Nmejua n kwa nn queen hakuambia huyu wickliffe kua ako na mtoto ju vile almuulia brother ake alikuja from canada akiwa anaplan kumove on na jb 😢😢😢 adi anamtamkia kua anaeza muuwa queen run for your life
Pia JB asithani ana bahati kwa kua ataoa yeye kwaza asikize hiyo sauti amepea Wycliffe alafu ajue ako side gani ajue pia yeye anaeza fanyiwa tu kaa huyu mwanaume jameni JB run for your life hapo hakuna ndoa yako na huyu mwanamke jamani
Hizi acting Mimi hamuwezi nichanganya 😂 sahii MTU angekuwa amepata slap ya Mashavu 😂😂 mwanaume mwenye anakuwanga na uchungu wa kussurport dem kama huyu hawananga time ya kuongelelea Kwa camera ety alikuwa na feelings🤣🤣🤣🤣🤣 mwanaume mgani ataambiwa hivo😅😅😅😅😅😅
Huyu dem amejizi walai,U will regret for the rest of Ur life and Remember in this world U have do humble Ur self B4 useme anything mbaya Kwa mwenye alikusaidia hivo hki💔💔 pole Wycliffe mungu Yuko n wwe,tenda mema nenda zako🙏
Appreciating small small things in life is so important,I just wish God brings that one person who can go extra miles to keep me and make me happy,kupata akupendaye na kukupea connection ya kazi si rahisi....queen I hope you are sure of your decisions
@@asrasanyubut he's akiller ju alisema anything come across there love haezi kubali nikama ndo akaona brother yake alikuwa hataki wawe pamoja 😢pia maybe it was accidentally pia,ju ya hasira...just imagine ametoka Canada na Bado yeye ndo anamlipia hao aki 😢 it hurts
@@bettymuks7072 story ya mdada inaumiza ila yeye queen ana kitu anaficha ila Kuna programme moja kasema mama yao kamtenga hataki hata kumuona .wasichana wafanye kazi waache kutegemea wanaume Nashauri ttu jamani
@@bettymuks7072 nakasema ati alitaka arudi home ili kakaeke marehemu Apate haki inamaana Moyoni kakosa amani .Damu ya kaka yamutafuna .leo nimeona ati yaomba musamaha kwa familia yake
Polesana Brother mwenye makosa ni uyo dada kwanini hukuwa muwazi kaka wawatu kajitoleya kukusaidia kwahali namali alafu mwisho wasiku umepata maisha unaenda enjoy na mwanaume mwingine polesana Brother najitahidi kuvaa viyato vyako vinanibana 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Pole. Wyliffk i hav felt for u ...yaani Queen,Queen ..u wil never find a man ..like wky.after speeding on u akakutoa mbali when u r desperate n poverty.Jb alikuwa Qatar he never send u any cash,yake alitumia kwa Shaida arafu uteendeee vile Wky...God wil reward u accordingly.😮hata JB anajua mtoi sio wake
Wanawake cc tunakosea sana watoto wa wenyewe apa nje imagine unalala na wanaume zaidi ya watatu unategemea Nini tujiheshimu bhana I ata ni dhambi coz umezaa nae na humtaki Ina maana Gani uo ni umalaya uliopitiliza
Hu dem ni mangaa chizi, she says she wanted the opportunity, and that she never loved wykliff na mtoto niwa wykliff na angekuwa mjaja angesoma number. Lol sasa wykliff yuko na mtoi, pesa imefriziwa. Atalea mtoto na nini sas. Wyklliff is taking care of the kid. Kwisha jinga jike
Waa this is so hurting sorry Wickliffe huyu msichana hana asante kwa hiyo yote amefanyiwa sahi amekuwa rude kwa hii but one day she will come to regret
Queen do you know that JB hakupendi? Huyo baba Moto ndie anakupemda.Love saa zingine ni mchawi tuu.Inakutuma tuu kwa mwenye hakupendi.Na mwenye kukupenda haumpendi.
