CHRISTINA SHUSHO - NIMEHESABU (OFFICIAL AUDIO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • #ChristinaShusho #Gospel #Nimehesabu
    (C) Relax Investment
    Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/christi...
    Written & Performed by Christina Shusho
    For Bookings: cshusho@gmail.com
    Follow Christina Shusho on:
    / christinashusho​
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @HannahNyambura-kr4dr
    @HannahNyambura-kr4dr 3 місяці тому +60

    Nani ako hapa after kuiskia na baby top ❤❤

  • @laureenmuneemakau2917
    @laureenmuneemakau2917 Місяць тому +4

    Am here in January 5th 2025,i don't take this for granted,God gave me a job without papers,he approved me by himself,lord am grateful

  • @Amandahgal-gh8eq
    @Amandahgal-gh8eq 28 днів тому +15

    How's here 2025❤kiss mah comment

  • @paulitohkm8757
    @paulitohkm8757 2 місяці тому +6

    2025 December narudi kuhesabu hizi baraka in Jesus name 🙏🙏

  • @amirmwiganege2565
    @amirmwiganege2565 6 років тому +480

    Kama unamkubali Christina shusho like hapa

  • @claradancequeen7055
    @claradancequeen7055 6 місяців тому +28

    Listening to this song in 2024 and yes indeed it's only God

  • @masekete
    @masekete 6 років тому +179

    Wow wow ni wewe tu Yesu ..tawalaa. Amen Amen.. Wapi likes Wakenya hapa 254?

    • @ikercasilas2054
      @ikercasilas2054 6 років тому +2

      Masekete mwau

    • @angelbinene794
      @angelbinene794 6 років тому +3

      Ninavyo kupenda mama angu Christina barikiwa sana mungu akupe maisha marefu duniani na mbinguni

    • @yasintamalisely1664
      @yasintamalisely1664 6 років тому +3

      Nakupenda sana ww dada jamani 💓💓

    • @damarisfavour5799
      @damarisfavour5799 6 років тому +3

      Ngoma hii Tamuuuuuuuu

    • @masekete
      @masekete 6 років тому +1

      @@ikercasilas2054 am humbled......... Mungu ndiye uteua. Na maandiko yanasema husipo mpokea mwenzio husitarajie kupokelewa. God bless you

  • @hamisidogo1698
    @hamisidogo1698 6 років тому +208

    Katika 10 bora ,wa kwanza Shusho,wa pili Shusho wa tatu ni Shusho. Tunawaachia wengine kidogo hapo kati,harafu 7-10 Shusho tena. Kama kweli gonga like twende sawa

  • @Sunshine-h7c
    @Sunshine-h7c 6 років тому +224

    Ni wewe tu yesu!! Ubarikiwe daa gonga like kama umebarikiwa

    • @allyhassan9622
      @allyhassan9622 6 років тому +2

      Nice song

    • @hensongunman1680
      @hensongunman1680 5 років тому +2

      Miaka mia hakunakama Yesu, mwaaaa shusho

    • @timothmateta7080
      @timothmateta7080 5 років тому +2

      Mwaka huu Mungu ukupe kitu cha thamani Tena. Amina Dada!

    • @lukamteleke8004
      @lukamteleke8004 5 років тому +2

      Culate Emma
      Nimebarikiwa sanaa na hii nyimbo

    • @irenegomanga8654
      @irenegomanga8654 5 років тому +3

      Nice nice song!!! Nimejumisha,nikatoa nikazidisha waoooooo fantastic song

  • @Mulongo2914
    @Mulongo2914 Місяць тому +2

    Her in 2025 it's God indeed ❤

  • @evelynnzambi9861
    @evelynnzambi9861 3 місяці тому +8

    This song sounds better in 2024

  • @faithndunge8275
    @faithndunge8275 11 днів тому +1

    2025🔥🔥🔥🔥ni wewe tu❤❤

  • @tiberiusbosire4081
    @tiberiusbosire4081 3 місяці тому +8

    Nimejileta hapa ju ya baby top Wakirumba❤❤❤❤

  • @iamlevybrian5914
    @iamlevybrian5914 6 років тому +105

    Christine you have got a talent my sister all ur songs are dope since day one bigup be blessed... Wapi like za shusho from 254

  • @keziahwilly
    @keziahwilly 4 місяці тому +5

    Listening to this song in 2024 and can't get enough of it,,,, listening a hundred times..

