❤❤si choki kuisikiliza hii nyimbo mwenzenu😢😢ni baada ya kutoka katika ndoa ya vipigo na manyanyaso nikiwa na mtoto wa mwaka mmoja niliishi kwa kuchukia wanaume kwamiaka miwili lkn nilikuja kupata faraja nilipendwa nikapenda na hii nyimbo ndo ilikuwa faraja kwetu namake nae alitoka kwnye ndoa na mke wake aliekuwa akimcontrol kwasababu ya unyonge wake so tulikutana na tulipenda sana ila haikuwezekana kwasababu ilikuwa ipite ndoa mie nikawa muoga bado nilihic akinioa atanitesa kama aliepita 😢😢😢ilibidi aoe mie nikamuacha na cjatamani kuingia ndoani bado lkn tukikutana mpaka leo kila tukikutana hata njiani kila mtu bado anamaumivu na mwenzio si yeye tu hadi familia zetu pia bado zinaumia pia 😢😢😢
I was inlove once with my teenager but he cheated on me! now am with a man who he is 43 and am 20 but I love him deeply! Ruby I believe your words unaweza penda kijana au mzee
One day I know am gonna sing to this song on my wedding day 😘😘wengi wamenipotezea mda wangu but I won't give up on love, I've been loyal to them yet they saw nothing good in me
Idrissa wangu wa kisambaa kijana wakitanga unao ujua kuukosha mtima wangu wap ww jomon I mic u my husband nikiskia hii nyimboo na wish nije tanga uuuwwwiiiii 😭😭😭 I mic u 2020 naombeni like zenu mkenya nifurahie like za watanzania
Beautiful Ruby with a beautiful voice, i just love this lady she has everything. Now as for the guy, he is so hot, nani anaeza nipee number yake? hehe i mean za viatu 😂😂😂🏃🏃🏃
2024 anyone 🎉❤
Keeping the good music alive ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Still my favorite banger 😫
Still here
@@BrendaCheruto-e5q😊
Still here❤
Me here
2024 anyone ? This song is perfect
Me here
I'm here
Here 🥰
I am here
❤
This song still a vibe 😍 March 2024 tuko wangapi?💁🏽♀️
it's 2023 and this masterpiece is ever on repeat in my room! 💯😃
Wallae me too
Me too 🔥🔥🔥💯
Me too 🔥🔥🔥
Le19/04/2023 ✌️✌️
Me too
This song since 2017....nimepata wakumtumia 2024. .😍😍🙌
😂😂😂😂
So funnnnnyyy😂
Still here 2024. I manifest my future husband wherever he is through this lovely song ❤❤
😂😂😂ndio huyu nimefika sweetheart long wait is finally over
@@Wazimu45😂😂😂
Nani amesimama 2019 kama mimi mkenyaaaaaa hit like button hapo chini
Nice
nice
It sooths the nerves ..just to relax & love my beiby
Mm apa
Me
It's 2023 and am in love again, after so many years. I am here for the lyrics cause they speak for me.
Jamani tuko wapi 2020?
Kaliiiii
Dah
Maha Mer 🛳 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🚴♂️🚴♂️🚴♂️🚴♂️
@Swahili tv Show mh🙄🙄🙄
2022 anyone here????Ruby is a gift from the universe
2022, I never stopped listening to Ruby. Voice of an angel.
