🎉🎉🎉❤❤❤❤Usinitoe hapa haleluya Amen !!! YESU KRISTO ni mzuri sana!!asant sana Yesu kwa wimbohuyu Pia Mtumishi Wa Mungu Boaz tunakupendasana watu Wa Burundi
If God you won't go with me am not going,,, This is my cry today ooh Lord please 🙏,,, The way Moses prayed,, if you fail to guide me I will be lost or take a wrong direction which leads to death,, Enda namii bwana😭🙏
Ooooh Yesu uwepo wako ndo kila kitu kwenye maisha yangu,,, naomba usiruhu niende bila wewe Nakupenda Yesu. Barikiwa sana kaka Boaz, Mungu akuinue sana na akunyenyekeze zaidi.
Mungu wa Mbinguni akawe na nchi ya DR Congo 🇹🇿❤️🇨🇩
Damu ya yesu ikafunike Taifa la DR Congo 🇨🇩 hakuna tena umwagaji damu in Jesus Name
AMENNN
Amen.Amen
Nimeusubiri kwa ham sana tangu saa kumi na mbili naingia na kutoka ili kuangalia mbarikiwe na Bwana kwa kazi njema 🎉
We Pray for DRC through this Heavenly Sound, Oh God, wakumbuke watoto wako Congo...from here🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪..Min. Boaz you are a blessing 🔥🔥
Amen.Amen
Toka kwenye mazoez ya uimbaj yako niliukariri huuu wimbo hatimayeee Mungu ni Mkuu sana najifunzaa kwako
KAMA HAUTAENDA NAMIMI SIPO TAYARI KWENDA USINITOE HAPA🙌🙌😭😭😭😭
Usinitoe hapa, kama huendi nami na Mimi siendi 😭😭 nakuomba Yesu nakuomba 😭😭
Saw it on TikTok and run this side karibu nianguke... Asante mtumishi acha mungu akuzidishie
Wewe ni mzuri yesu eee
Usinitoe hapa kama uendi nami
Nakupenda Yesu weee❤🙌 wewe ni Mzuri Yesu wee😊😊🙏🫶
Maombi ya musa kutoka 33:12-23 aya ndio maombi yangu kwako yesu wangu 🙏🙏🙏🙏
Ni YESU siyo yesu
Woooow asnte mungu nmejskia aman San man nilikuwa na huzuni moyon mwang now npo na aman San moyoni mwangu
Ee yesu wasaidie Congo 🇨🇩
Amen... Mungu awakumbuke
Pana maana sana nikiwa na wewe Mungu wangu🧎🏾hatua zangu bila wewe Si kitu kabisa Nenda Nami Yesu siwezi kitu nje na wewe 😭😭🙌
Yaan Mungu anakutumia kw viwango vya juu tunaona nguvu zake kwetu zikitenda kupitia nyimbo zako
🎉🎉🎉❤❤❤❤Usinitoe hapa haleluya Amen !!! YESU KRISTO ni mzuri sana!!asant sana Yesu kwa wimbohuyu Pia Mtumishi Wa Mungu Boaz tunakupendasana watu Wa Burundi
The almighty dwells in praises ...I love you Jesus
Mungu unikumbuke huu mwaka2025
Boaz Dankeni umezaliwa kumwimbia Mungu. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼. What a heartfelt song.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪We thank God for you, worship on another level
Asante Yesu kwa wimbo huu mzuri
Thank you Man of God of the powerful worship song God u really Bless me with ur Ministry the song has touched my heart 😢😢😢😢😢😢
Yesu usiruhusu niondoke hapa kama huendi nami...na mimi siendi ati niende wapi bila wewe yesu😭❤kama huendi nami mm siendi❤❤
Order my steps sweet Jesus 🙏🙏🙏how do I go from here unless you lead me
Amen Glory to God 🔥🔥🔥🔥🔥
Usinitoe hapa Yesu kama huendi nami na mimi siendi😭😭
God lead me oh my God,, show me the way, your ways to be my ways, your wish to be my wish, your will to be my will,😭😭😭🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙏🙏😭😭
Kama huendi nami .. mungu akubariki mtu WA mungu
Naomba Mungu unikumbuke mwaka huu . Amen
Boaz ndo umebaki kwenye gospel aisee tunakuombea sana .
Man of God, anointed worshipper,nyimbo zako huwa zinatoka kutoka kwenye kiti Cha ENZI... Hakuna wimbo wako ambao hauna uwepo na upako wa Mungu...
Niende aje, niende wapi, niende vipi, bila Wewe Mungu muumba wa vyote.
Kuna haja ya kumng'ang'ania huyu yesu
Nakupenda yesu wanguuu ee,sitoki hapa bila weweeeee❤❤❤
We like even before we finish listening because we know it's spiritual
If God you won't go with me am not going,,,
This is my cry today ooh Lord please 🙏,,,
The way Moses prayed,, if you fail to guide me I will be lost or take a wrong direction which leads to death,,
Enda namii bwana😭🙏
Yesu usinitoe hapa, kama huendi na Mimi na Mimi siendi,
Yesu nikumbuke kwenye huu mwaka 2025,
OooooYesu wewe niwadhamani kwangu nenda nami kila hatua Bwana🙏🙏🙏🙏🙏
Amen, Bwana usiruhusu nitoke hapa kama huendi na mimi🙏.
