Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Baba mkaksii😂😂 balaaa
Haya mazingir manzur
Ebwanae huyu baba kauzuu xn linatesa xn ucku hp hp ndio kula tobaa wee n rohoo yng
😀😀😀
❤❤hongereni kaka zahili uko vizuli
Asante sana
Saf sana Kwa kaz hiiii
Kaka Zahir' unachelewa sana jamani' niliisubiri sana
Mambo yaliingiliana ila sasa tumerejea naomba ufanye kushare kwa watu waione
Kaz nzuri saaana keep it on fire hatareeee
Asante binti othuman
Nimempenda emmy japo anapitia machungu na mazito katika maisha yake lkn anamwambia ukwl babaake yeye ndo chanzo ya haya yote mmmh huyu baba jmn😢😢
🔥🔥🔥🔥
Ulichelewsha sana mpaka tukaisahau❤ from 254
Nilipata changamoto ila sasa inaendelea usijal
@@Zahirthegreat poa tuko pamoja jirani
Mm nilisemaa rabdaa haipoo tena
Ipo boss sasahv utaiona sana tu
Uwa naona wa mama tu wenyo roho mbaya kias hik jmn huyu baba apana afai hata kuwa m tz nigekua mm ndo Emi nigetork tu hakuna maisha hapo nikuhalib fcha
Kiukwel huyu dada anayopitia yapo kwenye jamii zety namm nk na true story
Uyo baba noma
Nzuri sana kaka zahir paka nilijua kazi iliwashinda kumbe ilikua muko jikoni munatuandalia
Yeah sasahv zitakuwa zinakuja mwanzo mwisjo
Uvaaji wa huyu binti tu lazima kubakwa
Mulikua wapi kaka zahiri nmekua wakwanza kutoka Kenya shabiki yako❤❤
Zahir kibonge utafia jela😂
Usiwaze
Hiy move nimzur il unachekewa kutoka
Kuanzia sasa sitochelewa kuitoa
Kwan emmy kutoroka uwezi au
Mmenikera kwann mchelewesh muvi kias hik mpk tumeshaisahau ety mnazingua nyie
Tusamehe kazi inaanza upyaaa
Bomba sana
Baba msaliti
Mmefufuka
Kaka usicheleweshe kutoa inayofwata
Bhan unatucheleweshia san
Mnisamehe ila now inaendelea
Wamelejea😅
Yeah
Mbona movie aina sauti
Simu yako
Dada kibia alafu wewe
Long time
🔥🔥
❤
Mm nimewahi pitia haya na my first born wangu aize inauma sana😢😢😢😢
Pole sana,Mungu awe nanyi