DENIS MPAGAZE: Mfahamu VLADIMIR PUTIN / Mbabe Asiyeeleweka Mwenye Mpango Ya Kurudisha Hadhi ya URUSI
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- VISIT OUR WEBSITE: fomaentertainm...
EMAIL US : sales@fomaentertainment.com
Call Us: +255222701381
WHATSAPP: +255757886370
Follow Us On Instagram
/ fomaentertainment
/ ananiasedgartv
/ ananiasedgartv
/ ananiasedgartv
SUBSCRIBE
bit.ly/2ZWGBXo
Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
______________________________________________________________________________________________
SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m
Nafikiri tanzania inaongoza kwa kutoa historia mna wasimulizi wazuri africa hakika kiswahili kizuri,historia ya kweli ebu mzidi kutupa zaidi
Naomba mnipe like km uko hpo nami 2024,kaka Denis kwa kufanya utafiti uko mbele, Putin mbabe wa mababe kwli anatisha vitisho vikali hadi viongozi wa magharibi wanatetemeka jila lke likitajwa krbu na wao
Team urus apa Bila maelezo viva Urus
Hongera sana waandishi wa Tanzania taarifa nzur sana hii
Asante sana kwa makala hiyi ndugu Denis Mpagaze. Kama kawa, unatupa facts. Napata furaha kila nikikusikiliza vilevile nikisoma vitabo vyako! Mungu Akubaliki sana!
Thanks you we love number one💪💪💪 🇸🇮🇸🇮🇸🇮Russian ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮from Burundi in Cape Town 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Heko Bwana Edgar, nilikuwa naisubiri historia ya Putin kwa hamu sana
Nyinyi ndio munaohitajika kuhelimisha jamii ya kafrika Hongereni saaaana wanajamii wa TZ
Napenda ulivyofanya utafiti lakini kuna vipengele ambavyo lazima niconfirm kazi nzuri kutoka 🇰🇪 Nashukuru sana kwa kueleza vita ya Russia na Ukraine
Enjoying enough kukuckiliza mpagaze one of amazing makala ever heard
Muheshimu mtu yoyote mwenye kutaka kurejesha hadhi Ya familia.
Sir Ananias Edgar,nakukubali mkubwa 🤙
Jins unavyojua kuhadia najikuta krip hii nimesh iangalia karibu mala4
Sema Ananias una vijimaneno vya kuchomekea vyenye ujumbe mzito sana,,,, cjui kama tunakuelewa ipasavyo
Denis peponi moja kwa moja chief
sema we jamaa bwana😅😅., upo vizuri sana kwenye kusimulia asee..
Historia kama hizi zimekaa vzr sana
Kudos guy's,nimeipenda hiyo historia 😄
Asante sana 💥💥💥💥💥💥💥💥
Asante Sana kaka
Mwamba wa Urusi! Long live
Hongera!! Nmefurahia napenda kujua historia sana .
Mzee hua unanipa raha sana 40:55 ❤❤❤❤
Safi sana,simulizi nzuri.Ila kuishinda marekani na dola ni kazi ngumu.
Putin ni Mwamba na kiboko cha wazungu watokao jumuiya ya wanachama wa mkataba wa Atlantiki kaskazini(NATO).
Safi sana denis
Asante sana kwa historia hii ya kuvutiwa..
Watu ache naputini wetu wa Africa yetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️
Ahsante sana mkuu❤❤🇹🇿
Uko vizuri sana
Gobachev alikuwa tapeli mkubwa sana! Kuanguka kwa Usoviet ilikuwa kosa kubwa la karne! Inshaaalah itarudi tena kwa nguvu za Mungu
Isharudi na kwa nguvu kubwa
Nc my brother unafanyag mambo yaman
Marek anı ndio walianzisha ile Vita vya Somalia vya Wenyewe kwa Wenyewe mwaka wa 1991 baada ya kupatikana mafuta ya petroleum Somalia na America ndio ilikuwa wa kwanza kupeleka wanajeshi wak
Sijapenda neno mbabe kwani hajawahi kumfanyia mtu ubabe wowote
Dah nimekuelewa sana
Nakuelewa sana kaka unanifanya nienjoy sana stori zako
Keep it up Mr mpagaze
Usimulizi ulioenda shule....big up Ananias...big love from Kenya
Tokooos vraiment
Chapa Mzee. Uraaaaaaaaaa
Nakukubari sana mwamba
Hongera sana denis ❤
Hatimaye
Umeongea vzr Brother
Africa wakimbizi wanadharauliwa sana
Hata wakiwa na akili
Historia ya Benjamin Ntanyau mkuu
Asant Ananias Kwa story nzuri
Hongera kwako bwana. Putin ni mwanaume mwenye musimamo,
Namupenda sana
Putin Putin Putin nimemuita mara Tatu huyu kamanda namkubali Sana zaidi ya sana
Kama Tanzania jinsi inawanyanyasa wakimbizi wa kiburundi Tanzania kweli inawapa hifazi
Ni vizuri zaidi Hakiri kufiria kuliko Hakiri kufikiliwa Afrika tuwatumie watu wetu wenye hakiri siyo tukawa wekeze kwa wenye mataifa tajili maana hiyo nayo ni biashara ya kuwapeleka watu wenye hakili kwa mataifa makubwa
Habari, asante sana kwa maoni yako.