This gal as well ako na Tabia. Do you know how it hurts,kutumia mtu ..ati you wanted a good life...mbona hugetafta kivyako. .. Anyway now i realize why wyclif ako na machungu. If you know hupendi mtu just mwache..it hurts alot...I feel for him Wyclif your good deeds out of love will be remembered. Queen Kuna karma☹
Money is not everything na pesa huisha anaeza dhani hiyo pesa itaongeza pesa ingine na shida yeyote itokee na hiyo pesa hishie kwa hiyo shida i swear atakumbuka weky
Life has No balance 😢. Weuh! Msichana pesa huisha mamaa.hata kama humpendi respect that guy, kupata mwanaume anakusupport and want the best for you ni ngumu.
Ata ukimpiga utasaidika aje mwachane aende, and next time try not to buy love . Listen to your heart and if you feel things are not right just take action kabla maji yamwagike😊😊😊😊
Mademu pls pendeni mwanaume mwenye anakupenda achana na mwanaume mwenye unapenda, mwanaume mwenye anakupenda will sacrifice everything to make u happy but the man u love and doesn't love u , will give u nothing but depression queen think twice Wycliffe love u dont love this opportunity 😢😢
Hakuna love hpo na Wickliffe ,alituma gulf kuficha evidence,hta hyo kumtishia yote ni asiseme ukweli,hyo boy ni mgodi,ni gaidi, na Queen you have have to bee very careful to this guy,kwanza hukumbuki alikushow aje before the death of your brother,nothing can get in between you and him ,fikiria Sana ,jp you too ,take care of yourself
This lady has no respect at all,Queen kumbuka usiwahi dharau Alie kushika mkono juu yakesho aijuaye hamna uenda ukarudi ukamwomba usaidizi tena kwake,silly goldiger...!
Queen uko na mambo zako,umezaa na jamaa mwaka moja na nusu na baba ajui au queen,wacha uongo uyu dem ni mkora tu,mwaka moja miezi saba na baba ajui hii ni mchezo
Chambilecho wahenga chura akishavukishwa mto anasemanga ndiye amejivusha😢, maskini akipata matanye hulia bwata, pride comes before a fall, she will regret when it's too late 😢
Never ever tell a man you don't love him,even if you don't love him, silent is the best
Nmejua n kwa nn queen hakuambia huyu wickliffe kua ako na mtoto ju vile almuulia brother ake alikuja from canada akiwa anaplan kumove on na jb 😢😢😢 adi anamtamkia kua anaeza muuwa queen run for your life
Dada umekosea saana 😢😢😢😢😢ama kweli masikini akipata matako hulia mbwata😢😢😢😢
Mbaya sana ak inauma
Huawei lazimisha penzi dada
Pia JB asithani ana bahati kwa kua ataoa yeye kwaza asikize hiyo sauti amepea Wycliffe alafu ajue ako side gani ajue pia yeye anaeza fanyiwa tu kaa huyu mwanaume jameni JB run for your life hapo hakuna ndoa yako na huyu mwanamke jamani
True hata tukienda back the video alisema JB is just a friend to her
Wycliffe am here for you sorry take heart
Sorry Wycliffe plz aki wanachukua nafasi mzuri wakizipiga mateke wengine huku inje wanitamani chance kama hizi aki....omg
From my keen observation,the guy loved the lady so much...mtu kukutafutia connection sio rahisi.......its hurting just take heart Wicky😊
Huyu ndie anampenda😂😂
Imgene
Surpoting someone doesn't mean you love her ,some use it as an advantage over ladie's desperecy.nkt
Hizi acting Mimi hamuwezi nichanganya 😂 sahii MTU angekuwa amepata slap ya Mashavu 😂😂 mwanaume mwenye anakuwanga na uchungu wa kussurport dem kama huyu hawananga time ya kuongelelea Kwa camera ety alikuwa na feelings🤣🤣🤣🤣🤣 mwanaume mgani ataambiwa hivo😅😅😅😅😅😅
She stupid why did she come back. She wasted the opportunity that comes onces in lifetime.
