Ww kama utakubali hili utakuwa hauna akili yaani akule kuku pamoja na vifaranga hiyo haiwezekani. Mm usikubali hili afadhali aribiwe na watu mitahani. Kuliko kuharibiwa na babake hiyo ni laana itakuwa mmekuwa wake wenza ww na mwanao
@@oman8573 Kwenye movie kauliwa na baba ake kwa kuwa aliona dada ake akinanihino na babake ndio baba kamuuwa kamzika usiku rudi part ya nyuma utaona mwisho wa hapyy ulipoishia
Dah zahir kazi nzuri
Baba mkaksii😂😂 balaaa
Kwan emmy kutoroka uwezi au
Ww baloz nitakata miguu
Saf sana Kwa kaz hiiii
Baba msaliti
Emmy ondoka utaachwa hapo uendeleee kuwa mke
Emmy begi la Nini ungeondoka mwenyewe
Emmy hiki kipindi ndo chakutoroka
Kweli wewe Baba m,bakaji umekula mwanao sasa unataka wa mkeo uyu mama kanishinda tabia
Mwanaume laana sumaka huyuu fyuuu
Ila huyo baba jmn jmn jmn 😭😭
Ww kama utakubali hili utakuwa hauna akili yaani akule kuku pamoja na vifaranga hiyo haiwezekani. Mm usikubali hili afadhali aribiwe na watu mitahani. Kuliko kuharibiwa na babake hiyo ni laana itakuwa mmekuwa wake wenza ww na mwanao
Pelekeni Azam au DSTV iwafundishe wengi
Sawa kaka asante kwa wazo
Hongera ila mnakawia sana jamani Hadi tulikua tumeisahau
Now ni kila wakat tu utaxipata hapa
Anatamaa sana anataka na yeye amutumie2
Mmh hapo hamna kitu hata hajaenda kwa mganga huyo kama alivyofanya kwa mtoto wake
Hongera kaka Zahir' kazi nzuri
Mtoto mwenyewe jaanza kumtega babayake wa kambo
Mke wa babambakaji mbona hatumuoni kwenye scene na alitoka mjini kurudi kuangalia wanawe
Episode ya 8 umeitazama
@@Zahirthegreat ndio bro
Bb.wewe.sio.vizuri.wote.unataka.uwachezee
Mama naye anakubal kirahis tu hela bwan 😂😂
Inanafunzo sn
Uyu mtoto nae kayataka maana haiwezekan nyumba inamwanaume unaenda kuvaa kanga nyooo
Kwa kweli hiki kipindi kinafaa kuwa kielelezo kwa jamii yenye tamaa na hulka hasi
Sanaaa
Nice movie
Inafundisha sana
Naona wifi asharidhik anaenda kuandaa maboga 😂😂😂😂😂
Mambo kwa ushahidi baba kanogewa utamu chezea ww😂😂
Kazi nzuri kaka
Happy yuko wapi siku hizi simuoni
@@oman8573 Kwenye movie kauliwa na baba ake kwa kuwa aliona dada ake akinanihino na babake ndio baba kamuuwa kamzika usiku rudi part ya nyuma utaona mwisho wa hapyy ulipoishia
Inaelekea hufatilii ndo maana hujui Happy yuko wapi
Aliuliwa na huyu baba mbakaji na kuzikwa
Hiii kali
Pamoja Sana KAZI indree jembe🎉🔥
Hila ww baba ni odali kinoma 😂😂😂😂kudadadeki
Mama Yuko tayari kuuza utu wa mwanae kwasababu ya pesa duuh hatarii sana hii
Pesa na huruma kweli n vitu viwili tofauti
Ila huyu baba anatabia mbaya sana yaunyanyasaji haipendezi kabisa hta katika jamii loooh
Ila huyu baba ana tabia mbaya sana hai pençesi kbsa hta katika jamii loooh
😂😂😂 Zahir wewe kijana mshenzi sana.ningekua Tanzania nibgekuwasha kofi😂😂😂 mbwa mimi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Mimi pia
Umeonae😂😂😂@@DeborahMduma-z4i
😂😂😂😂
Ehe ehehehe Kunogewa tena hizi pesa nimtihani sana hata mama mzazi anakubali kwa sababu yapesa 😢😢😢😢😢
Nimefurai kaka angu nawapenda❤❤
Aminia saaanaaa kazi nzuri 🎉
Bless up
Nalo hilo neno hapo kwenye kunogewa😂😂
🤣🤣🤣
Haya mazingir manzur
Kaka usicheleweshe kutoa inayofwata
M0v.nzuri.natamani.niangalie.tu
Hongera kaka Zahir' kazi nzuri
Asante sana
❤❤hongereni kaka zahili uko vizuli
Asante sana
Ebwanae huyu baba kauzuu xn linatesa xn ucku hp hp ndio kula tobaa wee n rohoo yng
😀😀😀
Mm nilisemaa rabdaa haipoo tena
Ipo boss sasahv utaiona sana tu