Me too
Kama unajua kama mapenzi hayachagui, kama mimi i need only 5 likes
Upo vzr
Gonga like kama upo hapa 2020
Yani Ruby ana kasauti katamu balaaa
Nice girl 👌🌺😀
💕💕💕💕💕
Rubby ni Rubby tuu hakna wakulingana
Ruby ❤
❤❤si choki kuisikiliza hii nyimbo mwenzenu😢😢ni baada ya kutoka katika ndoa ya vipigo na manyanyaso nikiwa na mtoto wa mwaka mmoja niliishi kwa kuchukia wanaume kwamiaka miwili lkn nilikuja kupata faraja nilipendwa nikapenda na hii nyimbo ndo ilikuwa faraja kwetu namake nae alitoka kwnye ndoa na mke wake aliekuwa akimcontrol kwasababu ya unyonge wake so tulikutana na tulipenda sana ila haikuwezekana kwasababu ilikuwa ipite ndoa mie nikawa muoga bado nilihic akinioa atanitesa kama aliepita 😢😢😢ilibidi aoe mie nikamuacha na cjatamani kuingia ndoani bado lkn tukikutana mpaka leo kila tukikutana hata njiani kila mtu bado anamaumivu na mwenzio si yeye tu hadi familia zetu pia bado zinaumia pia 😢😢😢
I know one day the sun gonna rise for me and I will find a true relationship. I manifest through this lovely song
everyone has someone in waiting
Do really these things exhists🤔😣😣😔😓😓
U will
Amen… sure in Did u will
Ameen
Nampenda huyu dada jomon kwani aliendaga wap jmn Kama umemic Kama mm tujuane 2020
Oh my aky i miss her too sijui what happened aky
I am so sorry
2021 Anyone❤️
Tuko
We are here
Yaa men
Dope message
here
whoever compared ruby to akothee should make a public apology.........i mean ruby has the voice of an angel.
for sure..for real
True..
😄
😂 😂 😂 😂 😂
Hahahaaa..really!
I was inlove once with my teenager but he cheated on me! now am with a man who he is 43 and am 20 but I love him deeply! Ruby I believe your words unaweza penda kijana au mzee
2024 anyone?
Who's here Oct 2019??
This song is lit asf..
Give it a thumbs up
Tupoo
haha
Niko hapa Nov 19 bruh
haahaha play list yangu narudi kuyichukua hapa
Her voice is amazing 💕
I agree
Charles I'm with the voice
very amazing
Jawhara Aisha YES it true
Jawhara Aisha
One day I know am gonna sing to this song on my wedding day 😘😘wengi wamenipotezea mda wangu but I won't give up on love, I've been loyal to them yet they saw nothing good in me
Idrissa wangu wa kisambaa kijana wakitanga unao ujua kuukosha mtima wangu wap ww jomon I mic u my husband nikiskia hii nyimboo na wish nije tanga uuuwwwiiiii 😭😭😭 I mic u 2020 naombeni like zenu mkenya nifurahie like za watanzania
The power of a beautiful voice ; gets you dancing to a song to which you don't understand the language. I'm officially a fan
Nkesosom Eze vip
Nkesosom Eze mmmmh
@@kategitau7657 .
2021 still one of my favorite songs
Beautiful Ruby with a beautiful voice, i just love this lady she has everything. Now as for the guy, he is so hot, nani anaeza nipee number yake? hehe i mean za viatu 😂😂😂🏃🏃🏃
Caro Akothee +254732485580
Caro Akothee 😂😂😂😂😂😂
hehehe aty za viatu
45
0712490621
How many Kenyans are still here
Joseph Muchene we are 😀😁😁why
Love da song... So hot...
Joseph Muchene just seen the video now in 2018 though been hearing the tune of radio not as often as I want but loving it
Many
Here I am
On repeat mode in late 2024 ❤
This is a masterpiece 😍,six years down and it still hits a nerve ❤️🥺
U forget about stress
@@violetnandwa2256 00a₩
This song and her beautiful voice... Made me name my Little munchkin 'Ruby'... ❤❤
Aauch😍😍🥰
Mapenzi ni mapengo kwa ulimi. Dr. Ogeto International
Wakenya ndio wengi uku🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🇹🇿👍👏👏
Still on replay 2019!!😍😍😍i can listen to her 24/7
.....here
wowwww tuko hpa lisssstening to
2023 the song is still dope,,,,God bless you Ruby
Bado uko hapa 2020 in April month gonga like niko 🇧🇮🇧🇮🇧🇮#Burundi🇧🇮🇧🇮
Still one of my favourite top love songs
Shoga hupitwagi🙄😊
Bado tupo 🇧🇮
Jamani who knows the song that goes " sawa nne or passi nne " or something like that !
