Moha if you love that child please respect that woman who gave birth to him. At that age the mother have the right to stay with the baby n she is good cos she told you that can visit the baby when you miss him. Better still if you agree you can get back together but it seem you are a fighter n no mature able woman can tolerate that. Never call the mother of your children Malaya mbele ya mutoto wake. Media never forgets. Mature up please.
Huyu dem nlimuona toka kitambo ako na kiherehere mingi na mdomo mi...ngi Maggie usipo jirekebisha hakuna mwanaume atapenda dem kaa ww halafu pia ww moha kwn huoni madem wengine aki kila wkti madharau anakuonyesha
Moha anajifanya saa hii😅 nikikumbuka ile siku Maggie came ad told him she is pregnant the way alimfanyia matharao😅😮hakutaka kumskiza kabxa😮 until mtoi amezaliwa.. sasa dio anajifanya😊😊
Aaaa,,,Moha nawe sa zingine upunguze hzo hasira zako,,uko kwa wenyewe have respect,,Acha kumchapa chapa huyo dem atakama,tuna kupenda but reason sometimes😊
kama moha hakuwa hapo dem aki delivery thats so wrong mm naweza mshow agonjee mtoto amalize kunyonya then atamchukuwa anakaa na yeye kama ni month wanashare but sahi mtoto akae na mamake ili amalize kunyonya akifikisha 2yrs anaweza
Muho ni mjinga anangangania mwanamke na hataki WI na Sasa uyo mtt yy wa nn Muho acha ujinga muache mtt kwa mama ake tunapenda drama adi unacbokesha Sasa mtt huyo utaweza mlea au
Moha. Why klatime ukikutana na Maggie, unamcall maraya? Please usimwite tena hiyo jina😢 mtoi atakua mkubwa ataona babake alikua anaita mamake jina mbaya.
Maggie ni Lelo yawa😂😂😂😂Weee wacha Moha abond na mtoto kama wee haumtaki....kuna madem wengi uku nje wautamani tu watoto wabond na Baby daddies bt ma baby daddies wao ni mende tu.....Kelele mingi haisaidii....
Moha si ukomae akili woooieeee.....wacha kusubua Maggie..... And maybe mtoto si wako.... Ulimkataa bele ya Cameras nchi mzima tukaona.... Sahi unamtaka Maggie back how...give her time please..just if is to see the baby...just see the baby and leave him with her mama
Napenda venye moha yko proud na mtoto wake ckama wanaume wengne uku nje wanapea mimba na wakuptezee awajali mtoto, i really like it ❤️❤️💯
These two still hv feelings for each other,let God's will happen 😂
Sure let them solve there issues and come together so that the baby grow with 2 parents
True 😊
Pia mi nimeona hilo💞💞🙏🙏
Very true, they are very much in love 😂😂
THE BOY LOOKS EXACTLY LIKE BABAKE
Moh and my siz Maggie please ,, wacheni hizo mnafanya kabisaa. Moh please if u love Maggie just be open please solve things mlee mtoto
Stop fighting over this innocent soul please 🙏🙏🙏
Ni vibaya sana hawajui kitu wanafanyq
Hawa watu wanapenda saaan wanatuchezea akili 😅😂, magg hebu mpee mistari atalegea
Maggie ungekuwa Na akili timamu,,,ungeacha Moha akuwe anabond na mtoi wake,,,,,maringo ya shillingi Moja ACHA mama
Uyo mtoto niwa Moha wanafanana sana.
Hawa wanaishi pamoja hiyo nguo ya moha ni ya kulala😅
Alafu Najiuliza Mimba Alibeba Lini Mpka Kujifunguwa C Nijuzi 2 Wakitete Kuusu Mali Cjui Moha Akiitwa Masikini Mkubwa Au😂😂😂😂
Proud father, father son love 💕 Iyo bonding is on topnotch ❤
Huyu dame pia sio mzuri moha mtoi mnafanana na unajua vitu abafNfanye is affecting the child
Na moha kama umejua unaenda kugombana c basi hungejianika kwa camera bana,,na kama unataka Maggie c ukue mpole na muongeleshane kwa upole
Moha hana akili
Niko nayo wewe wacha zako😂 I wasn't in my normal senses yesterday
@@mohaclassicfamily kwn moha hujui kurusha mistari ama nn?hata mm ukikuja na hiyo style cwezi kubali😅😅
Mimi nikama wale wanaume wa kutaftiwa ebu tujaribu hio😮
@@mohaclassicfamily 😂😂😂😂moha najua unataka Maggie back kua mpole uende na maneno matamu matamu tunajua mnapendana n Ile tu Kila mtu ako juu😂😂😂
Aki love missed with feelings 😂😂😂😂
Moha just know that woman still in love with you for the baby boo let you be back together plz
But moha Wacha kueka mtoto kwa camera please 🙏🙏
Kama si wa moha mbona umzungushe basi
Si mrundiane tu juu naona bado mnapendana😂
Moha huyo mwanamke ana mdom san kwan kuna mtuy kazaliw napesa
Moha if you love that child please respect that woman who gave birth to him. At that age the mother have the right to stay with the baby n she is good cos she told you that can visit the baby when you miss him. Better still if you agree you can get back together but it seem you are a fighter n no mature able woman can tolerate that. Never call the mother of your children Malaya mbele ya mutoto wake. Media never forgets. Mature up please.
