Hii ndio Thamani ya Vitu anavyovaa ALIKIBA |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 бер 2023
  • Hii ndio Thamani ya Vitu anavyovaa ALIKIBA | #DripCheck with Msanuaji John Jackson

КОМЕНТАРІ • 79

  • @baysadam235
    @baysadam235 Рік тому +12

    Unyama sanaaa big brother King kiba nakukubali sanaa🇲🇿🇹🇿

  • @honestgroup2116
    @honestgroup2116 Рік тому +11

    Duuh toka nizaliwe adi nafikisha saiv miaka 24 sijawai msikia kiba akisem thaman ya vitu vyake ndo leo nimeskia Duuh safi king leo umefanya shabiki yako niwe happy kuskia thamn ya madini yako unayo vaa mwilini

  • @rama-sa-4856
    @rama-sa-4856 Рік тому +3

    I love this drip check idea

  • @ibsk88salim98
    @ibsk88salim98 Рік тому +8

    Amevaa ukitamani utaangalia brand utachichanga utanunua

  • @sadruhsnow5637
    @sadruhsnow5637 Рік тому +2

    Saw

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Рік тому +3

    Kingkiba salute

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 11 місяців тому +4

    Hapo Pete tuliosoma Cuba tunajua hizo mipete ya kijani na nyekundu zinapotoka aiseeee😂😂😂😂

  • @kingcheater2554
    @kingcheater2554 Рік тому +5

    The Kingkiba

  • @benardfrank
    @benardfrank Рік тому +1

    🎉🎉

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Рік тому +3

    Du unyama Sana na hatulingi

  • @user-mu1xq9md5w
    @user-mu1xq9md5w 8 місяців тому

  • @faustindasconkeye8663
    @faustindasconkeye8663 Рік тому +1

    King kiba

  • @bornkilla6173
    @bornkilla6173 Рік тому +2

    King Kiba

  • @yusradaudi6588
    @yusradaudi6588 Рік тому +4

    Waooo

  • @amgeorge
    @amgeorge 11 місяців тому +1

    Tako,,,s 😅😅😅

  • @Issa_negro
    @Issa_negro 10 місяців тому +1

    Vichekesho😂😂😂😂

  • @zakariamachibula1776
    @zakariamachibula1776 Рік тому +1

    🔥💕

  • @raymondrobert6560
    @raymondrobert6560 Рік тому +6

    Euro 800 sawa na milion mbili duuh kiatu tu saa milion mbili na laki tatu 🤔

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 Рік тому +1

      Na bado anaonekana kawaida its not about the price sometimes.

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 Рік тому +1

      Mm ukiniambia nivae million moja 1 juu had chini ni hatar lazm upendeza sana ila wasanii wanaangalia bei sio muonekano. Sadly

  • @taturajabu1806
    @taturajabu1806 Рік тому +1

    🔥🙌😍

  • @macntosh8694
    @macntosh8694 Рік тому +2

    Kaka nipe atakimoja

  • @abdullysalum1572
    @abdullysalum1572 9 місяців тому

    Uccho kijua bei anayo itaja ni tofauti kitu cha pesa nyingi anataja ndogo kaulizie iyo saa uone

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 9 місяців тому

    Kila kitu uongoooooooo

  • @hamismchoma
    @hamismchoma 7 місяців тому

    King akoxei

  • @bainolatino3412
    @bainolatino3412 9 місяців тому +1

    Hawakosagi kusema nimepewa zawadi

  • @muthekimutheki
    @muthekimutheki Рік тому +7

    800€ Mama yanguuu dhaa!@😮 Hii ingetosha kununua kaplot huku kwetu Ali..Next time usitaje bei, sisi wakikuyu tunaumia.

  • @ynahmorata7604
    @ynahmorata7604 Рік тому +2

    King kibaa 🤴🤴🤴

  • @medidaudi8335
    @medidaudi8335 7 місяців тому

    Apple watch dolla 1000 😂😂😂😂😂muongo kiba

  • @sallysalim147
    @sallysalim147 Рік тому +1

    King kiba 👑👑❤️❤️🇺🇬

  • @zakariamachibula1776
    @zakariamachibula1776 Рік тому +3

    Watu wanahela jamani wanavaa kitu Cha kununua gar dah 😢😢

  • @cleveronlinemedia820
    @cleveronlinemedia820 Рік тому +3

    Huyu kipindi cha nyuma huwezi kumuuliza maswal ya hvyo nashangaa siku hizi 🤣🤣 na alikuwa anawaponda wasanii kuhusu kujiweka hivyo

  • @user-xm6vt4mf3y
    @user-xm6vt4mf3y 9 місяців тому

    Kiba usilete utu uzima kwenye Sanaa

  • @salehefeswali5197
    @salehefeswali5197 Рік тому

    800euro napata kiwanja zinga hapo

  • @omaryrazalo4302
    @omaryrazalo4302 Рік тому +1

    King 👑 kiba Beg up King ni time Shazi ujawai kuweka waz dhaman ya vitu vyako so leo Imekua sapliz Congrats King

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 Рік тому +1

      Hajawai kuweka wazi hau havina dhamani mbona vitu vya dhamani hutumii nguvu kuvifahamu hahahahaha msihishi kwa mafarijio