@@AnaniasEdgarTVm
Bom dia senhor Ananis edgar,eu gosto muito das seus conselhos,e que continua asim,mas na minha visão achu que tens que evitar falar sobre religião,porque é uma grande responsábilidade no dia de amanhã,caso não de ser algu que você tem conhecimento real.sou Aly de Moçambique Nampula.
😏
Denis mpagaze unajua TZ tunakutegemea sana
Apo kwenye ushoga nakubali washenyente baba putini
Jembee😍😍😍😍awanyooshe tuu wamezidi
Dah Haya Yote Umetoa Wapi Bro.,Inaoneka Umechukua Muda Wako Mwingi Sana Kufanya Utafiti, Ongera Tunafaidika Apa Nche
halafu anakuja mtu hata kusoma gazeti tu ni mvivu anaanza kukosoa ndio maana jamaa huwa hamjibu mtu....
Nzuri sana
Mwenyez Mungu Amtangulie
Nakukubali sana bro
Mwamba tunakupongeza kwa
Hiyo historia mrefu
Njema sana hii, usimulizi murua wa hali ya juu.
Kwakweli nimeipenda hii topic
sel bagay pa janm asepte pou neg ap mennen fan´m banmwen depiw tande se entel ki te bay entel se biznis kap fet pa en santiman vre se pou materiel
Team Putin the Russian president 🇷🇺🇷🇺💪💪🇨🇩🇨🇩 more support him and Allah will protect him Inshallah the world's 🌍 population President Putin ❤❤
Nakubali
Africa bira manyangau inawezekana Russia %100❤
Kwann isingechukuwa hata masaa mawili hii #Ananius?
Aisee safi sana umeelezeq vizur sana mwalimu sana
Wanamzigoo hatarii tangu enzii za starleeng
Uko vizur mzee
Makala nzuri. Big up. Jan 2023
Nakubaliiiiiiiiiiii
Kbs ukweli
DENIS MPAGAZE UNAJUA AISEE!!!!!
Huyu bwana n hataree anko putin
Tunakupendaka sana
Good
Nicee
Jembe ilooo
Nakuelewa sana mkuu
Viva
Ananias edger hataliii
Putin mimi shabik wake aisee!!!!
Tunafurahiya zaidi na iyo historia ndefu
Safii👍
Niko marekani Iowa nilikuwanaishi Tanzania 🇹🇿 nyarugusu camp
Kama babu yake ana julikana why wazazi wasijulikane au ni babu mlezi
Hadithi ya kubumba hii
Wanajulikana si hy mama alotolewa kwenye gari ambaye alizaniwa kafa na baba ake alikuwa jeshi babu yk alikua mpishi wa marais wa wili
Mungu ni mwema kwa Putin viva Russia 🇷🇺 viva putin 🙄
Duh yani unavyoshusha izo simulizi paka choti layoka
Congratulations Mwalimu wetu 🇷🇺🇧🇮🇿🇲
Wewe unatakiwa uache ukabila🤔🤔Kila story bila kuwataha wasukuma story haitatrend, sio Chefuuu, hujui wasukuma ndo wanakulisha kwa kufuatili hizi tafti zako
Unashinda ukiongelea kisukuma vibaya utadhani unawalisha shame on you
nakukumbali
Wenimwanaume
@@marechalkiduba4788 tulia we ngosha… kaline viazi.. msimu ndo huu
na ww umejipanga ?
💥💥💥
Kwa hiyo wale wenzetu wanaochochea kupididika hawawezi kumbe kwenda URUSI ndio maana wanakimbilia US na Ubel.Na huku tuwakatae kumbe wanataka uongozi kutuletea uchafu. Long live Puttin!
Very good
Putin tumuombee maisha malefu
Mwambaaa huyoooo
Mke wa Joseph Stalin(Nadezhda) alijiua mwanzoni kabisa 1932, kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kuona Stalin anaua sana wapinzani wake akashindwa kuvumilia. Japokua stalin alikua anampenda sana mke wake
Ivi kwel stalin alikua katil ivyo au ni propaganda za wazungu maaana hatar
@@farajiissa560 Propaganda za nchi za magharibi, Stalin ndio kaisaidia Russia kutoka kuwa taifa masikini hadi kuwa taifa kubwa likaitawala dunia. Wakati wa Stalin Russia( USSR) ndio ilikua world super power
Ni zaidi ya Elimu