Swali yn huyo jamaa kamkuta huyo dada kwenye hiyo nyumba akaomba kulelewa au yeye kampangia maana vijana wengi kulelewa kitonga tunapenda CK hizi ww unaenda na mchele TU kwn huyo ni kuku hahaha 😂
Swala si kodi Alipi ndio lakini jamaa si anambandua tena yeye ndo mjanja alikua anakula bure na amzingatii sema alichokosea ni kutaka kuleta fujo Alitakiwaa aondoke tuu
Mwamba ana mambo ya kisenge mm nikiona demu ana vitu kama hvi na mm sitoi kitu nakausha tu maana najua tu sipo mwenyewe akiniletea nyama napiga na kwake siendi kikubwa akinilete kyuma naisugua anarudi kwake basi sitaki kero na kudharirishwa wewe mwamba umefeli ulipi chochote sasa ulitegemea nn kama siyo anakazwa na watu wenye hela zao mengne muachage yapite tu
Upunguze kuongea kitu kimoja muda wote at least ungekuwa unamuuliza kuhusu hayo mahusiano Yake lbd amekuwa naye mda gan kweny mahusiano, je alishagawah kuhis anamcheat, wanaonana Kila baada ya muda gan Kam hawakai pamoja, n.k lkn sio mamb Yale Yale ndo tunaenda ndo tupo njian ndo tuko barabaran, ndo tunakaribia, it doesn't make sense jitahidi uandae vya kumuuliza kbla ya kuanza kumhojii,, keep on tunakusaport
Mkomage mnakaa mnafulahia mitelezo ndani Una enjoy tu ulipi kodi huudumii nyooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kodi ulipi na hauudumii unataka kuakiki nini 😂😂 wakati anakuonea uruma 😂😂😂😂😂
s ndo apo jmn
😂😂😂😂🙌🙌🙌ushayamaliza 😅🤐
😂😂😂😂 ndio hapo sasa
😄😄😄😄😄kamanda anaipenda kaz yake 💪💪💪
Jayden mpambe kisenge 🤣🤣🤣🙌 mara zawadi ni nyingi mara nikajua Davis jina lako jingine 😁
😂😂😂
😂😂😂😂😂 nimecheka sanaaa.. Kodi halipi alafu anajifanya kidume 😅😅😅
😂😂😂ᴇᴛʏ😂😂😂
Najiuliza alikua ameenda kuhakiki nn?? Ningekua ndo uyo demu huyu jamaa ningempga jiwe....hajui kodi alaf anakuja na camera
😅😅😅😅😂😂😂@@emilianakawishe
Kula utamuu tu kuhudumia aaaah😂😂😂
😂😂😂😂mkome kupenda mtelezo😅ulivyovimba ndani kwa mwanamke😂kuja kulalala Tu kulipa kod ahaaa
maraa mwenye mlipa kod uyu hapaa km nawaona mtatubuuu🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Anasauti ya upole mashallah nely uyo kijana nae 😂😂 eti kaja na nyanya mweeh mtu kapanga nyumb kam iyo 😅
😂😂😂😂😂😂 huyo mdada ni malaya
Kabsa analipwa na wanaomnunua
😂😂😂huyo kamanda anamnyanyua juu njuu😂😂
😅😅😅😅 yan hulipi kodi unapeleka viungo halaf sio yanya n vinyanya kubababei
Alafu asipande juu ya sofa anaharibu
mambo zingine kujizalilisha tuuu😂😂😂,, Unanua vitu vidogo vidogo afu alale wap sasa😂😂
😂😂
Ukitaja unapewa nyanya 😂😂
Dem mwenyewe sasa wakumlilia😂😂😂😂kwel mtoto wakiume unalia kwa dem huyo😂😂😂
Kamanda kapigwa na nyanya😂
Sahv wadada tuwazngatie kuwataja walipa kodi hz mmbwa zngne ztajua zenyew😂😂😂
Wanaume eeeeh 😂😂😂 tafteni pesa
Anavokaa asa kama kwake😂😂😂
Kamanda kama kamanda mtu wa maana kabisa😂😂😅
Na mm nibebwe 😂😂😂 kamanda njoo
Ni usiku bwan kamanda haoni kwenye miwani 😂
Aio tunazingua lipa kodi 😂😂😂😂unaleta heels alaf kodi itoe miguu au
Kwaiyo uyo kijana alikua anakuja analala apo kabisaa aun😅😅😅
😅😅mtu hudumii unataka utwaje kweli vijana wa siku ovyo kabisa
Na umeegemea kamto weh kijana 😂😂
Vijana kuna kitu Cha kukifunza apo hulipi kodi harafu unajinadi kumbe umewekwa wa nyongeza kama nyanya za sokoni😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Alafu vimtu visivyojua kuhudumia vitata😂😂😂😂😂sasa nyanya za nini au anapenda tommato souse😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hv mi najiuliza kama hapo hatorudi tena kufanya vurugu😂😂
Ety nilijua tu swali unalipia kodi wanaume wengine bhana umarioo umezidi sana
Wanaume wafupi mtulie sasa😅😅kodi hulipi sasa unatakaje😂
😮😮😮kunamambo bhna unajitupa kwenye maji af ukiwa hujuw kina chake daa!
