CHANGAMOTO TULIZOKUTANA NAZO BAADA YA KUFIKA CANADA..PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 2 дні тому +1

    Noma sana

  • @lizyliz5357
    @lizyliz5357 23 години тому +1

    Kwenye mitandao mnaonekana wa maana lakini watu wakija inbox mnawapiga pesa halafu unamkimbia au unamtajia option unayojua hawezi ifanya
    Elly I want to believe umeacha hiyo tabia

    • @LinahRwambali
      @LinahRwambali 20 годин тому

      Eeeh kumbe ndio mchezo wake huo

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 дні тому +1

    Safi sana 🫡🫡

  • @OnesmoMasima
    @OnesmoMasima 17 годин тому

    Ww unaweza msaidia mtu? Mtz au

  • @Bisekoson
    @Bisekoson 4 години тому

    Aise wabongo watu wa ajabu sana, roho mbaya, ndo maana sipendi kujihusisha nao sometimes. Wakifika huku hata hawataki kuongea kiswahili, wanajifanya wazungu, hawataki kusaidi wenzao. Wakati wenzetu wakenya ukishadunda tu US wanakuweka sawa, hey huku inakwena A to Z. Ndo maana wako mbele sana, sisi tunakaa kujisifia tu, na kuchunguza watu wanaishije. Kuna wabongo mpaka wanawaitia wabongo wenzao police kisa hawana makaratasi. Wabongo wana roho mbaya sana.

  • @cryptoisourlife
    @cryptoisourlife 22 години тому

    Mbona sielewi mnacho ongea .... mmenimalizia mb zangu tu.

  • @lizyliz5357
    @lizyliz5357 23 години тому

    Huyo Elly sio kabisa

  • @DemusTheGD
    @DemusTheGD 2 дні тому

    Sasa mpango ni upi hapo.....

  • @bahatieliphase237
    @bahatieliphase237 2 дні тому

    sijasikia vizuri ati ni simu gani hazifanyi kazi

  • @thequizishow7333
    @thequizishow7333 3 дні тому

    La professor

  • @omarymkwizu9366
    @omarymkwizu9366 3 дні тому +1

    Leteni ish za zaki bwana