  • @dansonndungu1506
    @dansonndungu1506 3 місяці тому +5

    Muthoni wakirumba has a special touch to be honest amecheza hii ngoma and we're all here,

  • @faithmwende9874
    @faithmwende9874 4 роки тому +57

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪 2020. Nimesema Ni wewe Yeah. This song is always blessing to me. Whoelse is here despite 2020 despite Corona?

  • @jonas_helias
    @jonas_helias 5 років тому +10

    JAMAN KIUKWELI DADA ETU CHRISTINA ANAJUA KUPANGILIA GOSPEL VOCALS 📹📷🎥 nimependa off cause if and you are, like this comment

  • @johnkimani3129
    @johnkimani3129 3 місяці тому +4

    Niko hapa after kuiskia siku tatu baby top akicheza kwa radio!

  • @titusomondi6993
    @titusomondi6993 Рік тому +1

    Hesabu zote nilizofanya nimeona ni wewe tu❤❤❤❤

  • @lolajohn
    @lolajohn 3 роки тому +18

    Since last year August i went through alot, sickness was always with me and today i can stand and say i havee defeated all sickness. All stitches on my head are healed in Jesus name. Glory and honour to return to you God. I can walk, eat and praise you God🙏🙏🙏🙏

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 Місяць тому

    Uliwai kuweka nyimbozako mwenyewe ukaziweka kwenye minzani ujuwe mazuri ni gani kwangu ni hiyo🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉❤

  • @janewambui1523
    @janewambui1523 6 років тому +78

    Hakuna mwingine Ni ww tuu yesu,nimehesabu Christina shusho👍👍👍👍👍👍👍👍💓💓💓💓💓💓💓🇰🇪🇰🇪

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 6 років тому +38

    Kwa kweli ni wewe tu BWANA uliyeyatenda haya..sina hesabu kamili ya ukuu wako kwangu YESU..Wimbo mzuri sana Shusho.Baraka ziwe kwako tele na tele🇰🇪🇰🇪

  • @malitimaabel9715
    @malitimaabel9715 6 років тому +32

    Nimeona ni wewe yesu Ni ww2 hakuna mwingne ww yesu Ni weweeeee!! Gonna like Kama unamkubali. Ninasema Ni weeeee yesu Ni ww2

  • @mercywambani589
    @mercywambani589 6 років тому +48

    Hallelujah great song ,"Yesu ni wewe tu " formulah zote=YESU

  • @RoidaMwaipopo-fc3kk
    @RoidaMwaipopo-fc3kk Рік тому +3

    Mungu akubariki. Nimebarikiwa sana
    Nikikumbuka acha tu.

  • @stepupdancefamily9055
    @stepupdancefamily9055 Рік тому +1

    😭😭😭 nawaza venye uyu yesu amenipagania na kunisaidia nashindwa nianzie wapi acha nikutumikie yesu

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 6 років тому +36

    Mi namkubali Yesu unaemuhubiri.. Ngoja nifanye kushare.. Jina la Yesu ni ngome imara.. Ni wewe Yesu...

  • @fadhilinjangaje9627
    @fadhilinjangaje9627 6 років тому

    Kama unakubali Dada christina ni fundi wa kuimba gonga like hapo chini hajawahi kuniabgusha

  • @gloriawambua7629
    @gloriawambua7629 Рік тому +3

    Ni wewe tu🙌,,unayenitendea

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 4 місяці тому

    Dada hasabu date ni yesu tu Mungu akuzidiye🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @BeatriceNdinda-e7r
    @BeatriceNdinda-e7r Рік тому +8

    It's more than a song, it's been really a blessing to me . blessings momma 😊

  • @jennifermuli9148
    @jennifermuli9148 3 роки тому

    2021 nilisema ni wewe Bwana ata 2022 utabaki kutawala kwa maisha yangu Mungu🙏❤️

  • @yourdataanalyst9661
    @yourdataanalyst9661 6 років тому +4

    Ni wewe tu yesu. Nzito sana, wapi likes +254

  • @Robert-g6b5z
    @Robert-g6b5z 3 місяці тому +1

    Yes it's only God

  • @mercynaliali5767
    @mercynaliali5767 6 років тому +8

    Napenda nyimbo unazoimba sana, be blessed .

