwa Kasarani. Unabeba zaidi ya watu 70,000. Huu ni uwanja wa pili unaitwa Nyayo na ni karibu 30,000
Ohooo hapooo nimeelewaa nilitakaa kushang,aa piaa Kenya iwee na uwanja mdogo hivyo