SHK MSELEM TUNA TAFSIRI QUR'AN HATUJA MTUKANA MTU | WATU WA AINA HII NI MFANO WA MBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @zamilmohammed2297
    @zamilmohammed2297 Місяць тому

    ALHAMDULILAH SHEKH wangu ALLAH atuongoze kwenye mema na mwisho mwema AMIN

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 Рік тому +3

    Shukurani Sana sheikh Allah akupe afy na umuri murefu wenye kheri kubwa inshallah

  • @hafidhkhamis731
    @hafidhkhamis731 Рік тому

    Asante sheikh Msellem Allah arefushe kuwepo kwako katika kheir

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 Місяць тому

    Shukran jazakallah kheiri shekhe Mselem bin Ali. Allah akupe afya na umri mrefu wenye barka. amiin

  • @ZafaraniYusuph
    @ZafaraniYusuph 22 дні тому

    Shukurani shekhe mungu akupe kheri

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +2

    Subuhanallh yarabi atusamehe waja wake na atuongoze katika njia ilio nyoka

  • @abubakarbuty1692
    @abubakarbuty1692 3 місяці тому

    MUNGU akulipe kheri na Akulinde shekh mselem

  • @zamilmohammed2297
    @zamilmohammed2297 Місяць тому

    AMIN

  • @FaizaSalim-y6v
    @FaizaSalim-y6v Рік тому

    لا اله الا الله ☝️

  • @aaahadventures4214
    @aaahadventures4214 2 роки тому +2

    Assalam Alaykum. Tafadhali naomba andikeni hizi Title vizuri zifahamike. Tunafuatilia hizi Darsa kujifunza. Wasalam.

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 11 місяців тому +1

    Masheikh kama huyu ndio wenye daili za Mtume wetu, sio wale wa mchongo waliojificha katk dini, kumbe ni watumwa wa kidunia

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому

    Mim kukaaa bilaa kujuwa na mkee sio shida tumalizee shida ndio tusonge mbelee

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому

    Sitaki mshahara malizeninshida ndio tusongee mbele kutafuta aqwsar

  • @bibliakweliyaduniayote1137
    @bibliakweliyaduniayote1137 Рік тому +1

    Nyinyi makafiri tu mna hasirai wivi mnafikiria tu kuhua angalieni walimu weu Kenya mnavyo wafanyia uislam ni dini ya uongo tu

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 Рік тому +1

      Kaka unaabudu binadamu yesu open your heart before u die

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 Рік тому

      Yesu ni muislam

    • @harounzuberi8179
      @harounzuberi8179 Рік тому +1

      Kafiri NI MTU anayempinga Allah na kuabudu masanamu na MTU tafsiri yake kafiri NI Mkristo yeyote na wote wasiokuwa waislam NI Makafiri

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Рік тому +1

      Hunakaz yesu mungu yesu mtoto wamungu,yesu mtume waulimwengu yesu kapigawali harusini yaani nyinyi sijui mukoje maana hata mtoto wa nursery ukimwambia ataelewa kiufupi mumepotea

    • @saidsalem6259
      @saidsalem6259 Рік тому

      Soma hiyo bibilia uifamu ndugu

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому

    Niwekeningerezani miyaka kumi hakuna Shida Sasa tumalizee shida hiyo mwazoo halafuu tusongee mbelee

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 Місяць тому

    Hii Zanzibar imevamiwa na mijitu hsta kiswahili hawajuwi. Humu kwenye mawaidha ya huyu Shekhe mtu unatakiwa utowe maneno mazuri. Lkn kuna watu wana ropokwa ovyo na hata hio lugha yenyewe ya kiswahili hawakijuwi. Wallahi mtihani sana huu.😢