  • @JescahWinnie
    @JescahWinnie 4 місяці тому

    Nilipoteza ndoa yangu miaka Tano nyuma lakini ninaposikiza nyimbo zako Huwa ninamatumaini Tena kwenye maisha ,ubarikiwe sana

  • @javanmghosi2192
    @javanmghosi2192 3 роки тому +3

    Can't get enough of this,..bado nakumbuka Yale Mungu wangu amenitendea

  • @happykalenge4479
    @happykalenge4479 4 роки тому

    hakika ni wewe YESU tu hakuna kama wewe unatuponya na kuturejeshea maisha yetu yaliokuwa yameibiwa na adui nasema ni wewe tu YESU

  • @ruthiethuku.3166
    @ruthiethuku.3166 6 років тому +3

    Kweli ni we we Yesu....no one is like our God....you have fought for us...you have healed us Lord... slaves on horses...it's only you Lord who can do this...God bless you my sister!!!!

  • @serahsummery
    @serahsummery Рік тому +1

    And this songs reminds me of how far God has brought me despite my sinful nature am humbled God continue helping me out 😢

  • @chantaluwamahoro4648
    @chantaluwamahoro4648 4 роки тому +20

    Taking time to look back and count all the blessings of God, recall his mercy and guidance through hardship, bring nothing but praise. Yes indeed: no other than you Jesus could help me/us get through. "Ni wewe tu"!/It's only you! What an amazing song!

    • @namwanojune2798
      @namwanojune2798 2 роки тому

      I listen to this song and l just feel happy

  • @isaacsimalif6185
    @isaacsimalif6185 3 роки тому +1

    is only Jesus, pst Christina shusho on top. Kenyans like plz.

  • @favouredoneofGod199
    @favouredoneofGod199 Рік тому +5

    I can't get enough of this so. May God bless you so much shusho

  • @austinmuthoka8817
    @austinmuthoka8817 3 місяці тому

    Ni Mungu tu. Naskiza 2024 na inabariki kubariki

  • @estherkarenju314
    @estherkarenju314 6 років тому +60

    Can't get enough of this song... Repeating it like hundred times

  • @mary.4054
    @mary.4054 11 місяців тому

    Ameen hakika huu wimbo umenibariki Sana jamani ..
    Nikikumbuka magonjwa niliyoponywa na kushindiwa vita na Mungu wa mwamposa hakika ni yeye tu..hakuna alie Kama yeye..

  • @newtonpaul1092
    @newtonpaul1092 3 роки тому +22

    I will be playing this in my pre-wedding.God has been great all out

  • @SharonAwino-l9b
    @SharonAwino-l9b Місяць тому

    This God has walked me through the longest journey of life

  • @blessedforever9486
    @blessedforever9486 5 років тому +5

    YESU ni wewe tu💞
    MUNGU akubariki Christina Shusho.Likes diaspora u.s.a

  • @DianaCherotich-i4g
    @DianaCherotich-i4g 2 місяці тому

    Indeed its only you God ,,,receive all the glory and honour ,,you are always there my God for me

  • @joyjoey7603
    @joyjoey7603 4 роки тому +12

    This woman of God blesses me with her songs..she inspires me,her voice,her sense of fashion, she's down to earth,God keep blessing her. My prayer is to take after her🙏.

  • @Mogakaondarihesborn
    @Mogakaondarihesborn Рік тому

    Wapi likes ya 2023

  • @shadrackmwangangi8462
    @shadrackmwangangi8462 6 років тому +9

    Nikikumbuka mbali umenitoa, vita kanipigania,,, kaniponya..... nimejumulisha siwezi maliza... Asante yesu. Niwewe tu. God bless you Christina.

  • @UmaziMangale-h2k
    @UmaziMangale-h2k 11 місяців тому +1

    Much grace,

  • @jentam7889
    @jentam7889 6 років тому +27

    Niwewe tu Yesu ninasema asante kwa yote ulionitendea maishani Ameeen

  • @HEZZYKIALOTheGospelRocker
    @HEZZYKIALOTheGospelRocker 2 роки тому +1

    AMEN ,,, nimehesabu ,Nakubuka umenitembeza, Hakika ni wewe (MUNGU)

  • @josephatpatrick8304
    @josephatpatrick8304 5 років тому +3

    mwanzo mwisho ni wewe tu my saviour, asnte mung kwa yote hakika nmekumbuk mamb meng uzid kunijalia nifikie maleng yng Ameeen*axnte @christina shusho wimbo mbzr ubarikiwe.

