DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Julai 11, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #DWSwahili
    #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #DWSwahili
    #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #DWSwahili
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Julai09, 2024 | Jioni| Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW | Dunia yetu.
    -Viongozi wa NATO kukutana na Zelensky.
    -Umoja wa Mataifa waonya kuhusu IDF kuwataka raia kuondoka Gaza.
    #dwkiswahili #HabarizaUlimwengu #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 2 місяці тому +1

    Asanteni sana kwa habari hizi. Lakini tunaomba mfanyiekazi Kiswahili chenu katika baadhi ya maneno. Mnaposema ikulu ya White House mnakuwa mnajirudia. Ni kama kusema Kanisa kuu la cathedral au makao makuu ya capital city. White house katika Kiswahili ni ikulu. Ni sahihi kusema "ikulu ya Washington" lakini ni makosa kusema ikulu ya White house. Huko ni kujirudiarudia au "tautology" katika lugha ya Kiingereza. Vilevile matamshi ya majina ya nchi kama Ukraine kwa Kiswahili ni Ukiraine na si Yukireini kama mnavyotamka. Asia siyo Eshia bali Asia kama inavyoandikwa. NATO ni NATO kama inavyoandikwa katika Kiswahili na si NETO. Mkiongea Kiswahili sahii na sanifu tunafurahi sisi wasikilizaji. Asanteni sana.

  • @shadidumabote9262
    @shadidumabote9262 2 місяці тому +1

    Hao neto Kila siku vikao utekelezaji hewa wataacha kutumia wenzao lini

  • @jon-vg2tx
    @jon-vg2tx Місяць тому

    wasenge tu watu wanauwawa wanateswa mnawaita magaidi vibaraka nyinyi na watu weupe wapumbavu kabsa watu wanapigia nchi yao mwawaita magaidi makafiri wakubwa

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 2 місяці тому

    Chanzo cha Migogoro mingi Duniani ni Marekani na NATO. hususan Marekani ambayo hutaka kuuza bidhaa zake za SIRAHA. Kwa maana hawana bidhaa wanazo uza sana kama hizo

  • @GaishaFelix-fc7xl
    @GaishaFelix-fc7xl 2 місяці тому

    Kwanini marekani na huo umoja wa nato wanazidisha uchochezi mkubwa wavita kati ya ukrein na rusia?

  • @hamzaalliy8210
    @hamzaalliy8210 2 місяці тому

    Nato ndio chanzo cha vurugu nyingi hapa dunian kwote

  • @honestngowo3944
    @honestngowo3944 2 місяці тому

    NATO wako sawa. Russia ndo washenzi kumwonea bwa mdogo