KONGAMANO MAALUM || KILIO CHA HANNA | EEH BWANA NINAKUSHUKURU EEH BWANA BADO NAKUTEGEMEA UNISAIDIE-2
Вставка
- Опубліковано 15 гру 2024
- BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na kongamano siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika Siku ya 2 ya KONGAMANO LA KUOMBA, KUOMBOLEZA NA KUJIBIWA MBELE YA BWANA inayokujia leo siku ya Jumapili tarehe 01 Desemba 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Kongamano hili maalum linaloitwa "KILIO CHA HANNA" kutoka kitabu cha 1 Samweli 1:17; "Ndipo Eli akajibu, akasema, Enenda kwa amani; na Mungu wa Israeli akujalie haja yako uliyomwomba" lina kichwa cha somo "EEH BWANA NINAKUSHUKURU, EEH BWANA BADO NAKUTEGEMEA UNISAIDIE"'. Katika Kipindi hiki cha kwanza ni maalum kwa ajili ya KUMLILIA MUNGU KWENYE ENEO LA MAHUSIANO.
Kongamano hili linaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.