  • @rosegwasa5760
    @rosegwasa5760 4 роки тому

    my forever best singer..inspirational and model figure. 1 - 10 ni Christina ShushoNimehesabu kwa hakika ni wewe YESU. Magonjwa, vita, safari ulizonivusha hakika ni wewe YESU umetenda haya.

  • @salomeshija5387
    @salomeshija5387 6 років тому +10

    Amen dada angu mungu azidi kukupa kibali weto mwana

  • @irenegomanga8654
    @irenegomanga8654 5 років тому +1

    Barikiwa mama angu nyimbo hakika imenibariki sana Mungu akuinue kwa kiwango cha juu sana

  • @jlbestngwej5869
    @jlbestngwej5869 6 років тому +4

    A oui seigneur tu est tout pour moi personne ne comme toi pour tout ce que tu fait dans ma vie ,merci Jesus christ .

  • @danielsindani3238
    @danielsindani3238 2 місяці тому +1

    Great their is Lord

  • @esterjacob7636
    @esterjacob7636 6 років тому +16

    Amen balikiwa pia mwana wa Mungu

  • @mabelkyobe4574
    @mabelkyobe4574 Місяць тому

    So inspiring, ni wewe tu
    Hakuna mwingine,
    Enjoying from uganda 🇺🇬

  • @SteveMangana
    @SteveMangana 6 років тому +17

    Nimefanya hesabu zangu lakini ni yesu ndo nimepata ni jibu 🔥🔥🔥

    • @jeniferjohn6083
      @jeniferjohn6083 6 років тому

      Anazidi kuporomoka kwa kasi ya hatari !hana maadiri ya Dini hasa ! Utandawazi unampoteza .

    • @ukendegyunda58
      @ukendegyunda58 6 років тому

      Wacha we Mungu akubark my lv nakpda bure

    • @lydiakemuntookindo3930
      @lydiakemuntookindo3930 6 років тому +1

      Wow nice b blessed shusho

  • @beatriceombati394
    @beatriceombati394 2 роки тому +1

    Ni wewe tu yesu na nikumbuka Yale umenitendea kwa hakika ni wewe tu

  • @obirinaom6568
    @obirinaom6568 6 років тому +4

    Wimbo mzuri sana Christina hujawahi tufeli sisi ur fans I really lyk tiz song special dedication to me enyewe Mungu amenitoa mbali. Endelea kumtumikia Mungu kwa kutubariki na sauti nzuri. Mungu azidi kukubariki.Amina

  • @nyoremoelijah5184
    @nyoremoelijah5184 Рік тому +2

    this song is composed around my story. people act in a way to prove that it is only God who matters in this life. God works for our rise as others try to bring us down.

  • @evaevance5932
    @evaevance5932 6 років тому +13

    Ubarikiwe mama hujawahi kutuacha salama

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 4 місяці тому

    Hili wimbo n'a ipenda Sana hesabuzote ni zake yesu

  • @peninamutave9188
    @peninamutave9188 Рік тому +3

    The song reminds me of the battles God has fought for me.❤ Glory be to God!?!

  • @elyzanyagesoa8039
    @elyzanyagesoa8039 6 років тому +2

    Ni Yesu pekee tu, wanaompenda Christine Shusho hit likes zenu hapa

  • @elizamsilikasi1952
    @elizamsilikasi1952 6 років тому +8

    Ni wewe tu, umeniongeza mwaka Leo kwa huruma&neema zako tu

  • @Being_Bruce
    @Being_Bruce 6 років тому +1

    Kama siwe yesu maadui wangetumeza tungali hai.. Ni wewe tu mungu wangu.
    Uwabudiwe usujudiwe

  • @faithkiyunzu5037
    @faithkiyunzu5037 4 роки тому +6

    I will walk down the aisle to this song

  • @ClintonNzeya-g6m
    @ClintonNzeya-g6m Місяць тому +1

    Anyone here in 2025

  • @inviolatawesonga9612
    @inviolatawesonga9612 4 роки тому +20

    Who else is listening this 2020

  • @dollaemily
    @dollaemily 6 років тому +1

    Ni wewe tu Yesu,hakuna mwingine.