Uniletee nyanya mm...nakupiga nazo za macho....shenz kabsa
😂😂😂😂ila nyie nayo mnavunja ndoa za watu na vidumu vyenu hivi 😂😂😂😂😂
Km safal ndef muwe mnafupish mnatumalizia band
Naona wamekua wakorea sasa 😅😅
Xaxa hyo michele ya1800 nyanya zamia 500 apikie nje kama humlipii kodi mjinga kweli mtu mfupi
Haugopi unalipiwa code na unajisifu hapo hupendw wew Kam chawa 2 brooo
Surprise ya nyanya 😅😅😅😅😅
Ila ww inapete ndan hio nyanya ona alivyo mjinga anawalipa hao ananunua nyanya
Any way board gud nimependa kazi yako
😂😂😂😂😂😂😂
Eti geto kali 😂😂😂😂duuh maisha yenu bana 😂😂😂
Wanaume wa dar wavivu😂😂😂
🤣🤣🤣 ningekua Mimi ningelibonda na ivyo vyakula vyake ulipi Kodi kuja na makamela mpuzi
Eti jmn 😂😂 alipikodi aufummi alafu anataka atajwe😂😂
😀😀😀
Huyu kijana Hana akili kabisa. Huyu binti Bado mdogo sana kupanga ! Ukute ata KAZI Hana
Buntaa msanii sema hana hela ndo manaa😂
Fupisha story man.hakukuwa na sababu kurecod hiyo safar mnapoteza mda
Swali yn huyo jamaa kamkuta huyo dada kwenye hiyo nyumba akaomba kulelewa au yeye kampangia maana vijana wengi kulelewa kitonga tunapenda CK hizi ww unaenda na mchele TU kwn huyo ni kuku hahaha 😂
Swala si kodi
Alipi ndio lakini jamaa si anambandua tena yeye ndo mjanja alikua anakula bure na amzingatii sema alichokosea ni kutaka kuleta fujo
Alitakiwaa aondoke tuu
Yan Michele na nyanya ndo mnizibe na macho 😮😮😮😮
😂😂😂😂😂😂 jana tu kulitokea tukio mahali flan ivi ila wanaume nyie nyoko sana
Nimempenda kamanda kakibeba juu
😂😂😂😂eti nilijua tuu ka senge wewe ungeendelea kupga tuu kodi na kupendwa achia wengine 😂😂😂
😂😂😂😂kwanza kanaolewa huruma , akapewa kanapiga bure alafu kanatujua na macamera ,kanataka nini kama sio tuharibia na masposa wetu😂😂😂
Huyo jamaa ni mjinga sana halipi kodi sasa anategemea atajwe kama nani
Mlinzi lbda😅😅
😂😂😂
Nashangaa
Jamaa anataka ahurumiwe anakumbusha matukio ya mama tena haha 😂
Hunihudumii,hulipi Kodi halafu unanitafutia waandishi wa habari waje kunifumania kweli,wanaume muwe mnajiongeza tu
😂😂😂lipa kodi kaka
Hakuna mwanamke wapeekee ako jidanganyen😂
Mm silp kod lakn naend at km dem kanisalt na kichap juu
Jinga sana jamaa hulip kod unakuja shida ya kitonga kinaponza
Hivi unaingia akilini kweli Kodi haulipi hakuna chochote kile unachokifanya usikiao ushamba ndio huu
Mshambaa tu ata kodii halipii kumbee 😂😂😂
MTU HUDUMII ETI UNAFANYIA MTU CHALLENGE SICHIZ HUYU KAKA🤣🤣🤣🤣KIMEMRABA
Umetoka nae mbari wakati hulipii Kodi mqnina😅
Wanawake wanajeur sna Wakijipata leo Nimeongea kazn Jamn kuoa m Sza
Nacheka kama mazur yaan nyanya za 300 uje uhakiki penz😂😂 mazito Bora angepeleka kwa mama ake kod hulip uje na vinyanya vyako nakupiga navyo uson 😂
Akili ana uyooo
Yaani ela yakulip media unayo ila kulipa kod aaaaah,
Hulipi Kodi afu kelele kibao , ujasiri wa kumpayukia mwanamke unatoa wap