I've been looking for that song since 2015 😭😭
Kofia nimekuvulia Ruby hapa central Kenya
8years down the line and this song still hits ruby you are a queen 🎉👑👑
I am Somali🇸🇴but i love people kenyan🇰🇪l like this song and ruby
She's Tanzanian not Kenyan
Shes TANZANIAN
2020 who is here East Africa 😁😘😘
Lubi. Wewe nimsanii. Wapekee. Kulikowote. Tanzania❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nani yupo hapa 2020 npo south africa still nasikiliza nyimbo hii nampenda sana Rose James where are u my love
Watu wa kanairo Wapi like 2021 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Her voice is amazing❤❤ ❤
Mapenzi hayana mwenyewe, unaweza ukapenda kijana au mzee Niite jina langu baby, huenda nafsi yangu itapoa
Good I love it
kweli
Vile unaendaaa mbio
Hagahahaha
@@everinikaundama8917 Hi
really? someone comparing ruby with akothee? come on this voice can only be compared to the late Whitney Houston.........Ruby going places I swear
thank you....nani huyo...akothee ni pesa ruby ni talent
please tell them
kanumba
she sounds angelic
verah abongo ety akodhee haaaaa huyo ni mwenda wazimu
I just came across this nikambuka 2020 wen I met the best the rest is history😂😂
This is my favorite song from Africa as of right now. I can't get the melody out of my head. Beautiful girl with a beautiful voice!!!
try her other song Ntande. it will blow your mind
Oh Ruge you trusted me with this Song..you will be missed sana..RIP Ruge Mutahaba
Pole for your loss Director kazi yako safi sana.👍
It remind me when I went to mwanza in 2018 ,,,,,in fact it was my first time to be in Mwanza Tanzania
The first song my bf ever asked me to listen to ...I love her voice .🇰🇪
Update. 😢This boyfriend passed away. He was stabbed last month 😢. I will always cherish him esp when I come back to our song.
Oh, that's sad. Very sorry for you, vivian.
@@lambertfulgence8965 Thank you
@@veevivian8975 🥺 so sorry 💔
@@antipascann2797 Thanks
Unaeza penda mzee au kijana love at your own pess, this song will kill me alive before covid 19.
😂😂😂😂
❤️❤️i know one day the sun gonna rise for me and i will find a true relationship l mainfest thought this beautiful amazing song 💪
I always come here whenever I feel so much love in my heart ❤
This remains to be my favourite love song 7 years later! What a talent!!!
Tuliokuja kusikiliza baada ya couple na Mosse Iyobo tujuane 🔥🔥👊💪
Heart touching stanzas indeed🎉🎉🎉🎉
"Ntakuweka moyoniii bila hofu rohoniii..."
Nakukubali sana Ruby fro Moçambique
Idk what she is saying, but God!! her voice is everything 😍😍😍 one love from Somalia boo 😘😘😘
Naimo Hussein hhhhhh even her words lkn ma fahmeysid aaaan umalenaaaa
She is ski in love with the guy. She is thankful to have him. Her heart beats for him and her eyes are for him only
I can listen to ths song a thousand times and never get enough of it....awesome.awesome....
+Hezbon Chichi Me too...Sometimes I start crying like an idiot! Lol!
+Lynn Anderson hahaha....what memories does it bring for u to cry?
Shhhhh........(Sigh)
+Hezbon Chichi lalalalala
its nice one me too i like it
My ex girlfriend diana used to sing this song for me back then at kenyatta university😅😅
I miss you baby❤
watching from Sweden, my favorite.
2019?????nani amereplay hii wimbo kama Mimi
Ruby inspired me in my relationship
Wooow😍😍
So lit I love the song
Mziki mzuri utaishi milele 🎉🎉
East African Brandy. Watanzania tuuzieni huyu jameni mmezidi...
Omg yes!
Hahaha tupeni Akhotee tuwape Ruby
Never tired of this song the person singing , the background everything was just on point about it!
Ludi tena, tupe part 2 we love you 😍, nice one 🎉
Oh God 🙊her voice is so lovely thou I don't know wat she's saying ❤️❤️
Her voice is heaven. Amazing song
african talents
hahahaha wow
ruby me l love you more and forever for really
Amufa Myles I need translation please
+hamed eldeeb come to East Africa
Tanzanias know s to compose songs but my beloved country make them trend big up also let's make ours trend
So beautiful, I love this song so so much but I don’t understand a word. Am from The Gambia,west Africa. Thanks 😍
July 28 2024 are we here for this beautiful song
Timeless music 💯💯💯 wangapi wako apa mpaka sai 2023?? Big up Ruby
In the year 2022,still one of my favorite songs 💕
We are together.
