ASMA KWENYE BATTLE EDITION

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #asma#chekaTu#standupcomedy

КОМЕНТАРІ • 38

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 2 роки тому +4

    Kama hauna uwezo wa kufikiri nzuri hauwez kumuekewa uyu Dada 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 2 роки тому +3

    Safi Sana. Mwanzo mgumu lakini kikubwa Ni uthubutu. Nice

  • @mr.nonino3629
    @mr.nonino3629 2 роки тому +6

    real life observation jokes, 🙌
    she is the best female comedian in Tanzania,
    let's our 👀 be on her.

  • @ramaalmas8118
    @ramaalmas8118 2 роки тому +7

    Madini yapo,kuwasilisha kwa wahusika Ndio kidogo anashindwa ila big up Sana paka umefika hapo jambo kubwa sana....

  • @gemstoneskingdom1944
    @gemstoneskingdom1944 2 роки тому +3

    Yuko vizuri. Kila mchekeshaji ana style yake.

  • @hidayamotto7210
    @hidayamotto7210 2 роки тому

    Anajuaaa Seema mpk uwe unafikira snaa

  • @lucamartin6584
    @lucamartin6584 2 роки тому +5

    Ana madini sana huyu dada anashida kwenye kuyapangilia vile inavyotakiwa ku deliver, madini yake ni konki ila ana deliver kiwepesi kiasi kwamba watu hawaelewi na ndio maana hawacheki wanabaki kumuangalia kwa kutoelewa anacho deliver ......

  • @selemanjuma1595
    @selemanjuma1595 2 роки тому +3

    Sema dada uchekeshaji wako ni kama mahubili vile

  • @nzamiltv4788
    @nzamiltv4788 2 роки тому

    Dada Bado Anauoga_ Yupo vizuri sana_...

  • @tinovedasto29
    @tinovedasto29 2 роки тому +6

    Mnatumalizia MB zetu tu, hapa hakuna mchekeshaji

    • @restkalemile5274
      @restkalemile5274 2 роки тому +2

      Huyu Dada wangemtoa tu afanye shuguli zingine, afungue hata Duka LA vitenge na mitandio.

  • @dtv6734
    @dtv6734 2 роки тому +2

    Cheka Tu Mnambeba saba huyu Pisi, , , , , Stand Up Comedy haiwezi......

  • @theindustry6361
    @theindustry6361 2 роки тому

    Mwenye akili zake. Safi sana

  • @tanzaniagospel
    @tanzaniagospel 2 роки тому +1

    Unajitahd dada,.... Big up

  • @anethgodwin5677
    @anethgodwin5677 2 роки тому

    asma amaweza

  • @norregaraper5383
    @norregaraper5383 2 роки тому +2

    Huyo ni 🔥🔥🔥

  • @SimuliziZaOscar
    @SimuliziZaOscar 2 роки тому +3

    Unajua huyu dada anakipaji cha kujichekesha, kucheka, kuchekeana, kuchekeshwa ila cha kuchekesha ni kumdanganyq

  • @saidmasengo7988
    @saidmasengo7988 2 роки тому +1

    Asma anahitaji kazi ya ziada ya training.....Lkn uwezo anao!!!!!kaona hadhira haijachangamka nayeye karidhika hivohivo

  • @zubedajumbe9881
    @zubedajumbe9881 2 роки тому

    Leo kajitahidi napenda confidence yake itamfikissha mbali mno. Anatakiwa kupikwa atakuja kuwa balaa huyu dada

  • @mkutanopaul4773
    @mkutanopaul4773 2 роки тому +2

    Finishing yake Bado kidogo. Na achangamke pia

  • @SalhinaShabani-ht1hg
    @SalhinaShabani-ht1hg Рік тому

    Wakorinto

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 2 роки тому +2

    Office zenu zko wap mnilipe mb zangu

  • @restkalemile5274
    @restkalemile5274 2 роки тому +1

    Huyu Dada wangemtoa tu afanye shuguli zingine, afungue hata Duka LA vitenge na mitandio.

  • @petroleumexperts3442
    @petroleumexperts3442 2 роки тому

    Nikisema huyu dada alibebwa naonekana nq roho mbaya😅
    Hqmna kazi apa. Namba nne alipewa bure, walishushwa watu kibqo wanaostqhiki, na bila kelele zetu mashabiki pale ilikua apewe namba tatu, Said anyimwe, anyways umebebwa umepata ajira kaza

  • @DjmubaTechServices
    @DjmubaTechServices 2 роки тому

    huyu ni mshindi wa ngp vile 😀

    • @khalossalim3723
      @khalossalim3723 2 роки тому

      Azaboy walimtoa tu bure kwenye top 5 kumuweka huyu

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 2 роки тому

    Et Black Mamba😀😀😀

  • @lawrencemakafu
    @lawrencemakafu 2 роки тому

    Great jokes but she was shaky

  • @chicharito4201
    @chicharito4201 2 роки тому +2

    UKWELI PROMO NA TULICHOKIONA DAH 🙆🏾‍♂️TUMEPIGWA
    SEMA AHITAHIDI

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 2 роки тому

    😎

  • @Ratson57
    @Ratson57 2 роки тому

    Apa tulipigwa

  • @laurentzacharia1563
    @laurentzacharia1563 2 роки тому

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @calvinsanga8323
    @calvinsanga8323 2 роки тому +1

    only she need is confidence that all