Hongera sana kaka mboneke,kazi nzuri,picha kali,sound iko vizuri japo sound track za nyuma inaharibu kidogo kwani inaondoa umakini katika kuangalia waigizaji wanachokifanya,sinister sound ziko vizuri,big up
Hiii movie ilifaa kuishia hapo huyu dem alivyo geuka kutazama makaburi ...alafu tuka subir muendelezo kujua kwann atazame makaburi mjitahidi kumaliza vizuri kuwapa ham watazamaji ...jifunzeni hata kwa wenzenu .kusema kweli move ni tamu zaidi ya utamu✍
Story ni nzuri waigizaji mnafanya vizuri pia ushauri wa kwanza ni sehem ambapo episode inapo ishia jitahidi iishie sehem ambayo itampa hamu na chachu mtazamaji kutaka kuona mwendelezo wake cha pili ongeza story kidogo sio scene zote unaonekana wewe tuu weka story saidizi yani scene ya kwanza labda wewe ya pili sehemu nyingine watu wengine na story nyingine ambapo main story na story saidizi zitakuja kukutana mbele Kazi nzuri na mnajitahidi hayo ni maoni tuu bosi
Vipi umeionaje movie comments Chochote
Nafatilia sana unakuta nikiwa sina bando nakopa du😊😊
Iko na unyama mwingi
Nimepend story saf kabisa nasubiri mwendelezo tu hapa
Safi
😂😂😂 au ni samsoni na delila 😂 sema tamaa mbaya
Kazi nzuri
nakupendaga tu mnyakyusa wew move iko pw
🔥🔥🔥hii niatarii sanaa mc mboneke
Drop episode 2 umetisha kinomanoma bless sana
Pua yangu ni kubwa nimerithi kwa mama mkwe🤣🤣🤣... Mboneke unampamba mrembo mpaka unapitiliza🤣
😂😂😂😂😂😂 nimecheka hatari
Kazi nzuri mc mboneke 😂😂😂
TOA Kaka TOA Kaka kumbe Mama AKO nimwanamke nataka mniombee 😂😂😂😂😂
Mc mboneke haujawahi kushindwaa ni shabiki yakoo namba Moja bonge LA tamthilia🙌🙌🙌🙌🙌👊
Hongera sana kaka mboneke,kazi nzuri,picha kali,sound iko vizuri japo sound track za nyuma inaharibu kidogo kwani inaondoa umakini katika kuangalia waigizaji wanachokifanya,sinister sound ziko vizuri,big up
kweli tena
King wa comedy mc mboneke bonge la muv👍
Iko pw sana but mkeo yupo 🔥🔥🔥🔥
Hiii movie ilifaa kuishia hapo huyu dem alivyo geuka kutazama makaburi ...alafu tuka subir muendelezo kujua kwann atazame makaburi mjitahidi kumaliza vizuri kuwapa ham watazamaji ...jifunzeni hata kwa wenzenu .kusema kweli move ni tamu zaidi ya utamu✍
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Leo ni mara ya kwanza kusikia mwanaume anaweseka Kwa utamu
Wimbo unazingua kila mda saund yasauti iko poa
Kazi nzuri kaka
Brother inajitahidi sana kabisa is best movies tupe next
Nakulubal sana mboneke😂😂😂😂
Kazi nzuri sana
Nakukubali sana mwanangu mboneke
Vipi hii song ni kali sana. Ni nani njina ya huu muimbajji
Kak umetisha sanaaaa umu ndan
Nafurahi t vituko vyako utembeaji,uchekaji daah atalii😂😂😂
Kazi iko pouwa jamn
Unalalaje na mkeo mmevaa nguo Mzee mboneke, chezeni Kwa uhalisia
Pua umelidhi kwa mama mkwe😅😅😅
Nakuelewa sana mboneke job nice
Kazaa mwanangu goma kali
