this song mean that the word love is not new to her so there is no way you can cheat her to make her to se the word love as a new vocaburary becaus she has betrayed with men so she now well the word love
wooow always to be single is wonderful,yani you guys mnaboa ahadi nyingi but nothing wasaliti kama nini bora wadada tuwe na msimamo wa maisha kha! nina povu kjingi seriously coz i am single girl like 2 years and so happily
wabongo bwana hawahui kabisa nyimbo mzur, hebu angalia wimbo mzur km huu haufik hata views milioni 1 ila watu wanarka ruka tu views zaid ya milion dah acha nijipe raha mwenyewe
Yaaani kila mtu analia na mwenzake hata sisi wanaume tunalia na nyie sisi wapole ndio mnatuchukulia maboyo mbona mnatumaliza then wanakula wanaojiita wajanja mimi mwenyewe nmejiweka pembeni lo!!
tujuane 2naomwangalia linah 2020
Mhhh jamani tuko wengi
i am Zimbabwean and i don't understand swahili but i am loving this track...music is a universal language..well done linah
nice song girl
weldone kip it up but i also dont understand the end RAHAAA JIPEEE MWENWEEEEEEEE
Kwobo
this song mean that the word love is not new to her so there is no way you can cheat her to make her to se the word love as a new vocaburary becaus she has betrayed with men so she now well the word love
Very nice song, Linah is very talented
Yarabi moyo wangu.,, Sina imani tena kuhusu teno kupendwa jamaniii,, bora nijipe raha mwenyewe jamaniii,,, keep it up baby
Wimbo huu unapendwa na wanWake hasa walio achika weng imewagusa sana ngoma hii linah nakuelewa sanaaaaa😀😀😀😀
Dec 2019, raha jipe mwenyewe usingoje kupewa dunia ya leo
AKI HIYO NYIMBO IKO POWA DADA YANGU LINA HONGERA
kweri Dada namba jipya
sanjeev roy. cut
Kitu iko poa sana kaza dogo linah
Vizr
shombeshombe baby
ni kweli ni bora kubaki peke yako maana mapenzi ya siku hzi yamekuwa kama kizunguzungu
Winniepretty35@gmail.com Winniepretty
Vp Winnie kwann umefk atua hyoo
Kabisa Dada kuliko kijitafutia alcers
Kweli kabisa
Yaah raha jipe mwenyeweee
Ndiyo wanaume wa sikuizi daaah! Vicheche hatar
single saka hela mapenz badae 5yrs now no stress
V
Hahaha beta
keel aixee bora nijipe mwenyew wanaume waznguag xnaaa yN duuuh
wooow always to be single is wonderful,yani you guys mnaboa ahadi nyingi but nothing wasaliti kama nini bora wadada tuwe na msimamo wa maisha kha! nina povu kjingi seriously coz i am single girl like 2 years and so happily
tatizo wanaowapenda kweli hamwatak mnataka wenye pesa thats why u'r always cry.
MUHAMMED RASHID nani kasema
baby anney
baby anney yo rytt yaan
Arianah Valiente mahusiano now days ni magumu sana dear
linah umeitungatunga je!!!? ngoma iko powa maneno ngoma vinakwenda sambamba ongera. linah.
Hongera yake dada angu
Kmb Usha2juwa we Kiume ndo 2livyo.........2kija 2nakuja kw Swagger kibao 2kishapt 2naxepa.....
😭😭😭😭😭😭
Raha hamna nikutesana2
pale unaposikia watu wamechomana moto unakimbilia nyimbo hizi raha jipe mwenyewe bn😉
🎉🎉🎉 beautiful queen I love you linah
Nmeielewa sana 2020...likes
Kweli kabisa ukisubiri kupewa cjui ni lini
Idris Sultan bruuh you everywhere. nimeipenda ilo wig la Linah pia
hahahaa
Miranda Marcelina
Miranda Marcelina
nymbo nzur sana
Woyooooo neighbor 💞💞💞💞💞
This days they no true love..woman let us just be wise.
yeah
Love this song
Yes
fatuma Ababy that’s true
dio iyo sasa raha jipe mwenyewe👏
Amazing song of the year
Eeeeeh heri kuwa pekee yako..
.team single
Naikumbuka 2016 hii ngoma
Raha Kama Raha 2020
Raha najipa mwenyew sitaki stress ...Am enjoying my life sina iman na neno kupendwa..
The real bongo 💜💕🇸🇸
Unichukulie poa
.kwanza pisha unazingua
wabongo bwana hawahui kabisa nyimbo mzur, hebu angalia wimbo mzur km huu haufik hata views milioni 1 ila watu wanarka ruka tu views zaid ya milion dah acha nijipe raha mwenyewe
MUHAMMED RASHID duuh uelewa wa kutumia smart bado labda kwa miaka ijayo
umeona ee sijui wakoje wananiboa kama nn
Just remeithis song this season and honestly it's atill a banger.