Still here
This song 🔥 ageing like fine wine 🔥🔥
Received my love❤❤❤from Kenya 🇰🇪 maasai mara that song is so sweet. Iwish ican do akolabo with you.
The most underrated queen of bongo
This gal is more talented than any of her comparisons.
Utunzi Tu!! 🔥🔥🔥🥰
Hata usipotoa ngoma Ruby nitabaki shabiki hata wa jina lako tu
I feel this songs deserved more likes and views...it's really a vibe...
2021 and we're still here.
It never gets old.. always in love with this song ❤️
me nishampata waah sema mahaba though ni September 2024 but nilimuimbia tu🥰🥰🥰🥰
❤❤ruby has vocals
Yeah yeah yeah
(Rubi) yeah
(Taurus)
Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana au mzee, eeh
Niite jina langu baby
Huenda nafsi yangu itapoa, aah
Shika moyo wangu baby,
Unavyo kwenda mbio wewe utapoa,
ah ah ah
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado siyo mbaya
wewe ndo unayajua maumivu yangu, hiii baby
Ila bado siyo mbaya
wewe ndo unayajua maumivu yangu
Siipo radhi unitoke machoni
Tembea nami ndotoni, eh
Nitakuweka moyoni
Bila hofu rohoni, hii baby
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendanga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namuamini sana
Baby sitaki kutazama nyuma tena
Mm, maumivu nlishayaona
Wengi walinipotezea muda
Mm, hakuna nilichokipata, ah ah ah
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado siyo mbaya
wewe ndo unayajua maumivu yangu, hiii baby
Ila bado siyo mbaya
wewe ndo unayajua maumivu yangu
Siipo radhi unitoke machoni
Tembea nami ndotoni, eh
Nitakuweka moyoni
Bila hofu rohoni, hii baby
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendanga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namuamini sana
Ooh, siwezi ukabwe maisho yangu
Yatonaimi ndotoni, hii yeah, yeah
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendanga (ndo nampendanga)
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule (oh, mtazame yule,
mtazame yule)
Namuamini sana
Moyo wangu tembea na yule, na yule (tembea na yule, tembea na yule)
Nampendanga (ayi, yueah yeah)
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule (yule)
Namuamini sana (oh yeah, yeah)
#END
👏👏👏👏👏
Omba sana bahati siku zote, , ruby ndich alichokosa ila ni bonge la msanii, , ana kila kitu cha kumfany awe star mkubwa duniani..
Nyimbo ii inanikumbusha mbali san
Ruby u killed it 😘😘😘😘😘😘can't stop singing this song #SlayQueen... we need ur show one day #TeamKenya
huu wimbo kwangu narelate tu pesa mapenzi ni nyinyi😂😂😂😂😂🙂🙂🙂
How adorbs. Ruby you got talent. Nakuvulia kofia dada.
I cannot stop listening to this sweetness. Swift, mellifluous voice of all time.
Moyo wangu tembea na yule ndiye na penda.Nice song to dedicate to your sweetheart
Am here November 2019 who is here with me for this great tune
Me too
Am with u too
I can never get enough of this song it never gets old to me and evry time i listen to it i feel much better okay....you going places ruby
2:53
3:00
I lv this girl fo nothing ❤
J'aime bien ton style!!
Namwuomba mungu angikuleta mapena.
Like hapo
May God bless all Tanzanians!
+Kan Junior God bless u more...Love from Tz
dollar kabari
zakenu
You know she is in Depression
God bless our country Tanzania 🇹🇿
I don't understand Shahily, but this songs is dope. I love it.
Can we make sure she has at least a million views. She deserves it!
yaaaaah she rly deserve it its amaizing.
+Jacq G Absolutely! She's almost getting there!
+Wanderlust ress 1,021,678 as I watch from Nairobi now! Wish granted!
Yeaaaaaaahhhh!
+David N. Manguru This is awesome!!!!! I have no idea what this song is about but it's just beautiful! Love, from SA!
All the way from kenya with love
Ruby duin some amaizing job
Though the boy looks unrelaxed
But am loving evry bit of the song👊👊
Relax no wewe
+Nelly Lutwana kwanza that video boy umemcheki.btw hes kenyan
nelly that boy ako on point he is a kenyan model by the way one of of our own😍😍😍😍 he is hot..
Bado natafuta