And afro cinema 😂continues
Ya wawili waliojifunika blanket moja achana nao 😅 acha vipindi bana😂❤
MAggy uko sawa,usikumbali atoke n mtoi moha mwanamke utaoa atapata shida n hio kiburi yako ww
Mama kisirani woiiii
Mama kasuku😮
😂😂😂😂😂
Hahahhaaaaa 😂😂 mnajua nacheka nini, hii ni maajabu😂😂
Uyu moha ako normal kweli after Ile matharau yote yenye alifanyiwa na Familia ya Maggie bado ako na nguvu na kufuata uyu dem
Love is blind, they still have the feeling for each other
Aki moha na madharau nilikua na kirumia bt weee shide eti kwa crushie ata hauna haya 💔
Muko na utoto aki😂 😂😂
Yyi Izi Story Zenu Aziishangi Mumeamuwa Kutuleteya Move Ya Mtto Ssa ....Aya Move Ya Jb Na Sabina Pia Mtuleteee😂😂😂😂
Bado nyote mnapendana,rudiana❤❤❤❤
Ningelikuwa mm ningemuachia nione kama atamunyonyesha nn. Nani mtoto ambae amezoea manyonyo ya mama
Huyu dem nlimuona toka kitambo ako na kiherehere mingi na mdomo mi...ngi Maggie usipo jirekebisha hakuna mwanaume atapenda dem kaa ww halafu pia ww moha kwn huoni madem wengine aki kila wkti madharau anakuonyesha
Jaribu kunitaftia mimi nikama wale wakuletewa home
@@mohaclassicfamily hapana Moha😂😂 najua ww huezi bro Sisi tunakupenda bure lkn huyu Maggie aki madharau amezidi
Perfect said
Moha kuja tudate banar😅😅😅😅
Mimi ni kama ni walae wanaume wa kutatfiwa😂
Noma sana😂😂😂😂
Mwanamke anaekupenda allway kisiran 😂😂😂so moha bdo wapendwa
Why make up while sleeping,,,
Alafu Moha do the DNA of the baby...usije ukalia tena
Ama ni script 😂😂😂
Moha just be humble,,,,aka kamtu siku moja katakutafuta
Wanapendana 😂😂😂
Kumbe watu hulala na makeup on😂
Moha mbona unafatilia mtu akupendi na mademu wamejaa uku inje kushinda yeye bana warembo sana ni nini mbaya na wewe
Moha unataka kupewa 😂😂
🤣🤣
@@Phoebenafula wewe uoni anashikashika maggie why 😂😂😂😂
Kumbe tumeona wengi
Magy magy😂😂😂😂😂aki nyny,,,fanyeni tu 🧬 DNA period!!!.
Moh ndug yanfu ili usije ukalia kwa uchungu kapime DNA TUY NDO UISHI KWA AMAN
Hizi bado zinapendana
@@marggiekarikamaina2187 hata mie nahisi hiv bado wanapotezean mda
Moha anajifanya saa hii😅 nikikumbuka ile siku Maggie came ad told him she is pregnant the way alimfanyia matharao😅😮hakutaka kumskiza kabxa😮 until mtoi amezaliwa.. sasa dio anajifanya😊😊
Na hana adabu ati anaenda kulala huko then anafunguwa shati sijui ndio maggy amfeel huyu ni jinga kabisa
God bless me one day to get a good and loving father like moha
Aki walae God anafanya maajabu may my wish come true,,this is moha family
Kwany uwa anadoz na makeup
😂
Uyu mtoi mutapata niwa yob,,but moha ajalia vizuri tulikua tunakuonea uruma but next time tutakucheka sana ,,,,, wacha tuweke macho
Right to the point, ni kuweka mziki na kutafta nafasi ya kucheza
Moha mature up, nilikupa respect lakini extent unaenda hainifurahishi....watch your mouth and don't be easy kupiga mama mtoto bana😕
Muha solve issue zenu muane mulee mtoto anakufanana but ukitaka mtoto enda polepole ba heshima na tusawadi wanawake ni vitu vidogo tuhuwatract
S n twin nliskia ama. 😮😮😮n mbn umfuatilie moha
Ata me nliskia n twins
@@rozemokeni tuko wengi kumbe
Hiyo makeup nayo
Hawa n wapenzi its just jocks wanafanya ili wapate people's attention
Na huyu dem ameparara 😂😂😂😂na vile alikuwa anaringa
Make up everytime😂😂
Moha Ako na ufala though🥲
Aki msi tese mtoi
Acha mungu awareness pamoja as a family
Moha usiite malaya beby mama
Aka kadem ni dramatic 😂😂,uyu kijana niwangu
Eeeh moha kuwa mpole jamani
Wueeeh
May Allah bring you together moha as a family
Duplicate ya moha❤❤❤ cute boy, you guys stay together ❤
Moha relax tu mtoi akue mkubwa ukuje upige mimba ingine uende hiyomdomo itaisha😅😅
Lovebirds ❤
Series 😂😂
Usichoka follow bratha
@@mohaclassicfamily woooooow Alf moha nataka dame
🤣🤣 mchango ya DNA imefika
@@ombegomourine1715 🤣🤣
@@ombegomourine1715 😂😂😂😂kwny uko na kakitu unitumie msupa😋
My prayer warudiane tu in Jesus name 🙏🙏🙏
Huyu msicha hako madarau sana hii ningum nataka kupiga
Yupo kitandan kweny macho kina nin mungu wangu
😂😂😂washa mmmh😂😂Sina lawyer 🤣
Hawa wanaishi pamoja hizi ni Content tu,coz dem Kuna place ametamka be but ikakatwa tusikie sikizeni vizuri wadau.