Uyu msichana ana tabia mbaya amemwambia uyu mtu amlipie kodi leo hii anamjibu ivi be grateful girl aki Mungu utakumbuka uyu jamaa ila Mungu yupo
Very painful indeed
bro ur one in amillion mungu akusaidie upate ubafu wako actually hamuna mtu mwenye anaweza fanya ile ulifanyia huyu dame
Mimi Unanifulaisha sana moha sio muoga Umuogopi mtu BRAVO 🇹🇿
Ladies be grateful once more😢queen be careful todays karma is soo quick
Karma yake will land soon ...she is so rude
At first when I saw Queen I saw an angel. Saa hii naona shetani in her.
Huyu dem amejizi walai,U will regret for the rest of Ur life and Remember in this world U have do humble Ur self B4 useme anything mbaya Kwa mwenye alikusaidia hivo hki💔💔 pole Wycliffe mungu Yuko n wwe,tenda mema nenda zako🙏
Pole my brother Wycliffe but don't beat her itisha pesa yako au mroge AKUPE PESA zako tu,
I'm happy Wickliffe is smiling 😊. don't force issues kama hakupendi,,ni replace na yeye.naona twaendana😮
Appreciating small small things in life is so important,I just wish God brings that one person who can go extra miles to keep me and make me happy,kupata akupendaye na kukupea connection ya kazi si rahisi....queen I hope you are sure of your decisions
Ila si.aliua brother ake
Na si mfanye DNA,Allah!!!mmetuzungusha Sana na hii issue
Waaa wenye wanataka hawapati mbona mungu tuna tezeka tupe wanaume kamahuyu ambae huyu mwana mke aoni dhamana yake wuoyee 😢😢😢😢😮
Amen.Mungu atatukumbuka
Huyu Jamaa anapatikana wapi?he's a true gentleman I swear....so supportive ♥️ 😊
But he is akiller jamani
@@asrasanyubut he's akiller ju alisema anything come across there love haezi kubali nikama ndo akaona brother yake alikuwa hataki wawe pamoja 😢pia maybe it was accidentally pia,ju ya hasira...just imagine ametoka Canada na Bado yeye ndo anamlipia hao aki 😢 it hurts
@@bettymuks7072 story ya mdada inaumiza ila yeye queen ana kitu anaficha ila
Kuna programme moja kasema mama yao kamtenga hataki hata kumuona .wasichana wafanye kazi waache kutegemea wanaume
Nashauri ttu jamani
@@bettymuks7072 nakasema ati alitaka arudi home ili kakaeke marehemu
Apate haki inamaana
Moyoni kakosa amani .Damu ya kaka yamutafuna .leo nimeona ati yaomba musamaha kwa familia yake
True these girl is confused never double deal
Wah it hurts Wycliffe sorry for everything u had tried ur best.
Alafu Moha a good interviwer should not side with anyone kazi yako ni kusikiza and give advice where you can.
Pole sana Wycliffe.....God has got more opportunity for you.....hugs and be strong
Really this lady will regret for the rest of her life she will never get someone like him never
I really feel for Wycliffe 😢😢, it hurts but please take heart. Your better half is on the way coz God have a good plan for you
Wah!!! Today I felt for Wycky God be with you utapata mpoa wako
My God ,queen you will regret in your life ,Jb run away from this woman ,this woman will come and look for this dady baby one day
Uyu queen ni pureeeeeee kabisa
Buree sio puree hahaa
Polesana Brother mwenye makosa ni uyo dada kwanini hukuwa muwazi kaka wawatu kajitoleya kukusaidia kwahali namali alafu mwisho wasiku umepata maisha unaenda enjoy na mwanaume mwingine polesana Brother najitahidi kuvaa viyato vyako vinanibana 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Pole. Wyliffk i hav felt for u ...yaani Queen,Queen ..u wil never find a man ..like wky.after speeding on u akakutoa mbali when u r desperate n poverty.Jb alikuwa Qatar he never send u any cash,yake alitumia kwa Shaida arafu uteendeee vile Wky...God wil reward u accordingly.😮hata JB anajua mtoi sio wake
Eti thank you sahizi naeza jizimamia surely Queen 😢na huku umefika ukasema akulipie rent how now??
