Asalam Aalaykum warahmatullahi wa barakatuhu nashukuru kwa jibu lenu adhuim. Linalo husu ku swali mimi ni muumuni na nchi hii ya france wanapinga sana uwisilmu na nimarufuku kwao katika sehemu yakazi kuonesha kwamba wewe ni muumuni. Taabu lkini Allah huwa ananisaidiya nikiwa kazini napata mda wa kusali kwa uficho isipo
Asalam Aalaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu Allah akuhufadhi sheikh Mimi nafanya kazi usiku nikitoka nyumbani kwenda kazini mda wa kuswali Maghreb na isha una kuwa haujafika huku france time za swala hutegemea na saison sasa hivi time ya maghrib ni saa 9 na dakika 51 na moja usiku je na weza kuswali Maghreb na isha Kwa pamoja kabla ya kwenda kazini ? Jazakumllahu khairan
asalam aleykum.yaruhusiwa kuchanganya sala kwa maana adhuhur na al asir ukaziswal kwa mda mmoja wapo wa swala hizo na maghrib na ishai kwa wakat mmoja wapo wa swla hizo.lakin kuna sababu zake zinazokupelekea kukusanya swalaa
Subhanallah💔sasa kuna jambo limeingia instagram wanatuma kitu utashinda kwamfano mitandio au simu au jiko chochote wnakuekea sheria zao ufate na badala yake ukitimiza hilo jambo zaid ya wenzako utashinda kile kitu...ni haram? Haifai?
Jazakallah khaira Allah akujalie janatul firdaus inshaallah
Ma sha Allah sheikh jazakallahu kheir 🤲 Allah azidi kukuhifadhi tuzidi kunufaika in Sha Allah 🤲
Mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu atujalie na ss kujali wezetu jazzaka Allah kheri 🤲💕
Mashaallah nikisikiza mawaidha yako sheikh moyo wangu hutulia
Jazakallah khair
Alhamdullih hakika Hii nielimu yenye kuendelea. Afadhali ww utakao achaswadaka yaelimu yenye kuendelea wallah.
JazakAllah khaira. ..may Allah protect u cheikh. ...
Mashallah sheikh Allah akulipe kheri ,unatuelimisha Sana jazakallaah kher.
Bismillahi Ma Sha Allah jazakallah kher...Allah Akuzidishiye Utajiri Wa Afya ili Uzidi Kutuelemisha...Ahubuk lillah From Saudi Arabia
Asalam Aalaykum warahmatullahi wa barakatuhu nashukuru kwa jibu lenu adhuim. Linalo husu ku swali mimi ni muumuni na nchi hii ya france wanapinga sana uwisilmu na nimarufuku kwao katika sehemu yakazi kuonesha kwamba wewe ni muumuni. Taabu lkini Allah huwa ananisaidiya nikiwa kazini napata mda wa kusali kwa uficho isipo
pole san ndugu.
Pole sana allah atakulinda ivyoivyo ucjali wala usihof
Allah akulinde na zidi kusikiloza na kisoma darsa upate dua za kuwashinda wanaokusumbua
Tafuta nchi itakayokuweka hurunadiniyako
Masha allah allah akujaalie umri mrefu wenye afya uzidi kutuelimishaa
Haitoshi mm na ww kuwa muislamu ilhali nguzo zake hatuzikamilshi ipasavyo haswaa ile isiyo na mbadala. Allah atujaalie wepesi ktk kher
Masha Allah Tabaraqa Allah
Subhanallah Allah Allah akuepushe kila balaa. Sheikh Mimi napenda kusliliza mawaidha yako, Allah atupe mazingatio. 🤲🤲🤲
we shehe naangalia sana mawaiza yako yaani nakupenda sana kwa ajili ya mawaidha unaongea vizuli
Jazakallah 𝕜𝕙𝕖𝕣𝕚
Shukrani sana Shekhe.Allah atakulipa kwakutuelimisha
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
othman maalin na ww nd mashekh wangu
Jazakallah kheir. M'mungu akuzidishie umri na akulinde na maadui inshaAllah.
Tom Mariam Ameen na ww mola akupe mazuri duniani na akhera
nilijua ww ni wazanzibar kumbe kenya sasa nimeona kiswahili chako kama cha almarhum shekhe Aboud rogo
Mashaallah Jazakallahu kheri
Shekh ALLAH akuzidishie elimu yenye manufaa
Mashaallah Allah azid kukufanyia wepes uzid kutumbusha
Jazakallah kheyr
Insha Allah Allah atukinaishe kwa alicho turuzuku na atupe uwezo wakukatazana yasio mfurahisha Allah 🤲🤲🤲
Duh! Shekh Ahsante ujumbe umefika vilivyo
Wa Jazakallahu khayr, na Mungu akuhifadhi In-Sha-Allah.
Barak'Allahu fiiQ
Aameen
بارك الله فيك
Mashaallah
MashaAllah Shukran
shukran sana ustadhi
MashaAllah
Manshaalha jazakalahu heira
Swadakta
MASHAA ALLAH MASHAA ALLAH MASHAA ALLAH
Mashallah
Nimeipenda saaana hiimada .
Ma shaa ALLAAH
Mashaallah allah akulipe inshaallah
shekh nini hukmu ya kupost picture fb au instagrm
Masha Allah
jazaqallah خير
Ala akuzidishie dunia naahera
Asalam Aalaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu Allah akuhufadhi sheikh
Mimi nafanya kazi usiku nikitoka nyumbani kwenda kazini mda wa kuswali Maghreb na isha una kuwa haujafika huku france time za swala hutegemea na saison sasa hivi time ya maghrib ni saa 9 na dakika 51 na moja usiku je na weza kuswali Maghreb na isha Kwa pamoja kabla ya kwenda kazini ? Jazakumllahu khairan
asalam aleykum.yaruhusiwa kuchanganya sala kwa maana adhuhur na al asir ukaziswal kwa mda mmoja wapo wa swala hizo na maghrib na ishai kwa wakat mmoja wapo wa swla hizo.lakin kuna sababu zake zinazokupelekea kukusanya swalaa
lakini kigezo cha kazi hakuna kwa maana hiyo watakiwa huko huko kazini uifika mda wa swala km nimuumin wa kwel uache kaz japo dkk 5 upate kuswal
Subhanallah💔sasa kuna jambo limeingia instagram wanatuma kitu utashinda kwamfano mitandio au simu au jiko chochote wnakuekea sheria zao ufate na badala yake ukitimiza hilo jambo zaid ya wenzako utashinda kile kitu...ni haram? Haifai?
Isopo kuwa mda unakuwa imeenda
Asalam alaykum Naomba namba yako shk yangu hii 94425158
,+254772611120
alaaaaaaaałaalaaaalaaaaaaaaaaa
If you have nothing to comment it is better to keep quite
Mashaallah