Lema anatooshha kuwa katibu mwenezi taifa chadema,hakika chadema inapangiliwa kisawasawa,niliumia sana lema kutopewa katibu mkuu taifa kkumbe lisu ana akili sana kwa nafasi ya katibu mweeeu
Mwandishi kuwa Makini sana na ulinde proffessionalism yako...ni MWAIPAYA sio MWAIPAJA.. kisheria unaongelea mtu mwingine kabisa ambaye wewe peke yako unamjua...
Hiyo nafasi ya katibu mwenezi taifa lema inamfaa kabisa,hongereni chadema mungu asimame nanyi popote mlipoo
Napenda awe lema jaman ijapo kuwa hata twaha apewe nafasi.
LEMAYUPO VIZURI PIA MAMBO YA NJE ANAYAJUWA NI MSOMI PIA
Lema hafai hafai hafaiiiiiiii.
Tuleteeni LEMA hyo nafas,ana pumzi ya kutosha
Mwaipaja yupo mitandaon, heri Lema au pambalu, ila Lema ana volume na weight ya kutosha
Lema anatooshha kuwa katibu mwenezi taifa chadema,hakika chadema inapangiliwa kisawasawa,niliumia sana lema kutopewa katibu mkuu taifa kkumbe lisu ana akili sana kwa nafasi ya katibu mweeeu
Sio Mwaipaja, huyu anaitwa Twaha Mwaipaya. Watangazaji makanjanja nyie. Huko ni kuharibu Majina ya watu.
Mwandishi kuwa Makini sana na ulinde proffessionalism yako...ni MWAIPAYA sio MWAIPAJA..
kisheria unaongelea mtu mwingine kabisa ambaye wewe peke yako unamjua...
Lema