AHSANTE KWA WEMA (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • Available on all Platforms: album.link/tnz...
    Download or listen online: mdundo.com/son...
    Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
    Producer: Verony Productions Ltd.
    Composer: F.E. Single
    Copyright ©Verony Productions Ltd.
    1. Bwana alinitendea mambo makuu
    Nilipoita jina lake aliniitikia
    Alinitegemeza katika taabu zangu.
    {Asante - kwa wema wako
    Asante - kwa ukarimu
    Asante kwa pendo lako nashukuru} * 2
    2. Bwana ameniponya na magonjwa mengi
    Pia amenikinga na ajali mbaya sana
    Amenitoa katika mitego ya shetani.
    3. Nimetafakari upendo wake Bwana
    Kujivika ubinadamu na kufa msalabani
    Ili nikombolewe utumwani wa shetani.
    4. Ni mara nyingi sana nimetenda dhambi
    Lakini Bwana Yesu hakunihukumu kwa dhambi
    Hakuna kama Bwana yeye ni Mungu pekee.
    5. Wema wake Mungu wangu hauna mwisho
    Ameniandalia makao baada ya kifo
    Masharti yake niwe nimetii amri za Mungu.
    6. Enyi ndugu zangu mlio katika Kristu
    Unganeni pamoja nami kumshukuru Mungu
    Ni mema mengi sana yeye ametujalia.

КОМЕНТАРІ • 43

  • @rosebeauty700
    @rosebeauty700 3 роки тому +2

    Asante Mungu kwa wema wako Asante kwaukarimu Asante kwa pendo lako twa shukuru 💞💞🙏

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 4 роки тому +4

    Asante kwa wema wako asante kwa ukarimu asante kwa pendo lako nashukuru Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume pia awajalie nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina

  • @edwardkioko4455
    @edwardkioko4455 4 роки тому +2

    Kazi nzuri sana waimbaji wote. Mwalimu Mkude Hongera sana kwa Kinanda safi sana.

  • @VeronyProductions
    @VeronyProductions  5 років тому +6

    Wapendwa Subscribers, video hii tumei upload upya ikiwa na marekebisho kidogo kwa ajili ya uwiano na masharti ya hati miliki. Asante kwa kutuunga mkono siku zote. furahieni utazamaji.

    • @bebetoanselme3826
      @bebetoanselme3826 5 років тому +1

      Asante sana Kaka mkude kwa utume wako

    • @couragetv3314
      @couragetv3314 4 роки тому

      Asante sanaaaa kaka naview Kila nikikumbuka upendo wa Kristu

  • @moissonier6742
    @moissonier6742 3 роки тому +2

    Very nice song. Asante kwa pendo la Mungu.

  • @susanabby2129
    @susanabby2129 3 роки тому +6

    Wooow 😍 a nice song
    Those sounds are really good including the information,
    Thank you for this song ,it is a blessing ...be blessed All

    • @susanabby2129
      @susanabby2129 6 місяців тому +1

      I love this sweet song ✨

  • @emanuelmayunga6382
    @emanuelmayunga6382 3 роки тому +1

    Asante mungu kwa wema wako hakika tunabarkiwa

  • @simonshimba7759
    @simonshimba7759 3 роки тому +1

    Wimbo una ujumbe mzuri sana shukrani kwa Mungu kwa ukarimu na upendo wake Mungu bwana anaturehemu sawa sawa na fadhili zake

  • @mwaniki87
    @mwaniki87 Рік тому

    Great tune there

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 Рік тому +1

    This song melts my heart 💕💕💕every time I listen to it.

  • @francisshetui330
    @francisshetui330 5 років тому +2

    Kwaya yangu mpo vizuri tokaa naijuaa ST Theresa

    • @bebetoanselme3826
      @bebetoanselme3826 5 років тому +1

      Francis Shetui Asante sana Ndugu zangu Mungu awabariki

  • @irenekaitesi8766
    @irenekaitesi8766 3 роки тому +3

    I love this song
    We sang it on our graduation mass ceremony at college. It was and still touching to feel God's blessing in our daily life. You did great job. Hongereni keep it up.

  • @salomemlingano6604
    @salomemlingano6604 Рік тому

    Asante kwa pendo nashukulu mko vzr Sana mungu awaongoze nguvu amina

  • @susanabby2129
    @susanabby2129 Рік тому +1

    Can't get enough of this sweet song 🔥😍.

    • @susanabby2129
      @susanabby2129 8 місяців тому +1

      Asante Kwa mema yooote nashukuru ✨✨✨✨

  • @monicahcherop
    @monicahcherop 3 роки тому +1

    Nice and lovely song.God bless you

  • @johnndungu7626
    @johnndungu7626 Рік тому

    Good song the good of our lord thank you

  • @cypriankimutai752
    @cypriankimutai752 5 місяців тому

    Asante kwa wema wako na pendo lako

  • @salomemlingano6604
    @salomemlingano6604 Рік тому

    Mungu awatie nguvu katika utume wenu

  • @reginahkamau6208
    @reginahkamau6208 4 роки тому +2

    I love this song

    • @VeronyProductions
      @VeronyProductions  4 роки тому

      Reginah, this is one of the most powerful thanksgiving song.

  • @mkulimatips
    @mkulimatips 5 місяців тому

    Asante kwa wema wako Bwana

  • @simonshimba7759
    @simonshimba7759 3 роки тому +1

    Wimbo huu unanibariki sana

  • @phylismboi7559
    @phylismboi7559 Рік тому

    Nimeupenda sana ujumbe na wimbo pia

  • @zakiabiguza2799
    @zakiabiguza2799 Рік тому

    Wimbo Bora kwa maisha yangu

  • @fwandesichilima5676
    @fwandesichilima5676 10 місяців тому

    Waoooh,Very nice song!!

  • @deomeney4562
    @deomeney4562 2 роки тому

    mungu ni mwema kila wakati

  • @irenewairimu7799
    @irenewairimu7799 5 років тому +2

    asante kila wakati.. i really love this song.

  • @bonifacechristopher5103
    @bonifacechristopher5103 2 роки тому

    Asante Mungu kwa wema wako.

  • @barakambata4405
    @barakambata4405 5 років тому +1

    Ahsantee sana kwa utume uliotukuka

  • @mwariwanyingi5720
    @mwariwanyingi5720 Рік тому

    I love this song with passion.

  • @sofiamauwa7146
    @sofiamauwa7146 Рік тому

    Amina

  • @user-pe9po1fo7p
    @user-pe9po1fo7p 9 місяців тому

    Asant sana

  • @mukhonyi
    @mukhonyi 4 роки тому +1

    Asante kwa wema.
    Nimetafuta nota za huu wimbo kwa muda mrefu sana. @Verony Productions mnaweza kunielekeza?