Uwepo wako ndio utambulisho wangu Bwanaaa😭😭😭
Usiniruhusu niondeke hapa kama Bwana huendi Nami.
Mungu ajibu maombi yangu 😭🥰
Barikiwaa Sana Mtumishi wa MUNGU. Wimbo umejaa Uwepo wa Bwana ❤❤
He is good beyond explanation. Kenya for Jesus
what a powetful song... Mungu usipoenda nami mimi siwez enda peke angu katika hii Dunia 🧎🏽♀️🧎🏽♀️🧎🏽♀️🧎🏽♀️
Usinitoe hapa MUNGU km huend nami na Mimi siendi😭😭😭🙌🙏
Uwepo wako huo tu utambulisho wangu....Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Halleluya! Baraka za Mungu zizidi sana kwako Mtumishi wa Mungu
Hallelujah hallelujah Nguvu ya Bwana,, Yesu KRISTO Akatembee Nawe Kila Uendapo!?? Bwana akatembee Pamoja Nasi
Amen usinitoe hapa bwana kama huendi namimi wewe yesu ni mzuli..
Usinitoe hapa kama huendi nami😢
Yes Lord 🙌🏼🙌🏼
Siendi popote bila wewe YESU❤❤🧎🧎🙏🙏🙏
Bado wimbo boaz moja,Baba naomba uniguse moyo wangu 🇲🇿 Mozambique msumbiji 🔥🙏
Yesu wewe ni Mzuri Sana,,Usinitoe hapa kama huendi NAMI na Mimi Siendi😂🙌🙌🙌😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Usinitoe hapa kama huendi nami YESU wangu 🧎♀️🥹🙌🙌
Hakika huu wimbo ni mzuri kuliko mchumba wangu kakiha ❤❤❤❤❤❤❤ mungu jitwalie utukufuuu
AMEN
🫂😭usinitoe hapa kama huend na Mimi 😢 nimewaza sanaa nikienda pekee Angu zitafika Eee Mungu kama usipoenda na Mimi na Mimi Siend naomba twende wote 🫶🫂
We are proud to have you in the body of christ❤.
Shukran mtumishi hii wimbo imeniguza
Amen,Uwepo wako ndio utambulisho Wangu Yesu🙌
I am not moving FATHER JESUS HOLY SPIRIT if you are not in this thing please move with me. Amen. 1st Feb 2025.
Yesu twakuhitaji kila mahali Bwana❤
Boaz danken you are a sound of God in this generation I pray to get deeper like you are
❤wow Glory to Elohim
Mungu kuna mahari unanipeleka kuzuri mnoo lakini NIOMBI langu Yesu uende nami kila hatua🙌🙌
Nimepokea tayali wimbo huu wanyewe amém 🙏🇲🇿 Mozambique msumbiji 🔥 Nakupenda Yesu weeh usinitoe Hapa bwana
Mola nisaidie niwe nalingoja wingu lako kila wakati.
Another level of the spirit
Ooooh Yesu uwepo wako ndo kila kitu kwenye maisha yangu,,, naomba usiruhu niende bila wewe Nakupenda Yesu.
Barikiwa sana kaka Boaz, Mungu akuinue sana na akunyenyekeze zaidi.
Mungu uwepo uwe ni utambulisho wangu kwenye kazi zangu kwa familia yangu na hata kwa marafiki zangu🙌🙌🙌🙌🙌
Yesu nakupenda,usiruhusu niondoke hapa
😭😭😭😭kama huendi nami na mimi siendi
Powerful ❤❤❤❤
Lord unless you'll acompany me I won't leave no matter how long it's going to take
Prayer song❤
Ee yesu nenda na me kila kona
Usinitoe hapa Bwana, kama huendi na mimi basi pia mimi siendi😭 hili ni ombi jamani. Mungu awabariki
NMEIPENDA SANA Jamani Boaz dankan uko vizr tulia na huduma Ivo ivooo
Eh Bwana usinitoe hapa, usiruhusu niondoke kama huendi nami
Usinitoe hapa Yesu..kama huend nami na mm siendii😢
My identity is within your presence!! God blesa you servant of God!!
Nyimbo kali jaman
We YESU weeee wewe ni mzuri ni mwema
Haleluyahh Nakupenda Yesu Ngome yangu msaada .Asante Mtumishi
Maombi yangu kila siku hayaa🙌🙌🥲
Sitaondoka hapa kama hutaenda na mimi😭😭😭😭😭
Kumbuka congo wewe yesu 😢🇨🇩🇨🇩
Watanzania tuombeyeni jamani
Mungu aihurumie Kongo
We are Praying for you
Ubarikiwe sanaaa baba et kwa ajili ya taifa letu
NABARIKIWA SANA NA HUU WIMBO HUU!
Amen amen, nimeusubiri sana huu wimbo hatimaye nmeupata
Amen...i love the song
Hallelujah 🙌
Mungu akubariki saana mtumishi natamani siku moja tuonane nina jambo la kukushirikisha even your contact
Leo napata fursa ya kusikiliza ngoma ikiwa bado mpya mpya😅this song is ministering to me
Nakupenda Yesu weeh nakupenda 😢😢
This 2025 God go with me,, usipoenda nami,, Mimi siendi 😭😭😭
Was really waiting for this sound....
Huu ni mwaka wa ibada! Bila Mungu don't go.
Anointing SONG