  • @pheliciasaidi6194
    @pheliciasaidi6194 6 років тому +6

    woman of valour, you always refresh me with your songs. Receive more grace to serve this faithful God-Jesus

  • @hamidakiiza1925
    @hamidakiiza1925 6 років тому +1

    Ni wewe tu Yesu hakuna mwingine aliyeniwezrsha zaidi yako ubarikiwe sana mpendwa wangu!

  • @tabithakalani2277
    @tabithakalani2277 5 років тому +10

    Listing from saudia ❤God bless you mum wish one day I will meet you

  • @mariamassawe9760
    @mariamassawe9760 6 років тому +1

    Yesu ni wewe baba🙏umenitoa mbali baba umenipigania nimeshuhudia ukuu wako baba ni wewe tu,asante sana dada Christian kwa wimbo mzuri wenye faraja kubwa sana mungu akubari dada sana

  • @ruthwamboo5760
    @ruthwamboo5760 Рік тому +3

    Oh my God😢😢. I can't get enough of this song... Christina shusho songs have really changed my life♥️♥️... I feel blessed 🙏🙏..... Live long mummy 🙏🙏 i personally loves you soo much 😍😘😘😘😘😘♥️♥️

  • @abilityemmanuel5704
    @abilityemmanuel5704 5 років тому +2

    Psa 139:14 I will praise thee; for I am fearfully and wonderfully made: marvellous are thy works; and that my soul knoweth right well. You are a real piece of our Master Jesus Christ, so keep serving the Lord with your humble husband. let God continue to use you mightily.

  • @rehemacharles3627
    @rehemacharles3627 6 років тому +6

    Ni ww yesu ni ww tu hakuna kama ww Amina👌👌nakupenda sana christina Mungu akutie nguvu uzidi kutupa ujumbe mzuri

  • @stellarmarispeniel4598
    @stellarmarispeniel4598 5 років тому +2

    Ubarikiwe sana Dada yangu.Mungu akuinue viwango vya juu Sanaa.Nabarikiwa 🙏na huduma yako .Na Mimi pia ni muimbaji namani nifike hapo ulipo

  • @rosetasuleiman6799
    @rosetasuleiman6799 6 років тому +3

    You are alone Jesus,there is none like you.thank you Jesus Christ

  • @aronkiprotich8519
    @aronkiprotich8519 Рік тому +2

    This songs reminds me of battles that God fought for me, maybe if I would have fought by myself I might not have been victorious, I thank God for victory

  • @ammarthiana3730
    @ammarthiana3730 3 роки тому +3

    Came here from tiktok this song is amazing ..Thankyou God for everything you have done

  • @catherinekatua4415
    @catherinekatua4415 3 місяці тому

    kwa kweli ni Yesu tu..2024 and the song is a vibe... glory to God

  • @beatricebii8237
    @beatricebii8237 2 роки тому +5

    Listening to this song in 2022 .... I'm a product of God's grace 💯. Thank you sister Christina ❤️❤️❤️

  • @jombogloria6576
    @jombogloria6576 2 роки тому +1

    Huu wimbo hunibariki Sana nausikiliza kila wakati nikitafakari makuu ya Mungu nasema ni wewe tu Yesu🙏🙏🙏

  • @freddyfredricks3435
    @freddyfredricks3435 5 років тому +6

    I just love this song... It's my phone ringtone.... I like how it starts. #christina rocks #254 in

  • @simonmacharia4537
    @simonmacharia4537 2 роки тому +2

    Shusho songs issa vibe all the way.... NUMBER ONE FUN SHUSHO TO THE WORLD🌍

  • @ericksocrates254
    @ericksocrates254 3 роки тому +4

    I listen to Christina Shusho singing and i really feel God is highly lifted

  • @FaithKivuva-vh5ym
    @FaithKivuva-vh5ym 4 місяці тому

    Faith listening from Kenya🇦🇪I will play this in my wedding💫song the year💋💋💋💋

  • @JoshBlessed-e5y
    @JoshBlessed-e5y 6 років тому +5

    Christina Shusho blesses my heart with her powerful songs,may God grant you abandance of wisdom as you continue serving Him....My Son likes your songs you are blessed! keep it up madam in Christ!

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 2 роки тому

    Yaani wimbo ni kwa wakati huu. Bwana aliponitoa bwana ni yeye tu.. hakuna mwingine.