#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @shedracksteven6096
    @shedracksteven6096 3 роки тому +4

    Pastor Mmbaga! Ubarikiwe! Kiiila siku unajambo kwa ajili yangu, nafuatilia saaana mafundisho yako, Ni heri niweke bando nikusikilize. Ninamiaka 4 sijawahi kulipia king'amuzi, ni heri ninunuwe bando,nisikie jambo kutoka kwako! Umeniokoa sana sana sana! Mungu akutumie hadi umalize kazi yake. Barikiwa na jamii yako.

  • @isaacmogambi6672
    @isaacmogambi6672 3 роки тому +2

    Thank you pastor David for good preaching God bless you so much..🙏 🙏🙏🙏🙏

  • @heppy8968
    @heppy8968 Рік тому

    Amina nabarikiwa Sana na somo hili 🙏

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 3 роки тому

    Bwana akubariki na watumishi wa mungu

  • @priscillaheri6823
    @priscillaheri6823 3 роки тому

    Ashukuriwe Mungu. Kwa Neema tunaishi na kujifunza mengi. Kupenda neno kama hili ni Neema na kulifanyia kazi ni Neema. Mungu atuhurumie kwa rehema zake azidi kujitwalia utukufu!👏👏

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 Рік тому

    Ameen mtumishi hata mm pia hiyo waga inanitokea sana

  • @ruthkiboko3844
    @ruthkiboko3844 3 роки тому

    Mungu akubariki sana Pastor Mmbaga tunabarikiwa na mahubiri sana... sana injili hii inatukuza kiroho kadiri tunavyofuatilia mahubiri

  • @azaransari7307
    @azaransari7307 3 роки тому

    Napenda unavyofundisha kwa uhalisia. GLORY TO GOD. greeting from German 🇧🇪

  • @seiframadhan3387
    @seiframadhan3387 2 роки тому

    Nakupenda pastor kwa sababu unahubiri uhalisia wa maisha yetu ya kila siku na ndy maana tunakuelewa sana na unabadirisha maisha yetu kwa kiasi kikubwa

  • @elizafanzabron592
    @elizafanzabron592 2 роки тому

    Ninavokupenda wew bas tu, nampenda Mungu aliye ndani yako na ninakupenda wew ambae Mungu anakutumia

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 3 роки тому

    Thank you pastor Mmbaga for the wonderful teachings. It has been an awesome week of great blessings for me. Barikiwa sana pastor na familia yako.

  • @esthermsely3537
    @esthermsely3537 2 роки тому

    Amen🙏

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 роки тому

    Mafundisho mazuri napenda sana Mchungaji Mungu akubariki.

  • @jessikaakinyi8445
    @jessikaakinyi8445 3 роки тому

    Ameeeeen Mungu anastaili zake naomba anipiganie ktk hili langu

  • @j4gchannel345
    @j4gchannel345 3 роки тому

    Barikiwa sana

  • @verdianajohn7634
    @verdianajohn7634 3 роки тому

    Mungu. Akubariki kila mara maana unatusogeza karibu na Yesu kila wakati

  • @peninadunda6348
    @peninadunda6348 3 роки тому

    Amina mungu azidi kuwabariki na kuwatia nguvu kila kukicha

  • @jeconiajosia1999
    @jeconiajosia1999 3 роки тому

    Yaani pastor mahubiri yako huwa yananibariki sana sikosi kufatilia nini leo umekizungumzia twabarikiwa zaidi ya unavyofikiria

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 Рік тому

    Nilijua kua maombi ya kufunga na isitoshe kutoa nadhili maombi yote mungu anajibu vile tunataka kumbe sio,nimemuelewa Sasa,

  • @lutemahindiakaje5046
    @lutemahindiakaje5046 3 роки тому

    Mungu atukuzwe Kwa ajili Yako Pr Mmbaga

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 3 роки тому

    Mungu akulinde na kukujaza baraka mara dufu

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 3 роки тому

    Amina Ubarikiwe nawe pia

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 Рік тому +1

    Amina,ndio maana napenda kurudia mara nyingi kuwatch hii video inafariji kweli kweli

  • @wadyanali900
    @wadyanali900 3 роки тому

    Nimeokolewa kwa neeema

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 роки тому

    Mungu ananisahaulisha

  • @dukemayo785
    @dukemayo785 3 роки тому

    Na neema yake bwana itufuate milele a “Kenyan”I can’t miss your teachings any invitation to America visit Texas mostly Arlington area

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll 3 роки тому +1

    Mbweha wakamuunga mkono Samson

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 роки тому

    Amen 🙏mchungaji barikiwa sana.ama kweli nikiwa sijasikiza clip yako kwa siku nahisi kuna kitu nimekosa rohoni mwangu.mahubiri yako yananifariji sana.mungu na akubariki.🙏

  • @user-sp4hh8gs9i
    @user-sp4hh8gs9i 6 місяців тому

    Pastor unasema shetani sio mtu, shetani ni nini?

  • @timothywandera1681
    @timothywandera1681 3 роки тому

    Kwa mda wote nimekufuatilia sana, ila swali langu ni, kila mchungaji akiniombea na nimualike kwangu nyumbani atakuja mara ya kwanza bali hawezi rudi tena na pia hata mawasiliano hupotozea kabiza, zaidi ya mara sita hivi je kuna shida gani kati yangu na hawa watumishi?

  • @roselineombati670
    @roselineombati670 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂,aki ukweli
    Kuna wkt nilifunga na kuweka nadhili kabla sijamaliza mfungo wa wiki tatu siku Moja asubui nikaota verse kwa biblia nikasoma but sikutilia manani kumbe mungu alinipa jibu na sikumwelewa,Hadi nikaanza kuchanganyikiwa mpaka nikauliza swali Mahubiri TV tho sikujibiwa nikaacha,ajabu ni kua mungu alirudia kunionyesha zaidi kua ninavyotaka kufanya sivyo,tena Jana nikarudia lakini mwishowe ni vile vile tu,ulipokua kwa stewardship juzi tu ikafundisha kua mungu anaagiza ukwame Ili Yale yangekukuta yapite kwanza ndipo aruhusu upite.hilo lilinisaidia mawazo nikatulia mpaka wkt mungu ataniruhusu.barikiwa sana

  • @johnedwardy7254
    @johnedwardy7254 3 роки тому

    Amina