Mwili wa mwanafunzi wasalia makafani, Bomet baada ya familia yake kushindwa kulipa gharama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 кві 2024
  • Mwili wa mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne ambaye alifariki akifanyiwa upasuaji kwa mara ya 12 umezuiliwa katika makafani ya hospitali ya Tenwek huko Bomet baada ya familia yake kushindwa kulipa gharama ya hospitali. Familia hiyo inayoishi katika eneo la Nyamache kaunti ya Kisii inakabiliwa na umaskini na inadaiwa zaidi ya shilingi laki saba.

КОМЕНТАРІ • 3