awwww I appreciate this song ni nyimbo kichupa safi sana
Sio kweli Raha atajipaje mwenyew
linah umeniuzi kumuweka uyo shoga kwenye video yako auze sura ila nyimbo nzuri Dada never loose hope linah tutafika MTV mama
Mr. T at it....i like the beat
raha jipe mwenyewe i love dat song 😚😚😚👏👏👏
Kibibi Mwambire sanaaaaaa
daimodo
Kibibi Mwambire kweri
rahajipe mwenye wacha weeee Tenaa
Perfect sn hy nyimbo mmb yt hayo ni ya ukweli hana tn imani kuhusu neno kupenda so raha m2 ajipeee mwnyweeeee hadanganyiki
safi sana dada Linah piga kazi ww ni mfano wa kuigwa big up
Utanisgauriii nini nione jipya kupendwa..... Ooooh sidanganywii bure imenilizaaaaaaa
Napenda Sana bola nibaki pekeyangu
Yaah linah wéeee nooomaaa boraaaa
Nice song very nice
can someone tell this lady am inlove with her
mc boneye I guess wewe ni fisi😂😂😂
+Charity karrao Chari
uko bomba xana!! kiukweli nimependa big up Linah
I love this song more than everything in my life
Linah unanipatiaga nikiwa single ulitoa hiii nlivopata Mme ukatoa koleza wew kina wew mwaaaaaaaaaaaaaa
raha tunajipa wenyewe hakuna muda wakupasuliwa akili na hivi vinyangarika!
Africa TV hee! Tena
Yaaani kila mtu analia na mwenzake hata sisi wanaume tunalia na nyie sisi wapole ndio mnatuchukulia maboyo mbona mnatumaliza then wanakula wanaojiita wajanja mimi mwenyewe nmejiweka pembeni lo!!
Nadi
Sana tu
hongera lina kwel raha jipe mwenyewe maana wanaume ni upepo muda wowote anakupotea
Nzury can kipenz raha tnapeana
kweli Dada lina nyimbo yako inafundisha sana hakuna asiejua wanaume ni waongo sana
2019?
Miaka mia 900 naupenda huu wimbo ataliii😍😍😍
Huyu dada jamani amenikosha mno.
Linah hiyo video nitamu song nayoooo yauwa, najipa raha mwenyewe single forever
Verse 2 💯
Good song😙😙
classic song big up linah
Nishida haka ka wimbo
Duuh bonge LA nyimboooooo linah we nyokooooo unajua hadi unakeraaaa
Nakupenda bule akiamungu wew dada
Yeah iko poa nimeipenda nikiiskiliza kwa kweli cna hamu na mapenzi mwaaaa nakupenda lina bureee😍😍😗😗😗💋💋💋💋
Cna iman tena kuhusu neno kupenda ,nishaambiwa sana nakupenda.. Paambeeeee
Ila rinah nakupenda toka moyon nataman tuwe wote your beutfull
ngoma kali sana mama
This music is important to me💞💖💖
Me too 😭😭😭
whoelse was waiting amalizie ukisubiri kupewa utapewa karaha
ki ukweli unajua kuimba una sauti nzuri sijui kwann soko la mziki kwa wanawake hamuendi mbali km V money,ila wimbo mzuri
nakubl sn
mapenz yackuhizi mwendo kas
can't help but listen again n again great lyrics
Dada hii ngoma hatr San
good sister linah we n amazing
linah wimbo wako uko poa but raha usijipe mwenyew mwenyez mungu amekataza
Hahahahaha
Ila wangetokea madancers ingekuwa poaah saaana .
usinichukulie poaah nimekushauri ujueeeee
wanaboa ila sio wote wako hv mungu asimame na mm coz sion kipya raha jipe mwenyewe mbwembwe nying wakijaga hao
Safi sana hawana jipya hao nyamilenge kila siku wao wanapenda ata kwenye kanga hilo neno lipo😍😍
Mnakujaga kw mbwembwe mkipew mnakimbia duh kweli rah jipe mwenyew
linah hukoseagi naupenda sana huuuu wimbo umugusa moyowangu kama ulijua
daah umetisha dada
yaaa wactyuchukulie poah aseeeee ee tyushasanukaaa
katika nyimbo za linah ninazozipenda hii ni namba moja.
Usipo jikubari wew no one will never appreciate for what u av #rahajipeMwenyewe
Tunajipa wenyewe hakuna time yakusumbuliwa na wanaume ni wale waletu
Concordo pienamente👍🏾Raha jipe mwenyewe,
😜
Nikuzinguana 🤣
kweli kabisa my laha jipe mwenyewe maana wanaume hatariiii
kazi nzur sana...sema hapo kwny kuchez kidg linah umeniangusha
kaa nyumbani, usinileteye we mama . peace.
Walah vile "raha jipe mwenyewe" PENDA USIPENDE
Loooove it Linaaah
Hata baba yako ni kinyangarika tumia lugha kbla
love you lonah let us know your other songs RAHA JIPE MWENEWE
Naima Malipula good xn xixter
Raha jipe mwenyewe,wanawake mtaambiwa hadi lini?
Kweli raha jipe mwenyewe maana haya mapenzi nimaumivu balaaaa!!?
Kweliii wee raha jipe mwnyew usingoje za kupewa zitakutesaaa
dah😭😭😭Mimi ata sina la kusemaaaaaaaaa
uuuuuuihhh!!!!!that dude at 0.00
kila la heri mama
raha jipe mwenyewe kweli usisubiri kupewa
Saf
na karantini hii
Some times is good to stay aloan kujipa raha monyewe
Kweli raha jipe mwenyewe kama wanazingua!! Gud song
nice song raha jipe mwenyewe
Daah Yan Hawa wanaume Hawa ni vipusa2 Kila ktu wanafake Bora kubak single mnaboa haswa
ongera rinah sanga mziki mzuri
nakukubar sn linah wange