  • @Omma_Lee
    @Omma_Lee 9 місяців тому

    Au wewe hapo umeelewa bei ipi kataja pesa za kimarekan blood huyo jamaa ana akili

  • @almasially6509
    @almasially6509 Рік тому +2

    mmeiga idea, ila ni upumbavu

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Рік тому +1

    Saa dola 1000 si ghali bei za kawaida tu

    • @ynahmorata7604
      @ynahmorata7604 Рік тому

      We unayo kenge ww

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 Рік тому

      @@ynahmorata7604 ww unaonekana mshamba wa saa na huzijui bei za saa huwezi kujisifu kwa saa ya dola 1000 mm nnayo saa zaidi ya dola 1000 na kama unataka kuamini tuma namba nikutumie kwa wattsup kisha ukaulize bei mwenyewe

  • @mullahmasudy2622
    @mullahmasudy2622 Рік тому +2

    Mmmmmh😅😅 Hiyo ni Uwongo bhanaa😂😂😂😂

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 Рік тому +2

      Hujistukii hakuna aliekujibu

    • @mullahmasudy2622
      @mullahmasudy2622 Рік тому

      @@shwaibukhatibu2838 Bro acha uzuzu hakuna alienijibu wakati wewe umereply😁😁. Au hujui hiyo reply ni kujibu🤣🤣 Afu naona Umepanik hapa tunachangamsha genge tu bro usiwe na makasiliko kwa vitu vya kawaida kama hivi na Huwa siweki comment yangu Ili yeyote Ajibu😂😂 (Never)

    • @ezrayjesus
      @ezrayjesus Рік тому +1

      Ana Hela ya nyanya amevuna kwahiyo shida tupu

    • @mullahmasudy2622
      @mullahmasudy2622 Рік тому

      @@ezrayjesus 🤣🤣🤣🤣

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 Рік тому

      @@ezrayjesus we Una ya nn

  • @bongostorytz
    @bongostorytz Рік тому

    Tafuta hela

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 9 місяців тому

    Bado umeachwa mbali sn acha tu kuongelea izo bei zako babu

  • @ano_boy8656
    @ano_boy8656 Рік тому +1

    Kiba sasa tushajuwa thamani yako mwanzo tulikuwa hatuelewi ndo mana tunakuwacha tu hatukugusi hata kama unatembea mwenyeo tulikuwa tunakuchukulia poa , ila sahv mzee tafuta bodygurd mana ukikataza mtani kwetu tunakusaula King kama alivyokusaula mr benefecial marekani.

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 Рік тому

      Ana samani gani uyo kibamia hahahahaha pensi za 15 elfu acheni ushamba ata kujielezea mwenyewe hawezi kwamana anajua anawapangaaaaaa

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi Рік тому +3

    Tutafute hela wangangu,saa dora 1000= na t sh 2.3M

    • @veenpoul900
      @veenpoul900 Рік тому +1

      Simbà anavaa SAA ya mil 64 af ukichukua namacheni Yale namameno sio cholini ya billion iv,,,,hvy nibora angekaa kimya anajidhalilisha2

    • @fadhili_masoi
      @fadhili_masoi Рік тому

      @@veenpoul900 #tutafutehelaa

    • @ramamtanga3482
      @ramamtanga3482 Рік тому +1

      @@veenpoul900 wala ajidharirisha ni mtu wa kuishi simple tu wala aongezi sifuri

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 Рік тому

      @@ramamtanga3482 usimpo wapi hana hela uyo anajipapasa tunaoishi nae uku tabata ndio tunaojua ukweli wa uyo mwambaaaaa wajinga mtapangwa sanaaaaa

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 Рік тому +4

    Leo nimejifunza kitu kikubwa sana,,,huyu jamaa alishasemaga kua hawez kuelezea juu yakipato chake mana mashabik hawatojiskia vzr,,hahahaha ,kumbe alikua mnafk hana hela saiv anahela za mavuno yanyanya hatumui hapa duniani,,,,amakwl pata pesa tukujue

    • @mullahmasudy2622
      @mullahmasudy2622 Рік тому

      Baba Umesema Ukweli laiti kama angekuwa Dai au msanii mwingine hapo Maneno yangekuwa mengi mno😅😅 Kunya anye kuku Akishakunya Bata kaharisha😂😂

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 Рік тому +1

      Kwani hapo kaeleza juu ya kipato chake au Kiswahili kigum

    • @mullahmasudy2622
      @mullahmasudy2622 Рік тому

      @@shwaibukhatibu2838 usijitoe ufahamu wasanii wengine wakitaja hizo bei mnawakataa kiba asikataliwe ye nani🤓🤓 Hiyo ni uwongo banaaaaa😂😂 Saa kununuliwa dollar 1000 hivi unaijua dollar 1000 wewe🤓🤓 Ni million 2 kama laki 3 hivi, msituchoshe😁😁

    • @aishabrondi236
      @aishabrondi236 Рік тому

      Acha wivu

    • @aishabrondi236
      @aishabrondi236 Рік тому

      ​@@shwaibukhatibu2838 sema huyo kama nimjinga sasa hapo alieleza kipato kunawatu wajinga sana yani ni nyanya rukia wanarukia wasichokielewa

  • @medidaudi8335
    @medidaudi8335 7 місяців тому

    Apple watch dolla 1000 😂😂😂😂😂muongo kiba

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Рік тому +2

    Du unyama Sana na hatulingi