AFIA KAZINI,PIGO LINGINE KWA TAIFA ,MWENYEKITI CCM MKOA WA TABORA HASSAN WAKASUVI AFARIKI DUNIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024
  • #CgOnlineTv
    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora, Hassan Wakasuvi amefariki dunia ghafla akiwa ofisini kwake mkoani humo.
    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Alhamisi Februari 22,2024, Mkuu wa wilaya ya Tabora, Luis Bura amethibitisha kifo cha kiongozi huyo wa chama na kusema mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kitete mkoani humo.
    Bura amesema mwenyekiti huyo amefariki akiwa ofisini kwake wakati akisuburia ugeni wa Mwenyekiti wa Jumuiya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, aliyetarajiwa kuanza ziara yake ya chama mkoani humo.
    Naye, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete, Mark Waziri, amekiri kumpokea mwenyekiti huyo na kusema baada ya vipimo kufanyika ilibainika alikuwa ameshafariki kabla ya kufikishwa hospitalini hapo.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 8 місяців тому

    Poleni sana wana Tabora. Ndugu Wakasubi, alikuwa my comrade, nilishahusika kudimamia uchaguzi akigombea mkiti wa Wetcu na alishinda. Tumtangulize Mungu tu katika hili. Sisi sote tunakumbana na machungu kama haya Bwana Yesu asimile. Amina

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 місяців тому +1

    Poleni sana jamanindugu zangu wa Tabora wanazengo mtalia sana wanawane

  • @DaudiMade
    @DaudiMade 8 місяців тому

    Kifo hiki kinatukumbusha njisi maisha yetu yanavyofanana na mshumaa unaweza kuzima wakati wowote mahali popote kwa matiki hiyo ni vyema tukawa wastaarabu wanyenyekevu na wenye upendo pasipo kujali mungu kakubariki mali nyingi au mamlaka makubwa tupendananeni

  • @ommary75
    @ommary75 8 місяців тому

    Duuuu poleni

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 місяців тому

    Presha hiyo jamaniMungu amlaze mahali pema peponi

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 8 місяців тому

    Kuna wanaowatendea wenzao kama wataishi milele naomba wapate funzo kwa kifo hiki.😊

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 8 місяців тому

    Mnakulana ccm wenyewe kw wenyewe makonda kua makini

  • @fratelltutiilaudatosi4153
    @fratelltutiilaudatosi4153 8 місяців тому

    Sema piga kwa sisiem siyo pigo kwa taifa