Wicky Mungu atakupea dem atakayekupenda,,, woiye kuambia mtu SIKUPENDI live its so bad😢😢queen acha kiburi
Wanawake cc tunakosea sana watoto wa wenyewe apa nje imagine unalala na wanaume zaidi ya watatu unategemea Nini tujiheshimu bhana I ata ni dhambi coz umezaa nae na humtaki Ina maana Gani uo ni umalaya uliopitiliza
This girl ni mjinga sana
Hu dem ni mangaa chizi, she says she wanted the opportunity, and that she never loved wykliff na mtoto niwa wykliff na angekuwa mjaja angesoma number. Lol sasa wykliff yuko na mtoi, pesa imefriziwa. Atalea mtoto na nini sas. Wyklliff is taking care of the kid. Kwisha jinga jike
Waa this is so hurting sorry Wickliffe huyu msichana hana asante kwa hiyo yote amefanyiwa sahi amekuwa rude kwa hii but one day she will come to regret
Nimachungu sana dem amedharau mwanaume kwa hayo yote wee malipo ni hapahapa dem utalipia
Wycliffe sorry I really feel your pain Mungu atakupea yule wako
My Gosh aki surely after kumsaidia hio yote, Wycliffe wachana na huyu dame ata ukijilazimisha hakupendi na wewe queen utawakosa wote
Queen do you know that JB hakupendi? Huyo baba Moto ndie anakupemda.Love saa zingine ni mchawi tuu.Inakutuma tuu kwa mwenye hakupendi.Na mwenye kukupenda haumpendi.
This gal as well ako na Tabia.
Do you know how it hurts,kutumia mtu ..ati you wanted a good life...mbona hugetafta kivyako. ..
Anyway now i realize why wyclif ako na machungu.
If you know hupendi mtu just mwache..it hurts alot...I feel for him
Wyclif your good deeds out of love will be remembered.
Queen Kuna karma☹
Woiii Wycliffe 😢😢😢😢😢 pole sana aki take hearts 🫂
@queen Regrets comes after..if I was u I'd remain silent..hio pain iko na wicky ata revenge mbaya sana😢
you Wycliffe before dem aomoke lazima afanyiwe medical ndio aende majuu sasa hii stry yote solution ni DNA faster
This is Canada not Saudi
Kama unajua upendi mtu unakula pesa yake mbona
No wonder hakuambia Wycliffe ammeet jkia why wasn't JB hapa kilinuka kitambo sana
Unaempenda anapenda wingine....love is wicked
Jamani.maisha gani haya
Mara wote walikukula wakati same ukienda mara ajawai kukula jb alikubali alikukula this girl naaah
Oyy)😂99999)99😂999😂😂😅9
Huwa mnatoanga wapi wanaume wanawapa pesa,mimi nilitoka which planet, struggling by myself na kuna wanaume wanapeana pesa ivo.😮
Mohaa ni connect na huyu mwanaume aki
Pole sana Wycliffe mungu ako na wewe ❤
Money is not everything na pesa huisha anaeza dhani hiyo pesa itaongeza pesa ingine na shida yeyote itokee na hiyo pesa hishie kwa hiyo shida i swear atakumbuka weky
Take heart wicliffe
Woooiiii ngai Wycliffe dont worry
Wycliffe thank God you know the truth before it's to late and you JB be careful with that lady she may do the same thing to you
I wish one day mungu aniconnet na kijana kama huyu in life
Kijana muuwaji😅
For the first time ,pole sana wiki
23:00 huyu dem atakuja kulia one day,so sorry wycliffe
Life has No balance 😢. Weuh! Msichana pesa huisha mamaa.hata kama humpendi respect that guy, kupata mwanaume anakusupport and want the best for you ni ngumu.
Wycliffe never beat a woman ever again.. It makes a woman hate you for good
She never loved him anyway .. she used him
Wewe ni mwanaume wawapi unachapa mwanamke 😮😮
Nilazima guchapa ndo ache umalaya 😂😂😂😂
Queen is rude
Wycliffe don't worry for that it's only God pays . Hiyo Dem aoni km umemsaidia alipenda pesa not love from you.
Wah sisi apa tunataka watu wakutupeda atupati tunapata gaidi alfu dem ako hivi mm sio mchawi but madam queen utakubuka uyo jamaa
Let the guy take heart and take your time b4 taking other decisions, but it's hurting MOA
Huyo dem atabarikiwa milele
😭😭😭😭moha Ambia Wycliffe nataka naomba yake plz, he deserves the right person.