Ndo ushangae sijui iyo nguvu kaitoa wapi😅😅😅
Bodyguard nakuamini😅😅
😂😂😂
Ila Kuna watu Wana confused na sio confidence😂 akiii saa zingin i ni ngumuuuu
Mwamba ana mambo ya kisenge mm nikiona demu ana vitu kama hvi na mm sitoi kitu nakausha tu maana najua tu sipo mwenyewe akiniletea nyama napiga na kwake siendi kikubwa akinilete kyuma naisugua anarudi kwake basi sitaki kero na kudharirishwa wewe mwamba umefeli ulipi chochote sasa ulitegemea nn kama siyo anakazwa na watu wenye hela zao mengne muachage yapite tu
Eti mama yako nilimtibia 😂😂😂
Kodi ulipi wwe hata basi ujitaidi zawadi nzr nzr wamletea nyanya duuh hii kali😂
Chalengi dar mnaumwa nini😂😂
Upunguze kuongea kitu kimoja muda wote at least ungekuwa unamuuliza kuhusu hayo mahusiano Yake lbd amekuwa naye mda gan kweny mahusiano, je alishagawah kuhis anamcheat, wanaonana Kila baada ya muda gan Kam hawakai pamoja, n.k lkn sio mamb Yale Yale ndo tunaenda ndo tupo njian ndo tuko barabaran, ndo tunakaribia, it doesn't make sense jitahidi uandae vya kumuuliza kbla ya kuanza kumhojii,, keep on tunakusaport
Pia ajifunze kufupisha video
@@pillyramadhani3726 💯💯
🔥🔥🙏one Love
👍
Well said
Ss hpo mademu wanazinguwa vp mbona ukweli mtu hauwoni lkn hpo mtu analipiwa Kodi ss km yy hamlipii Kodi ataishi porini😂😂yaani wanaume hawaangalii
Kwan lazima uoneshe safari kumaliza 2 mb
Nacheka aki😂😂😂😂
Kwan mpk mtuonyeshe izo barabara😢, mnatumalizia MB 😢😢😢
Watu wengine ni machoko tu kwa kwelii 😂😂😂
Kufanya uhakiki tu kuhudumia aaaaaaa
Sasa alipi Kodi alafu anatamba kwenda kufumania akili ana
Manina mi msingenifunika kitambaa Wala Nini jitu Halilipi kid nalitaja Ili iweje???
😂😂😂😂 akome
Lazima amtaje anaelipa kodi 😅nyie vp
Shemeji kaleta nyanya na nyama alafu anashangaa geto Kali nimehuzunika sana
😂😂😂😂kwa hyo dogo ulijua unapendwa na unakula peke yako ,umetaka taraka
Anakumbatia na mto na hata sofa hajanunua likojeeee😏
Kumbe ulisha msaidia hadi ma mkwe....dah ujiongeze na kodi sasa
Weka mtukio muhimu2 sio safari yote tuiyone haina unalazima sana
Afu nyinyi mbn mnazungumza utamu mngeendelA tukasikia anaongea nn baada yakutoka ndani 😂😂😂😂
Chukua mchele bwn rafiki yng ukajipoze na pilau getto 😢😅
Ety vimchele na vinyama ndo ukajua kamaliza looh unataka kulala akalele choon kama ww mwaume kweli unaachaje kujua mwanamke analipaje kodi huyo ataka kulelewa koma
Wanawake hawa😢😢😢😢
Wamefanyeje😂
Wee utam n noma san
Wanaume PUNGUZENI UJINGA demu ujuw anaishi vip lkn. Unajifanya unawivu
Hii nimeipenda hii
Anakaaa kwenye kiti hajui hata bei take mshamba huyo
Uyo dada anajiaminije kukubali kufungwa kitambaa machoni na watu asiowajua..hii contents sio halisia mliiandaa kabla
Unaongea sana aisee duuuh
Kupenda kitonga we up go pi nyumba yote na aulipi kodi