Hii ni content mnatupepa hapa
😂😂😂😂 wamekaa Brighton na angi b
@@userkemmy yah wanatupepa hawa
Mm sina la kusema bado nk single niliachwa 😂
Moha be a good model of a father to that kid. What you are doing is what he will do. What you guys are modeling can be improved.
Bado wanapendana😢
❤
So cute nice couple
moha nn mbaya 😢😢😢 maggie n kamalaya achana na yeye 😢😢
Ebu mrudiane plz
You look good together
Aaaa,,,Moha nawe sa zingine upunguze hzo hasira zako,,uko kwa wenyewe have respect,,Acha kumchapa chapa huyo dem atakama,tuna kupenda but reason sometimes😊
Moha acha zarau kaka ...
moha madem wameisha after ile madharau yote kutoka kwa familia😢😢 tumia akil broh
Izi vitu mnaanika online zitawacoast
Hii nyumba ni Air BNB hahaa mtoi is moha,s look alike
Kwn hamuez kaa mkaelewana kila time malumbano mnabore
Vipindi continues 😅
kama moha hakuwa hapo dem aki delivery thats so wrong mm naweza mshow agonjee mtoto amalize kunyonya then atamchukuwa anakaa na yeye kama ni month wanashare but sahi mtoto akae na mamake ili amalize kunyonya akifikisha 2yrs anaweza
i agree with you
Maga unakuwanga na hot tempered sana kindly try kupunguza kibuli chako,,unasubua maggy sana wacha kumpee stress.
The way threw the i didnt like😏😏😏
Mpe mutoto wake hujui uchungu mama anapitia
Muho ni mjinga anangangania mwanamke na hataki WI na Sasa uyo mtt yy wa nn Muho acha ujinga muache mtt kwa mama ake tunapenda drama adi unacbokesha Sasa mtt huyo utaweza mlea au
Moha anataka maggy but anajifanya ni mtoto anataka angalia vile anamuekanisha
Hii story ya hawa watu hawajawai maliza😂😂😂😂
Moha. Why klatime ukikutana na Maggie, unamcall maraya? Please usimwite tena hiyo jina😢 mtoi atakua mkubwa ataona babake alikua anaita mamake jina mbaya.
Kwan unadoz na make up 😮
Huyo moha hapana
Moha still loves Maggy ako na jealousy of other men, other Moja unafungua kifua😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
TEAM KUPITIANA LET GROW TOGETHER ❤❤❤🎉
Done, Nipitie pia
@@Phoebenafula sawa ,,,af watch ata kama n 2 vedio hio subs. Yako isitolewe plz na ulike
Mtoto anafanana moha
Maggie ni Lelo yawa😂😂😂😂Weee wacha Moha abond na mtoto kama wee haumtaki....kuna madem wengi uku nje wautamani tu watoto wabond na Baby daddies bt ma baby daddies wao ni mende tu.....Kelele mingi haisaidii....
Moha si ukomae akili woooieeee.....wacha kusubua Maggie..... And maybe mtoto si wako.... Ulimkataa bele ya Cameras nchi mzima tukaona.... Sahi unamtaka Maggie back how...give her time please..just if is to see the baby...just see the baby and leave him with her mama
Na wasichana mnipee tips za kwenye mnatoa pesa Ii kanairo. Mnaishi maisha ingine ya kibabi buana nipeeni clue ..
Siri ni kujituma akuna Siri ingine darling ☺️
😂😂😂😂
Kujituma Gani buana na vle tunajutuma uku nje na hatufiki izi levol 🤣🤣🤣ama Kuna kujituma fiche
Moha lkn moha nimchokozi
Moha ukishikwa hautawaiona huyo mtoto unaenda kupigana kwa baby mama hapo nayo unabore