WHITNEY HOUSTON: Maisha yake ya KUSIKITISHA na ya SIRI: Haya ndio USIYOYAJUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Na makala hii inaangazia mambo kadhaa yanayohusu maisha ya Whitney Houston, mmoja wa wanamuziki bora kuwahi kutokea nchini Marekani kwa kwa kugusa karibu kila unyayo aliouacha mwanadada huyu aliyeonekana kuwa na kipaji cha ajabu na cha pekee katika miaka yake ya 80 hadi 2000.

КОМЕНТАРІ • 47

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 2 роки тому +12

    Pure talented 💯%
    Passion 💯%
    Voice 💯%
    Storyteller 💯%
    Bad words 0%
    Blessings 💯%
    SNS 💯%
    Skywalker...🙏🙏
    Niko apa saa 4:30 alfajili
    Kuangalia hii tiba yangu,siwezi kusubilia staenjoi kesho ni Friday takuwa kazini...god blessed this guy..bundala SNS for life...

    • @tonyi6807
      @tonyi6807 2 роки тому +2

      Itabidi TZ TUWE NA tuzo makini kwa waandaaji na wasimulizi wa hadithi za sauti

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 роки тому +5

    Ooooh Whitney! Daah! Huyu dada Mungu amweke mahali pema peponi Amina! Kwangu ni mwanamuziki Bora wa kike niliyewahi kumshuhudia! Always alikuwa Bora pamoja na skendo nyingi zilizokuwa zinamzunguka! Ana nyimbo nyingi Sana za kuweza kumjenga mtu aliyechini na kujihisi mwenye nguvu! Hakuna Kama Whitney! Ameondoka Ila nyimbo zake zinaishi ndani yangu!

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 2 роки тому +5

    Mimi bado huskiza tu nyimbo zake maana ni classics and she remains a true musical queen. She was also gorgeous but had such a sad and devastating personal life aki. Ilisikitisha sana alivyofariki alafu mwanawe akafariki in the exact same way...Huwa napenda sana haya makala. Hongera SNS

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 2 роки тому +5

    Shout out to the best media sns
    Respect My brother sky 🙏

  • @babaluxe8626
    @babaluxe8626 2 роки тому +3

    Shetani mshenzi Sana, Yani akikuona ni mtu wa mungu, anaanza kukuandama, mpaka unapotea ona sasa dada wa watu.

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 2 роки тому +4

    Rest in peace Whitney nilimuona mara nyingi Italy

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +2

    Siku ya kifo chake nakumbuka nilikuwa naangalia *MTV* ilikuwa Tarehe 11 February 2012, Nampenda na napenda wimbo wake *IT ON MY OWN* ❤️😘

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 2 роки тому +3

    R.I.P pole sana family 😥😥🤔🤔🤲🇰🇪

  • @nz6181
    @nz6181 2 роки тому

    @🇬🇧🇬🇧🇬🇧 My all time Whitney ....powerful voice
    Sky I do Respect you...So talented
    Napenda sanaa SnS

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 роки тому +1

    Kwa muda Sasa Kuna dada anaitwa Glennis Grace muholanzi Kama sijakosea aisee anaimba nyimbo za Whitney unaweza sema marehemu kafufuka! Aliipiga live greatest love of all aisee ni Whitney mtupu

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 роки тому

    Da huruma sana. Dawa zakulevya wa marecani sijuwi kwa nini wana zipendaka sana

  • @sixberta2523
    @sixberta2523 2 роки тому +1

    nakubali nyimbo zake

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 2 роки тому +1

    Brother Sky nitafurahi Siku ukija na Story ya David Beckham pamoja na mke wake Victoria Posh Beckham🙌🏾

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay Рік тому

    bobby brown ndiye aliemuaribu dada wa watu kwa kumfundisha ufusika wote including madawa ya kulevya! whitney atakubwa sana na wapenzi wa slow music ever!

  • @ernestkunja3472
    @ernestkunja3472 2 роки тому +1

    Nimeipenda sana simulizi yake

  • @zickmalik4901
    @zickmalik4901 Рік тому

    HAKUWA NA SAUTI NYEMBAMBA ALIKUA ANAIMBA SAUTI YA 2 BEZ YA KATI KITALAAM INAITWA MIDDLE CRANCH VOICE.
    Mfano kwa hapa tanzania. Layd jay dee nisauti yenye kusisimua na inayo kufanya uzingatie zaidi yani unaipa attetion

  • @jackiembithe143
    @jackiembithe143 2 роки тому +1

    Am here

  • @user-rw7oy2rh7h
    @user-rw7oy2rh7h 7 місяців тому

    Biggest ❤

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 Рік тому

    You have never disappoints me baba Nicole 🙏🏿🔥🎧

  • @MenejaCossie
    @MenejaCossie Рік тому

    Well done sky🔥🔥

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 2 роки тому

    Brother sky umetisha sana

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 Рік тому

    Rest In Peace napenda nyimbo zake sanaaa

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 роки тому +2

    aliuwawa na frimason, Hata mutoto wake na boyfriend wa mutoto wake Wali wamaliza khaaaaaa 😭😭

  • @veeJesus
    @veeJesus 2 роки тому +3

    Doo sina mb za kutosha ntaangalia kesho kwenye free wifi

  • @rithanalukuli3367
    @rithanalukuli3367 2 роки тому

    nimeipenda

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 2 роки тому

    Nimependa sana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 роки тому

    Rest in peaceful Whitney Houston

  • @Youngmituno
    @Youngmituno 2 роки тому +1

    😌😌😌😌daah

  • @Youngmituno
    @Youngmituno 2 роки тому +2

    Dooh

  • @goodluckjackson1777
    @goodluckjackson1777 Рік тому

    Hizi ndo chanel tunazotaka zinasaidia sana kuongeza uelewa wa vitu mbalimbali

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 роки тому

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun nabinti yawo ali kufa!😥

  • @nasramohamed8575
    @nasramohamed8575 2 роки тому

    R.i.p

  • @husseinanyitike3673
    @husseinanyitike3673 2 роки тому

    Mimi As Mimi napenda the way unavyo fanya kazi kwa viwango bora sky story ikopoa nimefuatilia vyema kabisa

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 2 роки тому +2

    Na mtoto wake Pia alifariki kama nitakua sijakosea😪

  • @omaryboman6629
    @omaryboman6629 Рік тому

    mi nahisi kutokana na compatition na Maliya kelly na Celin deon,naona wakaamua wamuue yeye na kizazi chake R.I.P to Winn

  • @shanaharuna217
    @shanaharuna217 2 роки тому

    R.I.p🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖

  • @ashasabrina6489
    @ashasabrina6489 2 роки тому

    Rip Whitney H

  • @paretomakenzi9434
    @paretomakenzi9434 2 роки тому

    🔥

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @paretomakenzi9434
    @paretomakenzi9434 2 роки тому +1

    Kinachoniuma hapo ni cristine sijui .. huyo dogo ..

  • @mumspencernleah8037
    @mumspencernleah8037 2 роки тому

    Rip 🙏 🕊

  • @Ernestfulko
    @Ernestfulko 2 роки тому

    First

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 роки тому

    R.i.p Witney& Bob Christine