Mtu akikwambia atakua siku moja atakuua,wachana na yeye mapema diyo best
Queen my little sister you are not wise dia,you can't do that to somebody who loves deeply surely😢😢
Huyu dem atarudia tu huyu baba mtoto ,hakuna mwanaume hana makosa hata Jb yuko na disadvantages zake ,huyu dem atarigret
Queen you will also regret 😢 don't ever hurt someone who once helped you
I swear this man is hurting
Ata ukimpiga utasaidika aje mwachane aende, and next time try not to buy love . Listen to your heart and if you feel things are not right just take action kabla maji yamwagike😊😊😊😊
Queen ni malaya weuh ukikua na mimba unalala nawengine 😮😮😮
Aki madam unakaa mjinga sana...
Mademu pls pendeni mwanaume mwenye anakupenda achana na mwanaume mwenye unapenda, mwanaume mwenye anakupenda will sacrifice everything to make u happy but the man u love and doesn't love u , will give u nothing but depression queen think twice Wycliffe love u dont love this opportunity 😢😢
I like your advice it's soo true
You were working in Canada really? Why didn't you save anything at least for a rainy day.
Hakuna love hpo na Wickliffe ,alituma gulf kuficha evidence,hta hyo kumtishia yote ni asiseme ukweli,hyo boy ni mgodi,ni gaidi, na Queen you have have to bee very careful to this guy,kwanza hukumbuki alikushow aje before the death of your brother,nothing can get in between you and him ,fikiria Sana ,jp you too ,take care of yourself
Good guy you do good work God bless you more 🙏🎉
Never ever tell a guy that haki na vile huyu kijana amemsaidia you will live to regret
Aiii na sasa alikua anamsaidia akiwa canada
Queen agree to loose everything!!
Unawacha tisa ukifikia kumi this girl will regret na jb mwenyewe maybe hampendi
Hapa JB akae bali na huyu msichana jameni hii n family kusema sijui JB anafuata nn hapo kwa mtoto wa huyu msichana jameni
I feel for this guy ...unapenda mtu hivi na finally anakufanyia madharau hivi...don't mind wicliff mungu atakupea dame mwingine
That girl will regret aki...
Kijana don't loss hope darling. It's your time to stand up again and fund your life. That's not your partner
I don't know why good chances are falling into bad hands🤔🤔
Sijawahi jua sababu pia😢😢😢😢
I wish that chance could be mine
Nampeda wicklif😊 I like such characters which torolete 0% nonsense.Mtu azae mtoi, akufiche na umempa connections.
The violence in this man
I wonder 🧐🤔
Akh huyu dem hafanyi poa walai anadhan jb anampenda nkt mschana ufanyi poa nyoko😢😢
This lady has no respect at all,Queen kumbuka usiwahi dharau Alie kushika mkono juu yakesho aijuaye hamna uenda ukarudi ukamwomba usaidizi tena kwake,silly goldiger...!
But that's not good qeen na pesa uisha na utalia s poa please
Life has no balance woiiye Wycliffe worry not hiki ni kinyangarika tu😢😢😢😢
Ooh my God really painful God forbid
But queen this is very bad mwanaume ana sacrifice juu yako then unamruka very bad
Moha why not do DNA test to finish these claims
Neza sema mwanaume kaa dem hakupei attention mwache,Wycliffe thought money is love mapenzi hayanunuliwi
Kuopen nini edeni DNA mtupee full conclusion
hizi uongo za wakenya mtaacha lini inakaa skript
JB stay far from this man please,,,Jitafutie maisha JB
Queen uko na mambo zako,umezaa na jamaa mwaka moja na nusu na baba ajui au queen,wacha uongo uyu dem ni mkora tu,mwaka moja miezi saba na baba ajui hii ni mchezo
Moha nipee no ya Wickliffe
truly huyu dem ako na madharau
Chambilecho wahenga chura akishavukishwa mto anasemanga ndiye amejivusha😢, maskini akipata matanye hulia bwata, pride comes before a fall, she will regret when it's too late 😢
Dont ever force love jamani😢 wacha niwe single