Story ni nzuri waigizaji mnafanya vizuri pia ushauri wa kwanza ni sehem ambapo episode inapo ishia jitahidi iishie sehem ambayo itampa hamu na chachu mtazamaji kutaka kuona mwendelezo wake cha pili ongeza story kidogo sio scene zote unaonekana wewe tuu weka story saidizi yani scene ya kwanza labda wewe ya pili sehemu nyingine watu wengine na story nyingine ambapo main story na story saidizi zitakuja kukutana mbele
Kazi nzuri na mnajitahidi hayo ni maoni tuu bosi
Mkeo mzuri😘😘ila ajabu huna ela arafu una mchiti ,,,,Aya kama uelew,,,mpaka usiku Tena usiku WA manane
😂😂😂😂
ur so talented bro I like it hata kama sisi ni maskini huenda sis ndo daraja.....😜😜😜
Iko powa mwanangu
Iko bomba
naomba episod ya 2 kaka dajhhh 😅😅😅 nouma sana
Hiyo ni bomba sana kweli 🤔😂 I missing it sir🎤🕺🕺🙏🙏🙏🙏
Nakufatilia toka ago... from Mozambique
Mboneke una undugu na mama yako mkww had urithi pua😂😂😂
Umetisha Mwananguh
Nimeona Tulia Trust alafu Sami Tamu 😆😆😆😆
Ebhanaa mbnekee hii kitu tupate na episode2
Umetish 💯💯💯
Umetisha San sister g love u😍
Kali sana umtisha sana
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nakutambua mboneke,na huyo mwanadada wa buibui ni mrembo ajab,unaeza mlink na Mimi?
Nzuri sanaa
Lete muendelezo kaka imetuliaa
Inyendelo jako nyali Ghwamyitu..........pakugojamika amalundi Mmago
Master MBONEKE, hiyo ni ya nani
Shida ake unaigiza tu story mzuri unagiza ndan ya magizo shoot kawaida tu
❤❤❤❤ mboneke
Noma sanaaaaa
Unafkiria Sana kaka❤🎉🎉🎉🎉😊👌👌👌
Utuletee mwendelezo mapema
Movie iko powa sana kaka.Kwo tukutane wap??
Mboneke uditucheleweshee episode ya pili kama clam VEVO
Umetiisha, homeBoy
good try broo tuendelee kukaza
Camera mbovu
Maua yako🎉 kaka
Good bloooo
Yan ww mboneke day one umemuona na mda huo ulikuwa unawaz umeambiwa uje na pesa apo ww uongo kaka😂😂
Pure talent kaka
Nataka mniombeeeeee😂😂😂😂😂
Unazinguwa mboneke 😂
😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉 the best i love you ❤️❤️🇨🇩🇨🇩
Umeanza story vizuli ila uwigizaji wako wakujichetua kwenye sirious movie aujakaa sawa mtazame clam vevo ni bonge la muigizaji
Samii 😂
Good work experience
Kali kinyama Yani mke wa mboneke ana mbamba
Kali sana
Iko vzr 😂
😂😂😂😂hatari😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 haaaa saami taaaamu
🎉🎉🎉
Achia next episode
Huna bayaa❤❤❤
Mboneke❤ next
😂😂😂😂
Fanya mpango wa ep ya pili
Safi sana
Mboneke ka jinga 😹😹😹nakupenda ❤️
Aki nimecheka i like zat
I like it sir🙏🙏🙏🙏🙏
Upo vzrii
Mbombo nyafuuu nkam
Your so funny 🤣🤣🤣🤣
Mbonekeeee
🔥🔥🔥🔥
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Kali kaza
Mbonekee
Unyama 🎉🎉🎉
Nice Nice broo
Kali❤❤❤❤❤😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥
Please I need name of that song I like it
Nakubali
Sami tamu😅😅😅😅
Nzuri
Mh hongereni tu
Mm nimeangalia mara kumikumi